G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
Usidanganye..labda amini hayo wewe binafsi,kupoteza ndugu jamaa zangu siyo sababu ya mimi kwenda kujiua na watu bwana.hapo hua kuna kitu ingine,tena unaweza kuta hua wanaamisha watu kua wamejilipua na kumbe unakuta kilichoenda kulipua ni midori tu mfano wa mwanadamu na inawezekana kabisa.Ngosha wa Mwanza omba yasikukute, wale wanaokwenda kujiripua kwa mabomu usidhani wanapenda, lakini dhuluma ndiyo inayowafanya kufikia hatua ile, ikiwa baba, mama, kaka wameuliwa na dada zako wamenajisiwa wewe utakuwa na moyo gani? Hiyo IQ unayoizungumzia utaifanyaje? Sisi watanzania tuombe amani usisikie kunako vita.
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA