Kwanini waajiriwa wengi wakistaafu lazima wapitie msoto mkali wa kiuchumi?

Naona Majibu mengi hapa yamekuwa yakufikirika zaidi, they are not realistic

Nadhani kuna haja ya kupata wastaafu wenyewe kuwauliza ili tupate majibu sahihi. Sio vibaya kukiri kuwa kuna mahari ulikosea ili kusaidia wengine wasikosee.

Ndiyo maana akina Ben Mkapa and like wamewahi kuandika vitabu kuwahusu.
Me am realistic.. Mimi ni early pensioner

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini,
Mfano, Utakuta mtu amemaliza chuo kapata kazi yenye mshahara mzuri, kila mwaka anapanda vyeo kazini, anakuwa na akiba ya pesa nyingi benki, huku mshahara ukiendelea kuingia, ghafla mkataba wa kazi ukiisha au akistaafu hata kama ana akiba hata kama ni ya tsh millioni 400, na magari ya kutembelea, anaanza kuuza magari, hadi yanaisha, kila akifungua biashara, biashara zinafeli, kama mstaafu ni mzee, kisukari na presha, vinakuja na kifo cha fasta.. wengine wanaishia kuomba omba kwa ndugu na kutegemea watoto wao ili ku-survive.

Yaani wakistaafu ni kama mikosi inakuwa inawaandama..

Wakistaafu wanakua kama wanachuo waliomaliza chuo wakakosa ajira.

Wastaafu wachache sana wanaweza kubalance mambo yao ya kifedha yasiyumbe sana hata wakistaafu.

Shida inakuwaga wapi?
Wengi hawana financial literacy
 
Hili jambo acheni tu, jirani yangu ni profesa mstaafu wa mzumbe dsm baada ya kustaafu miaka 5 iliyopita nimemuona dhahiri hayupo sawa,kakonda ghafla kazeeka zaidi analalamika maisha magumu, yote tisa 10 babu yangu ni balozi mstaafu ni mwaka wa 10 sasa toka astaafu zile pesa za kila mwezi za wastaafu zikichelewa analalamika ile mbaya sasa kachoka ana nyumba upanga lakini kodi yake anaona haitoshelezi mahitaji ya familia, ukimpa 200k anakupigia simu kukushukuru.

Nb. Maisha ya ajira muokozi pekee ukistaafu ni nyumba za kupanga kwasababu unapokuwa kwenye ajira kupata nafasi ya kufanya na kusimamia biashara ni ngumu sana.
Ufanye mpango uwe nazo hata 5
 
Habarini,
Mfano, Utakuta mtu amemaliza chuo kapata kazi yenye mshahara mzuri, kila mwaka anapanda vyeo kazini, anakuwa na akiba ya pesa nyingi benki, huku mshahara ukiendelea kuingia, ghafla mkataba wa kazi ukiisha au akistaafu hata kama ana akiba hata kama ni ya tsh millioni 400, na magari ya kutembelea, anaanza kuuza magari, hadi yanaisha, kila akifungua biashara, biashara zinafeli, kama mstaafu ni mzee, kisukari na presha, vinakuja na kifo cha fasta.. wengine wanaishia kuomba omba kwa ndugu na kutegemea watoto wao ili ku-survive.

Yaani wakistaafu ni kama mikosi inakuwa inawaandama..

Wakistaafu wanakua kama wanachuo waliomaliza chuo wakakosa ajira.

Wastaafu wachache sana wanaweza kubalance mambo yao ya kifedha yasiyumbe sana hata wakistaafu.

Shida inakuwaga wapi?
Du mkuu wastaafu gani hasa maana umekusanya wote kwenye kapu moja.
Kuna sector binafsi kuna serikali kuu kampuni taasisi za serikali n.k. mwenye CPA Tra atachukua mpunga mwingi kuliko mwenye CPA anaefanya labda wozara ya afya. Kwa
Mfano Tanroads mishahara yakp iko juu.

Kuwa na akiba 400m clean labisa bila kuiba ma michongo mingine sio kweli. Mtu mwenye mshahara wa kuweka akiba hiyo ina maana alipostaafu alipata karibu bil 1.

kwa serkali check www utumishi utakuta mishahara sio kama umavyodhani.

Kwa upande mwingine nilichogundua mimi nilestaafu miako 10 sasa nilicheki na wenzangu na wanaoendelea kustaafu. Uafrika ule wa kujazana kwa ndugu aliyepata nafasi nzuri, kuna changia sana kuridisha nyuma maendeleo. Na hasa ukitoka kwenye familia yenye dada wengi wao wanafyatua tu watoto unaletewa mjomba. Mpaka unastaafiuutakuta hujapata nafaso ya kupanga maisha ya mbele.

