Kwanini wabunge wa Zanzibar wasitoke nje ya Bunge yanapojadiliwa mambo ya Tanganyika?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Yanapojadiliwa mambo ya Tanganyika yasiyo ya Muungano, ni kwanini wabunge toka Zanzibar wasiwe wanatoka nje ya bunge na kuwaachia wabunge wa Tanganyika kujadili mambo yanayowahusu watanganyika?

Ni sawa wabunge toka nchi nyingine kujadili mambo yasiyowahusu ya nchi nyingine?
 
Watakwambia "Acha ubaguzi dogo sisi ni ndugu" ila wakifika huko zanzibar wanatutukana.
 
Yanapojadiliwa mambo ya Tanganyika yasiyo ya Muungano, ni kwanini wabunge toka Zanzibar wasiwe wanatoka nje ya bunge na kuwaachia wabunge wa Tanganyika kujadili mambo yanayowahusu watanganyika?

Ni sawa wabunge toka nchi nyingine kujadili mambo yasiyowahusu ya nchi nyingine?
Hii ni mojawapo ya kero za muungano inayotakwa kuondolewa haihitaji kusubiri katiba mpya
 
Yanapojadiliwa mambo ya Tanganyika yasiyo ya Muungano, ni kwanini wabunge toka Zanzibar wasiwe wanatoka nje ya bunge na kuwaachia wabunge wa Tanganyika kujadili mambo yanayowahusu watanganyika?

Ni sawa wabunge toka nchi nyingine kujadili mambo yasiyowahusu ya nchi nyingine?
Zanzibar inatutawala
 
Kwanza kabisa wasiwepo hawana faida kwetu
 
Sasa huo ni uonevu, mfanya maamuzi wa mwisho kwa Tanganyika ni Mzanzibar na hamsemi...wabunge wa Zanzibar kujadili mambo ya Tanganyika ndo iwe nongwa kweli?

Ebu jadilini tatizo la msingi, sio kukimbilia pepesi!
 
Sio watoke nje tu, wasihudhurie.

Wao wahudhurie vipindi vya masuala ya muungano tu.

Tanganyika tunalipa posho watu kuwepo bungeni na kutokuchangia chochote.
CCM ni ya wazanzibari, jee itawezekana kuwatoa bungeni wenye chama chao?
 
Back
Top Bottom