Me am realistic.. Mimi ni early pensionerNaona Majibu mengi hapa yamekuwa yakufikirika zaidi, they are not realistic
Nadhani kuna haja ya kupata wastaafu wenyewe kuwauliza ili tupate majibu sahihi. Sio vibaya kukiri kuwa kuna mahari ulikosea ili kusaidia wengine wasikosee.
Ndiyo maana akina Ben Mkapa and like wamewahi kuandika vitabu kuwahusu.
Hongera kukamilisha Utumishi wa Umma.
Wengi hawana financial literacyHabarini,
Mfano, Utakuta mtu amemaliza chuo kapata kazi yenye mshahara mzuri, kila mwaka anapanda vyeo kazini, anakuwa na akiba ya pesa nyingi benki, huku mshahara ukiendelea kuingia, ghafla mkataba wa kazi ukiisha au akistaafu hata kama ana akiba hata kama ni ya tsh millioni 400, na magari ya kutembelea, anaanza kuuza magari, hadi yanaisha, kila akifungua biashara, biashara zinafeli, kama mstaafu ni mzee, kisukari na presha, vinakuja na kifo cha fasta.. wengine wanaishia kuomba omba kwa ndugu na kutegemea watoto wao ili ku-survive.
Yaani wakistaafu ni kama mikosi inakuwa inawaandama..
Wakistaafu wanakua kama wanachuo waliomaliza chuo wakakosa ajira.
Wastaafu wachache sana wanaweza kubalance mambo yao ya kifedha yasiyumbe sana hata wakistaafu.
Shida inakuwaga wapi?
Hata Ajira ni biashara.Biashara inahitaji akili kubwa unadhani wastaafu wote huwa wana akili sawasawa? Akili waliyonayo ni ya kusimamiwa na biashara haitaki hivyo.
Ufanye mpango uwe nazo hata 5Hili jambo acheni tu, jirani yangu ni profesa mstaafu wa mzumbe dsm baada ya kustaafu miaka 5 iliyopita nimemuona dhahiri hayupo sawa,kakonda ghafla kazeeka zaidi analalamika maisha magumu, yote tisa 10 babu yangu ni balozi mstaafu ni mwaka wa 10 sasa toka astaafu zile pesa za kila mwezi za wastaafu zikichelewa analalamika ile mbaya sasa kachoka ana nyumba upanga lakini kodi yake anaona haitoshelezi mahitaji ya familia, ukimpa 200k anakupigia simu kukushukuru.
Nb. Maisha ya ajira muokozi pekee ukistaafu ni nyumba za kupanga kwasababu unapokuwa kwenye ajira kupata nafasi ya kufanya na kusimamia biashara ni ngumu sana.
Du mkuu wastaafu gani hasa maana umekusanya wote kwenye kapu moja.Habarini,
Mfano, Utakuta mtu amemaliza chuo kapata kazi yenye mshahara mzuri, kila mwaka anapanda vyeo kazini, anakuwa na akiba ya pesa nyingi benki, huku mshahara ukiendelea kuingia, ghafla mkataba wa kazi ukiisha au akistaafu hata kama ana akiba hata kama ni ya tsh millioni 400, na magari ya kutembelea, anaanza kuuza magari, hadi yanaisha, kila akifungua biashara, biashara zinafeli, kama mstaafu ni mzee, kisukari na presha, vinakuja na kifo cha fasta.. wengine wanaishia kuomba omba kwa ndugu na kutegemea watoto wao ili ku-survive.
Yaani wakistaafu ni kama mikosi inakuwa inawaandama..
Wakistaafu wanakua kama wanachuo waliomaliza chuo wakakosa ajira.
Wastaafu wachache sana wanaweza kubalance mambo yao ya kifedha yasiyumbe sana hata wakistaafu.
Shida inakuwaga wapi?
Habarini,

😄 🤣 😂 vijana wajiwekee akiba kwa kweli maana ni kesho tuEti 'na sura ya kizee, hutoboi' .mbona sisi wastaafu tutakoma kuringaaa
Kujisahau na kuwa conditioned na kazi moja inayokupa mshahara mwisho wa mweziHongera kukamilisha Utumishi wa Umma.
Tupe abcd za kwanini kuna kupitia msoto hata kama ulijiwekeza kwa mujibu wa mtoa mada.
Mimi nawashauri wastaafu, kama mtu atapata hela kama hiyo uliyotaja (Tshs 400,000,000/=), na hana taaluma ya biashara, basi aweke hiyo hela bond katika taasisi zinazoamika kama BOT. Huko atapata coupon ya angalau asilimia kumi kwa mwaka au baada ya miezi sita. Asilimia kumi kwenye Shs 400,000,000/= ni shilingi 40,000,000/=, hiyo unaipata tu ukiwa umekaa nyumbani, bila kufanya kazi yoyote. Kama utataka kuweka miradi, chukua milioni tano katika hii milioni arobaini, halafu anzisha mradi wako, angalia maendeleo ya mradi wako huku shilingi 35,000,000 inapumua katika account yako ya benki. Ukiona mradi unaenda vizuri, ongezea kamilioni 5 kengine. Kumbuka wakati huohuo ile ya benk kuu (Tshs 40,0000,000) iko palepale na inajizalisha, kila mwaka inaingiza Tshs 40,000,000/=. Sasa hebu niambie, huyu mstaafu hata akifika umri wa miaka 70, atakufa kwa pressure? Labda atakufa kwa ugonjwa wa kitajiri (kisukari).Habarini,
Mfano, Utakuta mtu amemaliza chuo kapata kazi yenye mshahara mzuri, kila mwaka anapanda vyeo kazini, anakuwa na akiba ya pesa nyingi benki, huku mshahara ukiendelea kuingia, ghafla mkataba wa kazi ukiisha au akistaafu hata kama ana akiba hata kama ni ya tsh millioni 400, na magari ya kutembelea, anaanza kuuza magari, hadi yanaisha, kila akifungua biashara, biashara zinafeli, kama mstaafu ni mzee, kisukari na presha, vinakuja na kifo cha fasta.. wengine wanaishia kuomba omba kwa ndugu na kutegemea watoto wao ili ku-survive.
Yaani wakistaafu ni kama mikosi inakuwa inawaandama..
Wakistaafu wanakua kama wanachuo waliomaliza chuo wakakosa ajira.
Wastaafu wachache sana wanaweza kubalance mambo yao ya kifedha yasiyumbe sana hata wakistaafu.
Shida inakuwaga wapi?
Ooh.........kumbe ule msemo wa usiweke mayai yote kwenye kapu moja huwa ni muhimuKujisahau na kuwa conditioned na kazi moja inayokupa mshahara mwisho wa mwezi
Sent using Jamii Forums mobile app