Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Nimeona huku Twitter watu wanalalamika. Hili pia nimeliona sana mtandaoni. Shida nini?
Mosi, Elimu ndogo ya biashara ni tatizo kwa hili taifa, watu wengi biashara kwao ni kama Plan B.Nimeona huku Twitter watu wanalalamika. Hili pia nimeliona sana mtandaoni. Shida nini?
😄😄😄******* sana
Na ukienda kwenye comments ukiwaulizia bei wanakutumia namba ya simu
Kumá nyoko zao
Wengi ni mawinga ambao wananunuwa kitu sehemu bei rahisi na kuuza bei juu.Nimeona huku Twitter watu wanalalamika. Hili pia nimeliona sana mtandaoni. Shida nini?
View attachment 3527510
Ma wainga hawana akili, utapeli mwingiNimeona huku Twitter watu wanalalamika. Hili pia nimeliona sana mtandaoni. Shida nini?
View attachment 3527510
Na huyo anataka kukupiga, hawajiamini kwa sababu bei zao wanataka kupiga cha juuWeng
Wengi ni mawinga ambao wananunuwa kitu sehemu bei rahisi na kuuza bei juu.
Ukiona mtu anakwambiya bei njoo inbox ujuwe una deal na winga.
Na huyo anataka kukupiga, hawajiamini kwa sababu bei zao wanataka kupiga cha juu
Mbaya zaidi wanauza bei mara mbili ya bei halisi QUOTE
Hapo mwisho natofautiana nawe. Mara nyingi ukitaja bei wateja watakaokuja ni wale serious. Usipotaja na umelipia tangazo, basi utapata wateja ambao ungeisha wachujq, hela yako itaenda bure kwa sehemu kubwa.Mosi, Elimu ndogo ya biashara ni tatizo kwa hili taifa, watu wengi biashara kwao ni kama Plan B.
Pili, kuna wauzaji ambao hajaweka bei na hata ukiuliza bei pia bado hakujibu chochote.
Tatu, Watu wengi wanafanya biashara kimazoea, so wao wanaona kawaida tu.
Nne, Kuna wafanya biashara anakutajia bei kutokana na ulivyokuja (MAWINGA), so akiweka online bei hatapata faida, maana kuna malofa wake anowapiga bei kubwa atawakosa.
Tano, Wateja pia ni wasumbufu, muuzaji anaweza andika bei, ila bado mteja akauliza tena bei.
Sita, Wauzaji wanatafuta engagement na wateja, kitendo cha wewe kuuliza bei, kinaweza jenga uhusiano mzuri baina yenu endapo atakujibu ontime, kuliko ukaona bei halafu ukapita.
Mwisho, Wauzaji wanatenganisha wateja miyeyusho na wateja serious.
Infact Kwao wauzaji: BAYA LISILOWADHURU, NI JEMA LISILO NA FAIDA.
Rais wa china mbona leo vp UMEKUNYWA AU BANGI...?******* sana
Na ukienda kwenye comments ukiwaulizia bei wanakutumia namba ya simu
Kumá nyoko zao