Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Upuuzi wa Mwl Nyerere katiba mbovu kweli kweli.Hawatoki na posho watachukua. Hivi mbunge wa raha leo ana mchango gani kwa jimbo la manyoni magharibi?
Hapo Sasa...Hawatoki na posho watachukua. Hivi mbunge wa raha leo ana mchango gani kwa jimbo la manyoni magharibi?
Watakwambia "Acha ubaguzi dogo sisi ni ndugu" ila wakifika huko zanzibar wanatutukana.Yanapojadiliwa mambo ya Tanganyika yasiyo ya Muungano, ni kwanini wabunge toka Zanzibar wasiwe wanatoka nje ya bunge na kuwaachia wabunge wa Tanganyika kujadili mambo yanayowahusu watanganyika?
Ni sawa wabunge toka nchi nyingine kujadili mambo yasiyowahusu ya nchi nyingine?
Na kwa kuwa CCM ni mali ya wazanzibari na wana CCM watanganyika hawana sauti ndani ya chama chao, basi hali hii haiwezi kubadilika mpaka CCM itolewe madarakani.Watakwambia "Acha ubaguzi dogo sisi ni ndugu" ila wakifika huko zanzibar wanatutukana.
Hii ni mojawapo ya kero za muungano inayotakwa kuondolewa haihitaji kusubiri katiba mpyaYanapojadiliwa mambo ya Tanganyika yasiyo ya Muungano, ni kwanini wabunge toka Zanzibar wasiwe wanatoka nje ya bunge na kuwaachia wabunge wa Tanganyika kujadili mambo yanayowahusu watanganyika?
Ni sawa wabunge toka nchi nyingine kujadili mambo yasiyowahusu ya nchi nyingine?
Zanzibar inatutawalaYanapojadiliwa mambo ya Tanganyika yasiyo ya Muungano, ni kwanini wabunge toka Zanzibar wasiwe wanatoka nje ya bunge na kuwaachia wabunge wa Tanganyika kujadili mambo yanayowahusu watanganyika?
Ni sawa wabunge toka nchi nyingine kujadili mambo yasiyowahusu ya nchi nyingine?
Kwanza kabisa wasiwepo hawana faida kwetuYanapojadiliwa mambo ya Tanganyika yasiyo ya Muungano, ni kwanini wabunge toka Zanzibar wasiwe wanatoka nje ya bunge na kuwaachia wabunge wa Tanganyika kujadili mambo yanayowahusu watanganyika?
Ni sawa wabunge toka nchi nyingine kujadili mambo yasiyowahusu ya nchi nyingine?
Sisi ni koloni la ZanzibarZanzibar inatutawala
Rais anaweza kutoka upande wowote wa Muungano. Tunachotaka kujua ni kwa nini wazanzibari wajadili mambo ya Tanganyika yasiyowahusu?Ebu jadilini tatizo la msingi, sio kukimbilia pepesi!
Jaribuni kuwatoa siku moja.Rais anaweza kutoka upande wowote wa Muungano. Tunachotaka kujua ni kwa nini wazanzibari wajadili mambo ya Tanganyika yasiyowahusu?
Yes.Jaribuni kuwatoa siku moja.
CCM ni ya wazanzibari, jee itawezekana kuwatoa bungeni wenye chama chao?Sio watoke nje tu, wasihudhurie.
Wao wahudhurie vipindi vya masuala ya muungano tu.
Tanganyika tunalipa posho watu kuwepo bungeni na kutokuchangia chochote.