Kwanini wabunge wengi wamesusia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati? Wengi hawapo

Mtanikumbuka
 
Attachments

  • 0A82EF79-32AD-43A2-B41F-CC2873E51116.jpeg
    0A82EF79-32AD-43A2-B41F-CC2873E51116.jpeg
    23 KB · Views: 1
Kwenye Bunge la Tanzania kuna wabunge 393
Ambapo
Wabunge 264 ni wa kuchaguliwa, yaani wana majimbo

Wabunge 113 hawa ni kundi maalumu kwa wanawake tu

Kuna wabunge 5 kutoka Zanzibar

Kuna wabunge 10 wanaoteuliwa na Rais

Kuna Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Swala langu ni kwa hawa wabunge 128

Hivi Tanzania tulilogwa na nani?

Kwanini tuwe na kundi kubwa lisilowakirisha jimbo lolote?

Wabunge 128 wanakula pesa za Watanzania ambazo zingetumika katika kufanya mambo ya msingi.

Kwanini wabunge kutoka Zanzibar waingie bunge letu wakati sisi hatuko kwao?

Kwanini Rais ateue wabunge 10 wasio na majimbo

Je hatuoni kuwa hawa kwa sehemu kubwa wanasababisha gharama za uendeshaji?

Wabunge hao 128 kwa asilimi 90 hawana mchango wa maana bungeni mf Salma Kikwete, yule Mama mwenyekiti wa Bunge na wengine wengi
 
Picha lilianza Kwa Kutengeneza Mgogoro wa Mpina katika wiki ambayo Kipara ana bajeti yake.

Picha linaenda mbali zaidi, Kipara anasema "Kama Kuna mtu ana ushahidi wa uozo wake apeleke "....... Kihalisia hiii ni kauli ambayo anajaribu kujifanya msafi wakati huohuo Ikipigilia msumari SUALA LA MPINA.

Picha likapiga hatua tatu zaidi, akaanza kugawa Mitungi Kwa Wabunge na Hela.., Kuna Mbunge anatumia Mkaa??... Kwamba wakagawe, Mitungi mia mbunge atagawa Kwa wanajimbo bila kuleta Tafaruku??.

Picha limerudi nyuma kidogo, hatimaye Mtoa Mada unadai Bungeni ni kweupe .

Haya yote ukijumulisha ,utagundua, MAKAMBA KIPARA, KICHWANI NI MWEUPE ,YEYE AENDELEE KUSHUKURU UWEPO WA

👉Kikwete

Yule DC alomuita Mpina MWALI, ajiandae kulima !!!
 
Mbona wapo nimeangalia mpaka muda spika anaahirisha mpaka saa 11, Wabunge wametoa hoja na wameshauri vizuri
 
Picha lilianza Kwa Kutengeneza Mgogoro wa Mpina katika wiki ambayo Kipara ana bajeti yake.

Picha linaenda mbali zaidi, Kipara anasema "Kama Kuna mtu ana ushahidi wa uozo wake apeleke "....... Kihalisia hiii ni kauli ambayo anajaribu kujifanya msafi wakati huohuo Ikipigilia msumari SUALA LA MPINA.

Picha likapiga hatua tatu zaidi, akaanza kugawa Mitungi Kwa Wabunge na Hela.., Kuna Mbunge anatumia Mkaa??... Kwamba wakagawe, Mitungi mia mbunge atagawa Kwa wanajimbo bila kuleta Tafaruku??.

Picha limerudi nyuma kidogo, hatimaye Mtoa Mada unadai Bungeni ni kweupe .

Haya yote ukijumulisha ,utagundua, MAKAMBA KIPARA, KICHWANI NI MWEUPE ,YEYE AENDELEE KUSHUKURU UWEPO WA

👉Kikwete

Yule DC alomuita Mpina MWALI, ajiandae kulima !!!
Mkuu bila tezi dume kufanya yake , awamu ya 2+2 itatusumbua sana.
 
Kwenye Bunge la Tanzania kuna wabunge 393
Ambapo
Wabunge 264 ni wa kuchaguliwa, yaani wana majimbo

Wabunge 113 hawa ni kundi maalumu kwa wanawake tu

Kuna wabunge 5 kutoka Zanzibar

Kuna wabunge 10 wanaoteuliwa na Rais

Kuna Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Swala langu ni kwa hawa wabunge 128

Hivi Tanzania tulilogwa na nani?

Kwanini tuwe na kundi kubwa lisilowakirisha jimbo lolote?

Wabunge 128 wanakula pesa za Watanzania ambazo zingetumika katika kufanya mambo ya msingi.

Kwanini wabunge kutoka Zanzibar waingie bunge letu wakati sisi hatuko kwao?

Kwanini Rais ateue wabunge 10 wasio na majimbo

Je hatuoni kuwa hawa kwa sehemu kubwa wanasababisha gharama za uendeshaji?

Wabunge hao 128 kwa asilimi 90 hawana mchango wa maana bungeni mf Salma Kikwete, yule Mama mwenyekiti wa Bunge na wengine wengi
Salma kikwete ni mbunge wa kuchaguliwa, alichaguliwa 2020
 
Back
Top Bottom