Kifupi sio kwamba wastaafu wajinga au sijui vipi. Wapo wachache wanachezea hela.
Tarehe ya kustaafu haiji kwa kustukiza sio kweli 8natakiwa sasa uanze project za ka8sha ya baadae labla ya tarehe ya mwisho. Sasa hilo l8nakuwa gumu kwa wengi sanabu mtoto 35 to 40 anakula ma kulala japi hapo na nsg kibao mag9njwa maarisi ya ndg inatasha kwa leo
 
Je
Habarini,
Mfano, Utakuta mtu amemaliza chuo kapata kazi yenye mshahara mzuri, kila mwaka anapanda vyeo kazini, anakuwa na akiba ya pesa nyingi benki, huku mshahara ukiendelea kuingia, ghafla mkataba wa kazi ukiisha au akistaafu hata kama ana akiba hata kama ni ya tsh millioni 400, na magari ya kutembelea, anaanza kuuza magari, hadi yanaisha, kila akifungua biashara, biashara zinafeli, kama mstaafu ni mzee, kisukari na presha, vinakuja na kifo cha fasta.. wengine wanaishia kuomba omba kwa ndugu na kutegemea watoto wao ili ku-survive.

Yaani wakistaafu ni kama mikosi inakuwa inawaandama..

Wakistaafu wanakua kama wanachuo waliomaliza chuo wakakosa ajira.

Wastaafu wachache sana wanaweza kubalance mambo yao ya kifedha yasiyumbe sana hata wakistaafu.

Shida inakuwaga wapi?
Habarini,
Mfano, Utakuta mtu amemaliza chuo kapata kazi yenye mshahara mzuri, kila mwaka anapanda vyeo kazini, anakuwa na akiba ya pesa nyingi benki, huku mshahara ukiendelea kuingia, ghafla mkataba wa kazi ukiisha au akistaafu hata kama ana akiba hata kama ni ya tsh millioni 400, na magari ya kutembelea, anaanza kuuza magari, hadi yanaisha, kila akifungua biashara, biashara zinafeli, kama mstaafu ni mzee, kisukari na presha, vinakuja na kifo cha fasta.. wengine wanaishia kuomba omba kwa ndugu na kutegemea watoto wao ili ku-survive.

Yaani wakistaafu ni kama mikosi inakuwa inawaandama..

Wakistaafu wanakua kama wanachuo waliomaliza chuo wakakosa ajira.

Wastaafu wachache sana wanaweza kubalance mambo yao ya kifedha yasiyumbe sana hata wakistaafu.

Shida inakuwaga wapi?

FANYA JENGA pangisha ukiwa mfanyakazi maeneo kuanzia maeneo Katani,Halmashauri,Mikoani ni maeneo mazuri ya ujenzi .Tena jenga za kawaida .
Ukifanya hivi hata mama ya watoto akihamia kwa wanawe unajichulia kodi+Pension full kujidai
 
Habarini,
Mfano, Utakuta mtu amemaliza chuo kapata kazi yenye mshahara mzuri, kila mwaka anapanda vyeo kazini, anakuwa na akiba ya pesa nyingi benki, huku mshahara ukiendelea kuingia, ghafla mkataba wa kazi ukiisha au akistaafu hata kama ana akiba hata kama ni ya tsh millioni 400, na magari ya kutembelea, anaanza kuuza magari, hadi yanaisha, kila akifungua biashara, biashara zinafeli, kama mstaafu ni mzee, kisukari na presha, vinakuja na kifo cha fasta.. wengine wanaishia kuomba omba kwa ndugu na kutegemea watoto wao ili ku-survive.

Yaani wakistaafu ni kama mikosi inakuwa inawaandama..

Wakistaafu wanakua kama wanachuo waliomaliza chuo wakakosa ajira.

Wastaafu wachache sana wanaweza kubalance mambo yao ya kifedha yasiyumbe sana hata wakistaafu.

Shida inakuwaga wapi?
Mimi nawashauri wastaafu, kama mtu atapata hela kama hiyo uliyotaja (Tshs 400,000,000/=), na hana taaluma ya biashara, basi aweke hiyo hela bond katika taasisi zinazoamika kama BOT. Huko atapata coupon ya angalau asilimia kumi kwa mwaka au baada ya miezi sita. Asilimia kumi kwenye Shs 400,000,000/= ni shilingi 40,000,000/=, hiyo unaipata tu ukiwa umekaa nyumbani, bila kufanya kazi yoyote. Kama utataka kuweka miradi, chukua milioni tano katika hii milioni arobaini, halafu anzisha mradi wako, angalia maendeleo ya mradi wako huku shilingi 35,000,000 inapumua katika account yako ya benki. Ukiona mradi unaenda vizuri, ongezea kamilioni 5 kengine. Kumbuka wakati huohuo ile ya benk kuu (Tshs 40,0000,000) iko palepale na inajizalisha, kila mwaka inaingiza Tshs 40,000,000/=. Sasa hebu niambie, huyu mstaafu hata akifika umri wa miaka 70, atakufa kwa pressure? Labda atakufa kwa ugonjwa wa kitajiri (kisukari).
 
Vijana tuanze kujifunza kuwekeza mapema tupate uzoefu

Wastaafu wanapoteza sana hela zao za viinuamgongo wakishastaafu maana hawana uzoefu wowote wa biashara

The younger you start the more successful you'll be.
 
Back
Top Bottom