Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,026
- 2,266
Yeah hio nayo nachangia pakubwa Ila effect ya sigda inakuwa kubwa Kwa wenye Ngozi nyeusiile ni sugu ya paji la uso sababu ya ukosefu wa mikeka na madhuria standard ya kuswalia..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah hio nayo nachangia pakubwa Ila effect ya sigda inakuwa kubwa Kwa wenye Ngozi nyeusiile ni sugu ya paji la uso sababu ya ukosefu wa mikeka na madhuria standard ya kuswalia..
hahaaa maskini mihemko inakusumbua. haya uliza kingine kuhusu uislamusawa mkuu ila inaonekana ni wachache
Mbona wa arabu wengi wanazo moja wapo ndo Alzahiri kiongozi wa zamani wal Qaeedah acha ushamba mleta mada.uarabuni ndio uislamu ulipoanzia na waislamu ni wengi, swali langu ni kwa nini waarabu wao hawana SIGDA ile alama yeusi kwenye paji la uso?kama wa huku kwetu afrika inamaana wao hawaswali sana au
Mbona wa arabu wengi wanazo moja wapo ndo Alzahiri kiongozi wa zamani wal Qaeedah acha ushamba mleta mada.View attachment 2657783
sawaMbona wa arabu wengi wanazo moja wapo ndo Alzahiri kiongozi wa zamani wal Qaeedah acha ushamba mleta mada.View attachment 2657783
sawaMbona wa arabu wengi wanazo moja wapo ndo Alzahiri kiongozi wa zamani wal Qaeedah acha ushamba mleta mada.View attachment 2657783
Madini utapeli na upumbavu wa mwisho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji706][emoji706]umenichekesha sana ase kwamba litawaka taa kuanzia kaburini Hadi wapi..wakati linaoza linakuwa organic materialKuna jizee Moja nalijua Kwa kutungua watu ni nouma afu nalo eti linatarajia kuwaka taa peponi kwenye paji la uso