Ras Rizzy G
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 225
- 241
nakubaliana na ww ndugu.but who is CAR??Hadi kufikia mwaka 2002 oct Waarabu walikuwa ktk kiwango cha Amani na usalama ikkumbukwe pipa la
mafuta walikuwa wakiuza kwa $120 uchumi wenye furaha... Sasa hapo wajukuu wa Bwana Yesu na wajukuu wa mfalme Daudi wakaona Eeeee hapa tutarudishwa utumwani na tutakandamizwa tena !!
Ndipo genge la maImerialist na Zaiyonit kuanza kuvamia Ngome ya Mbabe Saddam
na kuvunja defense (ulinzi mkuu)
nakupandikiza fitina!!
ikumbukwe kuwa "Fitina ni kiza cha usiku wa manane" kila
mmoja atayaonja siku zijazo!!!
Mauaji ya CAR yanathibitisha !!