Kwanini Waafrika tunapenda sana kuwapa watoto wetu majina ya Ulaya, Asia n.k?

Kwanini Waafrika tunapenda sana kuwapa watoto wetu majina ya Ulaya, Asia n.k?

Dini ndio zimepelekea kutokea kwa majina haya ya Kizungu na Kiarabu, mbona hatuna majina ya kikorea na kichina?
Kwa majina ya waislam hapa bongo Sawa Ni Dini lakini majina mengi ya wakristo Ni ya kizungu sio ya kikristo ... George,Kevin,Brian,April,June,Stella,Stan,Danford,Datius,Derick, Diana,Janeth,William,Wilson,....nk. nk. Machache ndo ya kidini Paul,Peter,John,Joseph,Mary, .
 
Sawa kawe mtumwa....wewe utakuwa unaamini wazungu Ni wazuri by appearance kuliko waafrika
Mkuu Utumwa ni fikra yako (zako). Hilo unaloamini ni ww na uoga wako.

Umpe mtoto jina aitwe NGUVU YA NYANI, SUNGURA etc , eti useme ni kuukumbatia Uafrika.

Siyo kila kitu cha kiafrika kizuri vile vile cha kizunngu.

N.B fanya unacho ona kwako ni sahihi.
 
Sawa ilaa kwanini Ni waafrika Tu ndo tumeyakumbatia ...mbona ukiingia japan kuwakuta kina George Ni Kwa tochi...au Jina Kenji Kumamoto Ni Zuri?
 
Sawa ilaa kwanini Ni waafrika Tu ndo tumeyakumbatia ...mbona ukiingia japan kuwakuta kina George Ni Kwa tochi...au Jina Kenji Kumamoto Ni Zuri?
Mbona wachina wa Hong Kong wote majina Yao ya kwanza ni Anglo-Hebrew
 
Sawa kawe mtumwa....wewe utakuwa unaamini wazungu Ni wazuri by appearance kuliko waafrika
Tu wazuri! Hii kusema sisi wazuri kuliko wao ni kuji uplift tu... aliyechukia ajinyee sasa!
 
kiukweli majinaya kibantu hayavutii masikioni.

sikitu,tuntufye,kokumanyisa,kigwangala,pinda,tundu,kinabo nk.
Hayavutii kivipi kwahiyo kabla ya waarabu na wazungu tulikua hatuitani majina.. huu ndio ushamba wenyewe
 
Hayavutii kivipi kwahiyo kabla ya waarabu na wazungu tulikua hatuitani majina.. huu ndio ushamba wenyewe

mngekuwa serious mngeanzia kwenye mavitu yao waliyowaletea kwanza,leo hii kujifanya unakataa majina wakati una gari lao,nguo zao,viatu zao,mpaka perfume umepulizia za kwao ni kuivuruga akili yako na kuipa kazi nyingi zisizo na maana.
 
Jina ni neno au maneno anayopewa mtu au kitu au hali Fulani
Nataka kujikita kwenye jina tunalopeana watu.
Kwanini Waafrika tunapenda sana kuwapa watoto wetu majina ya Ulaya, Asia n.k., lakini sisi tuna maneno katika lugha za Kiafrika.
Kwanini usumbuke uingie kwenye mtandao na penginepo.
Tanzania tuna lugha nyingi maana tuna maneno ambayo tungetumia kuwapa watoto wetu.
Hatuwi wa maana ati kwa kuitwa Zebedayo au Hasani au Rebecca au Salha nk
Hatuwi wacha Mungu wazuri kwa majina hayo.
Mtu akiishi au akafuata ya huko nje tunamkandia, vipi kuhusu jina mwanao.
Natamami tubadilike, kama wewe ni Mgogo au Mfipa au Mmakua nk tumia neno ambalo unalijua maana take na unalifurahia.
Tuache ushamba wa kupenda tusivyovijua
Good, Majina ya Watoto wangu watatu ni haya
1. Ruhama
2. Naghenjwa
3. Anifiambazi

Sina cha uzungu hapo
 
Hayavutii kivipi kwahiyo kabla ya waarabu na wazungu tulikua hatuitani majina.. huu ndio ushamba wenyewe
Yana vutia, mfano majina Kama haya
Yana maana katika hayo makabila.

Diva- kikwele
Amber lulu - kigogo
Shilole- kinyamwez
Bonele- kikwele
Ng'ole- kikwele
 
Ni ushamba na ndio race pekee isiyojitambua tofauti na races zingine.

African have inferior Mind.

Naona huku wapo wanaosema eti ni sababu ya kuJa kwa dini. Ni kweli lakini ni kwa asilimia ndogo sana. Mbona ukristo ulifika mapema zaid yetu nchi za Spain, Argentina na Brazil na bado wamesimama na majina yao.

Je na wao wangesema hayana mvuto majina yao ya Armando Maradona, Leone Mesi, Ronaldinho, Morinho.

Hata India Uislam upo kiasi chake lakini asilimia kubwa wameendelea kudumisha majina yao ya kina Rajvi Khan nk.

Ninachoamini mimi ni kwamba Ubora wa binadamu aliyekamilika ni yule anayesimamia na kutetea asili yake.

Wengine kwetu unakuta mtoto kapewa jina la Makoye lakini eti anabatizwa na jina la Brian.
 
Dini ndio zimepelekea kutokea kwa majina haya ya Kizungu na Kiarabu, mbona hatuna majina ya kikorea na kichina?
Kuna nchi nyingi sana nje ya Africa dini zilifika mapema zaidi yetu tena kwao dini zikawa imara sana kuliko ilivyo Africa. Je nao dini zilibadili majina ya Asili zao kama kwetu. Au ni kama ilivyo suala la Chanjo kuwa WAO HAWAJAAMUA BADO.

Ukweli Mchungu:

Inferior Mind. Hata haya ya Dada zetu kujichubua na kuvaa nywele za Brazil ni kujikataa.
 
Back
Top Bottom