Bitoz Jobiso
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 925
- 1,202
Uarabuni ndio Uislamu ulipoanzia na waislamu ni wengi.
Swali langu ni; kwanini Waarabu wao hawana sigda, ile alama yeusi kwenye paji la uso kama wa huku kwetu Afrika, inamaana wao hawaswali sana au?