Kwanini Waarabu na Wahindi wao huwa hawapendi kuwa na mahusiano na Wafanyakazi wao Dukani au Ofisini, ila kwa Waafrika ni jambo la kawaida sana?

Na ndiyo maana waafrika hatufanikiwi mambo yetu, siku zote ukilala na mwanamke mfanyakazi wako basi juwa hatofanya kazi kwa umakini, atadharau wenzake na pengine hata wewe bosi wake na kumuona mkeo si lolote. Waafrika hatuna nidhamu ya kazi na ndicho kinachotumaliza maishani, tumeweka ngono mbele sana si wanawake si wanaume.
 
Mkuu umenena na umemaliza kila Kitu. Heko!
 
Kwenye ule uzi wa tunda kimasihara, kuna jamaa alisema alikua anampitia maza boss wake muhindi kwenye duka alilokua anafanya kazi.
 
Siku zote ukiwa mtu mwenye malengo makubwa katika maisha kwamba unataka kufika kwenye level ya juu zaid nadhani utapata jibu. In short hao wahindi na waharabu kwanza ni watu walioshika dini na pili ni watu wanaojitambua na kuheshimu uchumi wao na sehemu zao za kazi(offices).

Ukija kwa African people kwanza hatuna nidhamu katika kazi that why unakuta boss anatoka na secretary wake and apart from that ni kwamba vichwa vya chini vinatuendesha zaidi kuliko vichwa vyetu vya juu ambavyo ndivyoo vyenye utosi na mwisho wa siku that why unakuta mwafrika hapigi hatua kiivyoo couz ya kupenda uwasherati kuliko kazi and the end unakuta mwajiriwa wako anapiga bingo kazini kwako and still uwezi mwambia kitu couz anakupa chiu wake
 
Niliposoma huu uzi nimekumbuka kisa cha mwanangu mmoja kinafanana na hii mada. Jamaa amenipigia simu kuniambia ana kipengele kikubwa. Ametia mademu wawili mimba kwa mpigo na wamepishana siku tu!

Mmoja mfanyakazi wake na mwengine ni jirani wa eneo alilopanga frame ya ofisi maana nyuma ya ofisi kuna room za kupanga. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwambie afe Mmaasai afe Mmang'ati Kazi anayo!
 
Hahaha.. sasa kabila ya kufika shule.. Ulezi na ukuuzi tuwapitie kina SSB, MO alisha vinono...
Amna namna mabaharia tuungane tufanye harambee. Katika chama chetu kila mwamba akitoa buku 2 tutamuokoa baharia mwenzetu maana mwezi wa 4 anapokea raia wawili incase hamna pacha.
 
Amna namna mabaharia tuungane tufanye harambee. Katika chama chetu kila mwamba akitoa buku 2 tutamuokoa baharia mwenzetu maana mwezi wa 4 anapokea raia wawili incase hamna pacha.
Hongera in advance... vibaharia vimeshapatiwa ufumbuzi na kazi ndani kwa ndani..
Kwanza vinaogelea tumboni..pili vikitoka direct bandarini ..πŸŠβ€β™€οΈπŸŠβ€β™‚οΈ kuzamia
 
Hongera in advance... vibaharia vimeshapatiwa ufumbuzi na kazi ndani kwa ndani..
Kwanza vinaogelea tumboni..pili vikitoka direct bandarini ..πŸŠβ€β™€οΈπŸŠβ€β™‚οΈ kuzamia
Aminia jamani namba ni ile ile ya chama jina..."Mabaharia Waasisi"
 
Watu weupe hasa waarabu na wahindi wana asili ya dharau sana sana. Hivyo wakati mwingine ku sex na mtu mweusi anaona kama anajidhalilisha. Hasa jamaa na ndugu zake wakijua

Ni mtazamo wangu tu mkuu.
Unataka kusema hao wadada wanaohangaika na mkorogo ili wawe weupe wanajidharau wao wenyewe kisa skin colour? Kwahiyo hapo Wahindi na waarabu wanaendeleza tu walipoanzia hao wadada sio?
 
Mkuu japo umeandika vizuri ila huo mstari wa mwisho naomba nikurekebishe,Mwenyezi Mungu anasema Nimekuumbeni kutokana na makabila mbali mbali ili mpate kujuana ila aliye mbora kati yenu ni yule mwenye kumcha mwenyezi Mungu,

Kwa Mungu hakuna aliyembora kutokana na utaifa wake au rangi yake ya ngozi bali aliyembora mbele ya Mungu ni yule mwenye kumcha mwenyezi Mungu,yaani mwenye kuishi kwa kufuata misingi ya dini na kuacha aliyoyakataza mwenyezi Mungu.
 
Kweli Mkuu nakubalina na wewe kuwa kwa Mungu Binaadamu wote sawa

Huo mstari wa mwisho,uliwakusudia wote wanaojidharau na kujiona duni kwasababu wao Weusi, Vile vile Kwa wale wote wanaowabagua watu weusi kwa rangi zao za ngozi

Vile vile ni kiwafahisha wale wasiofahamu kuwa ni dini ya Kiislamu tu ndio inayotukuza rangi nyeusi,..

Rangi nyeusi ni rangi Bora katika Uislam, Usiku, Binaadamu NK,vimesifiwa Kwa rangi nyeusi

Mungu anauwezo wa kumuumba Binaadamu kwa rangi yoyote,angeluumba kwa UDONGO MWEKUNDU wa Ufinyazi lakini hakufanya hivyo..

Tafakari
 
Labda hauna shape tu lakini ungekuwa mrembo tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…