kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Wazungu ni watu wakuwapigia sana saluti wamevumilia waarabu na ndugu zao waislam naona sasa kutafika kipindi wataanza kuwaua hadharani
Vita vinapigwa palestina na lebanon weo wanaandamana Canada kwa kuvunja maduka ya watu na kuunguza magari ya watu eti free palestina huu sio ujambazi ? Wao kila tukio ni wao tu ukisikia kuna maandamano sehemu fulani ni lazima wawe waarabu tu
Wamekaribishwa katika nchi za watu wanataka kutawala wenyeji na kuwapangia nini cha kufanya wakipigwa spana wanaanza kulalamika heee uhuru uhuru uhuru mbona katika nchi zao hakuna uhuru
Wanzugu ni watu wa kuheshimiwa sana
View: https://youtu.be/IF7UqK3aLFw?si=OEsZ40b3oneWrSZO