Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
ilikuaje
Bill Clinton says Monica Lewinsky affair was to 'manage anxiety'
Former president spoke about affair with then White House intern in Hulu docuseries Hillary
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ilikuaje
Na ndiyo maana waafrika hatufanikiwi mambo yetu, siku zote ukilala na mwanamke mfanyakazi wako basi juwa hatofanya kazi kwa umakini, atadharau wenzake na pengine hata wewe bosi wake na kumuona mkeo si lolote. Waafrika hatuna nidhamu ya kazi na ndicho kinachotumaliza maishani, tumeweka ngono mbele sana si wanawake si wanaume.Mwanaume wa Kiarabu au wa Kihindi hata kama dukani au ofisini Kwake ameajiri Mfanyakazi wa Kike ambaye ni Mrembo hasa (siku hizi mnawaita Pisi Kali) ni mwiko na kamwe hatoweza hata Kumtongoza ili afanye nae Mapenzi ila kwa Sisi Weusi (Waafrika) ikitokea Ofisini au Dukani Kwako umeajiri 'Pisi Kali' halafu 'humbandui' utachekwa na kuonekana ni bonge la 'Popoma' lililotukuka.
Tofauti hii inatokana na nini kati ya Waarabu na Wahindi dhidi ya sisi Weusi? Na nimetonywa hakuna 'Nuksi' mbaya kama 'Kutiana' Sehemu ya Kazi.
Mkuu umenena na umemaliza kila Kitu. Heko!Na ndiyo maana waafrika hatufanikiwi mambo yetu, siku zote ukilala na mwanamke mfanyakazi wako basi juwa hatofanya kazi kwa umakini, atadharau wenzake na pengine hata wewe bosi wake na kumuona mkeo si lolote. Waafrika hatuna nidhamu ya kazi na ndicho kinachotumaliza maishani, tumeweka ngono mbele sana si wanawake si wanaume.
Siku zote ukiwa mtu mwenye malengo makubwa katika maisha kwamba unataka kufika kwenye level ya juu zaid nadhani utapata jibu. In short hao wahindi na waharabu kwanza ni watu walioshika dini na pili ni watu wanaojitambua na kuheshimu uchumi wao na sehemu zao za kazi(offices).Mwanaume wa Kiarabu au wa Kihindi hata kama dukani au ofisini Kwake ameajiri Mfanyakazi wa Kike ambaye ni Mrembo hasa (siku hizi mnawaita Pisi Kali) ni mwiko na kamwe hatoweza hata Kumtongoza ili afanye nae Mapenzi ila kwa Sisi Weusi (Waafrika) ikitokea Ofisini au Dukani Kwako umeajiri 'Pisi Kali' halafu 'humbandui' utachekwa na kuonekana ni bonge la 'Popoma' lililotukuka.
Tofauti hii inatokana na nini kati ya Waarabu na Wahindi dhidi ya sisi Weusi? Na nimetonywa hakuna 'Nuksi' mbaya kama 'Kutiana' Sehemu ya Kazi.
Mwambie afe Mmaasai afe Mmang'ati Kazi anayo!Niliposoma huu uzi nimekumbuka kisa cha mwanangu mmoja kinafanana na hii mada. Jamaa amenipigia simu kuniambia ana kipengele kikubwa. Ametia mademu wawili mimba kwa mpigo na wamepishana siku tu!
Mmoja mfanyakazi wake na mwengine ni jirani wa eneo alilopanga frame ya ofisi maana nyuma ya ofisi kuna room za kupanga. 😂😂😂
Jamaa kachanganyikiwa hapa...Mmoja mwarabu mwengine mbondeiMwambie afe Mmaasai afe Mmang'ati Kazi anayo!
Kupitia uzi huu... tumfanyie mchango "harambee" !! Ameongeza ummati TZJamaa kachanganyikiwa hapa...Mmoja mwarabu mwengine mbondei
Nimemwambia asihofu elimu ni bureKupitia uzi huu... tumfanyie mchango "harambee" !! Ameongeza ummati TZ
Hahaha.. sasa kabila ya kufika shule.. Ulezi na ukuuzi tuwapitie kina SSB, MO alisha vinono...Nimemwambia asihofu elimu ni bure
Amna namna mabaharia tuungane tufanye harambee. Katika chama chetu kila mwamba akitoa buku 2 tutamuokoa baharia mwenzetu maana mwezi wa 4 anapokea raia wawili incase hamna pacha.Hahaha.. sasa kabila ya kufika shule.. Ulezi na ukuuzi tuwapitie kina SSB, MO alisha vinono...
