Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

Well I think it's almost natural....

Mwanaume wa kweli na sense of fashion wapi na wapi?

Na nature ya kazi zao, kutwa kuchwa kuvalisha mabinti warembo nguo kuanzia chupi mpaka gauni mwanume wa kweli ataweza wapi?

Hivi unipe kazi ya kumvalisha Ngu Gisele Bundchen hizo nguo zitavalika kweli?

Mambo ya fasheni tuwaachie kina Rehmtullah
 
Well I think it's almost natural....

Mwanaume wa kweli na sense of fashion wapi na wapi?

Na nature ya kazi zao, kutwa kuchwa kuvalisha mabinti warembo nguo kuanzia chupi mpaka gauni mwanume wa kweli ataweza wapi?

Hivi unipe kazi ya kumvalisha Ngu Gisele Bundchen hizo nguo zitavalika kweli?

Mambo ya fasheni tuwaachie kina Rehmtullah

naye si mwanaume huyo remtullah auu???
 
Unasema Defao?
Kwani Defao alipata ngoma? sikusikia hiyo?
Kwanza yupo kafa...?
Sijamsikia loong

Aisee hawa wakongo walitesa enzi zao...kama Madilu...Pepe Kale...wote pressure ziliwaua sababu ya miili mibaya...

kuna mwanamuziki wa konho wa zamani kidogo alikujaga tanzania SIMKUMBUKI JINA alikua maarufu ila shoga alipewa ngoma na pedeshee mmoja amabe sasa ni marehem
stor ndefu kidogo

lakini ndo hivuo hao mashoga wanamixiwa na wanawake

alafu unakuta wanajuana

wema &martin
 
Binafsi sijali kama mtu ni shoga au la. Hayo ni maisha yake binafsi na hayanihusu mimi.

Sioni ni kivipi watu wazima walioamua kufirana chumbani kunavyonihusu.

Kwa hiyo kwenye hiyo kura mimi sitapiga. Nitabaki neutral.

Ila ambacho sikifagilii ni ukatili dhidi ya hao watu. Kwa vile tu wao ni mashoga basi haina maana si binadamu.

Ni binadamu kama tulivyo binadamu wengine na wanastahili walau ile heshima ya kibinadamu.

Mmmh haya mzee wa haki
 
ata watangazaji pia mchekini yule jamaa wa nivana akiwa anaongea tu Eatv
 
Nasikia hua wanavaa pampaz

Kuna jamaa mmoja wa South Africa nilikutana nae kwenye conference fulani yani aliponyanyuka alikuwa kalowa usawa wa mstari wa ikweta...

Kila mtu alikuwa ana pretend kama hajamuona...

Na alivyo sasa kama Defao afu ni mrembo fulani hivi...

Simjui lakini nili conclude ni shoga na hivi South ni ruksa...

Watakuwa na tabu sana kutumia tundu la haja kubwa kufanya mambo yao si kazi ndogo...

Afu kijana mwenyewe kichwa kweli maana alikuwa anatema cheche tu kila mtu akipresent yeye ana cha kuongea tena cha maana
 
Kuhusu martin kadinda leo nimeshuudia na nimeamin rasmi baada ya kuona sms na kusikia akipiga simu kwa jamaa akimseduce ila martin ni mjanja sana aisee sms anazotuma ni flash sms tu
 
Kwa kuwa muda mwingi wanakaa sana na wadada na ndio wateja wao wakubwa wa hivyo vidubwasha vyao.....sasa jenga picha katika kundi la wanawake mwanaume upo pekee yako....lazima uta adapt tabia za kike hatimaye unakuwa punga na watu wana twanga....
 
Hahahaaa ndo hivyo.

Hata movie nyingi za Hollywood mashoga hushiriki kuzitengeneza.

Kwa hiyo kama unapenda kuangalia movie za Hollywood jua kuwa unaburudishwa na kazi walizoshiriki mashoga kuzitengeneza.

Na kama unatumia kompyuta jua kwamba kuna mashoga pia walishiriki katika kuzivumbua.

Ushawahi kumsikia Alan Turing?
Naye ni shoogaaa? nimemsoma sana kwenye theory zake za artificial intelligence
 
Kuhusu martin kadinda leo nimeshuudia na nimeamin rasmi baada ya kuona sms na kusikia akipiga simu kwa jamaa akimseduce ila martin ni mjanja sana aisee sms anazotuma ni flash sms tu

Iyo hbr iko vp khsu uyo martin kadinda cz ni jamaa anaejifanya yye sio shoga wakti rfk zke ni wanawake na mashoga wenzie
 
Naye ni shoogaaa? nimemsoma sana kwenye theory zake za artificial intelligence

In 1936, Turing delivered a paper, "On Computable Numbers, with an Application to the Entscheidungsproblem," in which he presented the notion of a universal machine (later called the “Universal Turing Machine," and then the "Turing machine") capable of computing anything that is computable: The central concept of the modern computer was based on Turing’s paper.
Homosexuality was illegal in the United Kingdom in the early 1950s, so when Turing admitted to police—who he called to his house after a break-in—in January, 1952, that he had had a sexual relationship with the perpetrator, 19-year-old Arnold Murray, he was charged with gross indecency. Following his arrest, Turing was forced to choose between temporary probation on the condition that he receive hormonal treatment for libido reduction, or imprisonment. He chose the former, and soon underwent chemical castration through injections of a synthetic estrogen hormone for a year, which eventually rendered him impotent.


Source
 
Back
Top Bottom