Kwanini Waarabu wanauana sana wao kwa wao?

 
salamaleko ust kikwajuni!
 
Sawa mujahidin umeelewaka
 
Warabu hawauani ila wanachonganishwa.
Umekwepa swali ww. Ktk dini ya uislamu kuna maandiko yanasema msichangamane na kafiri. Na kwa mujibu wenu mtu asiyedini yenu ni kafiri.
Swali
1. Ni nani huyo anayewachonganisha?
2. Km ni kafiri mepata nguvu gani kuchangamana naye?
3. Mm (Sina undugu na ww) nikuchonganisha ww na ndugu zako mkaanza kupigana na kuuana. Unafikiri ni nani hapo ambaye hana elimu na akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…