Hongera in advance... vibaharia vimeshapatiwa ufumbuzi na kazi ndani kwa ndani..Amna namna mabaharia tuungane tufanye harambee. Katika chama chetu kila mwamba akitoa buku 2 tutamuokoa baharia mwenzetu maana mwezi wa 4 anapokea raia wawili incase hamna pacha.
Aminia jamani namba ni ile ile ya chama jina..."Mabaharia Waasisi"Hongera in advance... vibaharia vimeshapatiwa ufumbuzi na kazi ndani kwa ndani..
Kwanza vinaogelea tumboni..pili vikitoka direct bandarini ..🏊♀️🏊♂️ kuzamia
Bon voyage....Aminia jamani namba ni ile ile ya chama jina..."Mabaharia Waasisi"
Unataka kusema hao wadada wanaohangaika na mkorogo ili wawe weupe wanajidharau wao wenyewe kisa skin colour? Kwahiyo hapo Wahindi na waarabu wanaendeleza tu walipoanzia hao wadada sio?Watu weupe hasa waarabu na wahindi wana asili ya dharau sana sana. Hivyo wakati mwingine ku sex na mtu mweusi anaona kama anajidhalilisha. Hasa jamaa na ndugu zake wakijua
Ni mtazamo wangu tu mkuu.
Mkuu japo umeandika vizuri ila huo mstari wa mwisho naomba nikurekebishe,Mwenyezi Mungu anasema Nimekuumbeni kutokana na makabila mbali mbali ili mpate kujuana ila aliye mbora kati yenu ni yule mwenye kumcha mwenyezi Mungu,Waafrika weusi, watu wanaoishi chini ya jangwa la Sahara, bado hawajatimia kama Binaadamu, ni sub human..
Akili ya mtu mweusi bado haijawae matured, bado haijawa kamili..
Mwafrika mweusi, mwafrika kutoka chini ya jangwa la Sahara, zuri analiona BAYA na BAYA analiona ZURI..
Kuna theory nyingi Kwanini hawa watu wako hivyo, theory moja ni malezi wanayopata wakiwa wadogo...
Malezi ya Vichapo na adhabu inamfanya mtoto asiweze kujiamini,asiweze kuamua,asione lipi zuri lipi Baya..
Mwisho asiweze kuwa kiongozi,na hata akiwa kiongozi,ataongoza Kwa vitisho na adhabu kwa wale anaowaongoza..
Wazungu, Warabu, Wahindi wanadekeza Watoto wao,wanawapa maarifa Watoto wao..
Waafrika Tuache kupiga Watoto wetu,tuwalee Kwa busara na hekima..
Tutafika,We are the choose people..
Quran:-sura ya 15 aya ya 16,suratil hijri Mungu anasema "hakika nimemumba Binaadamu kwa udongo mweusi wa Ufinyazi"..
Mtu mweusi ni mtu bora,katika viumbe alivyoumba Mungu
Kweli Mkuu nakubalina na wewe kuwa kwa Mungu Binaadamu wote sawaMkuu japo umeandika vizuri ila huo mstari wa mwisho naomba nikurekebishe,Mwenyezi Mungu anasema Nimekuumbeni kutokana na makabila mbali mbali ili mpate kujuana ila aliye mbora kati yenu ni yule mwenye kumcha mwenyezi Mungu,
Kwa Mungu hakuna aliyembora kutokana na utaifa wake au rangi yake ya ngozi bali aliyembora mbele ya Mungu ni yule mwenye kumcha mwenyezi Mungu,yaani mwenye kuishi kwa kufuata misingi ya dini na kuacha aliyoyakataza mwenyezi Mungu.
Mmekutana [emoji16][emoji16][emoji1751][emoji1751]Ntakuuliza swali, makaburu Ni weusi? Tunisia, Egypt, Morocco je ni weusi. Endelea na matusi yako, lakini ukiona mbwa anajiuma mkia ujue ana kichaa
Labda hauna shape tu lakini ungekuwa mrembo tayariMwanaume wa Kiarabu au wa Kihindi hata kama dukani au ofisini Kwake ameajiri Mfanyakazi wa Kike ambaye ni Mrembo hasa (siku hizi mnawaita Pisi Kali) ni mwiko na kamwe hatoweza hata Kumtongoza ili afanye nae Mapenzi ila kwa Sisi Weusi (Waafrika) ikitokea Ofisini au Dukani Kwako umeajiri 'Pisi Kali' halafu 'humbandui' utachekwa na kuonekana ni bonge la 'Popoma' lililotukuka.
Tofauti hii inatokana na nini kati ya Waarabu na Wahindi dhidi ya sisi Weusi? Na nimetonywa hakuna 'Nuksi' mbaya kama 'Kutiana' Sehemu ya Kazi.