Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

Afu watu wanasema sijui Tanzania tunaua mashoga...
Albino sawa...ila hawa mashoga wanataka uraia tu nchi za watu kwa kutusingizia...
Tunawajua na tunajichanganya nao...hatujawai kuua shoga siye...
 
Nachoshangaa ni kwa nini maboyfriend zao hatuwajui?
Wamekauka kimyaaa...
 
hizo mambo za fashion wamejaa walewale tu ni kujisaulisha tu inatosha ili tuendelee kupendeza.

Hahahaaaa naona umesalimu amri.

Mtu ukitaka kuishi kwa amani dawa ni kuwapotezea tu ili mradi hawaingii kwenye anga zako.

La sivyo ukijifanya mtu wa kuwa mind sana utaishia kujitenga karibu na kila kitu.
 
product kama hizo utashindwaje kununua ni nzuri kwa kweli japo ma designer sio riziki.

Kuna watu waliapa kuzitupa iPhones zao na products zingine za Apple baada ya CEO wake kujitangaza.

Binafsi sidhani kama walizitupa.

I say live and let live and you'll be alright.
 
Kuna watu waliapa kuzitupa iPhones zao na products zingine za Apple baada ya CEO wake kujitangaza.

Binafsi sidhani kama walizitupa.

I say live and let live and you'll be alright.

Mimi mwenyewe ni mmoja wao...
Umasikini tu lakini nilitamani nitupe...

Ila next time sinunui tena hizi products....
Najua haita make a difference...lakini najisikia vibaya sana tokana na imani yangu...

Yani nilipata hizi news day baada ya kununua simu...kha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…