Hebu wataje wana mitindo wanaume wa kitanzania tuwaime. Naanza Sheria Ngowi, Hassan Ally na wengine wengi. Kwani niliowataja ni mashoga?
Sheria.. Mmmmhhhh...??????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu wataje wana mitindo wanaume wa kitanzania tuwaime. Naanza Sheria Ngowi, Hassan Ally na wengine wengi. Kwani niliowataja ni mashoga?
Well I think it's almost natural....
Mwanaume wa kweli na sense of fashion wapi na wapi?
Na nature ya kazi zao, kutwa kuchwa kuvalisha mabinti warembo nguo kuanzia chupi mpaka gauni mwanume wa kweli ataweza wapi?
Hivi unipe kazi ya kumvalisha Ngu Gisele Bundchen hizo nguo zitavalika kweli?
Mambo ya fasheni tuwaachie kina Rehmtullah
kuna mwanamuziki wa konho wa zamani kidogo alikujaga tanzania SIMKUMBUKI JINA alikua maarufu ila shoga alipewa ngoma na pedeshee mmoja amabe sasa ni marehem
stor ndefu kidogo
lakini ndo hivuo hao mashoga wanamixiwa na wanawake
alafu unakuta wanajuana
wema &martin
Nyie mna maneno...nyuki wa mashineni ang'ati au?sidhani may be anae wa show tu
nyuki wa mashineni
Binafsi sijali kama mtu ni shoga au la. Hayo ni maisha yake binafsi na hayanihusu mimi.
Sioni ni kivipi watu wazima walioamua kufirana chumbani kunavyonihusu.
Kwa hiyo kwenye hiyo kura mimi sitapiga. Nitabaki neutral.
Ila ambacho sikifagilii ni ukatili dhidi ya hao watu. Kwa vile tu wao ni mashoga basi haina maana si binadamu.
Ni binadamu kama tulivyo binadamu wengine na wanastahili walau ile heshima ya kibinadamu.
Mhhhhhh, nikitamani ya mwananke?Yaan hata ukitamani makalio ya mwanaume mwenzio hata kama hujampulia we ni shoga
wanatumia tundu la kutolea kinyesi kama starehe ghali kabisa
huwa nikiwa nao nawatizama nyuma kwa makini nione kama wana maji maji katika suruali ila huwa sioni
hivi huwaga inakuaje
naye si mwanaume huyo remtullah auu???
Nasikia hua wanavaa pampaz
Nachoshangaa ni kwa nini maboyfriend zao hatuwajui?
Wamekauka kimyaaa...
Naye ni shoogaaa? nimemsoma sana kwenye theory zake za artificial intelligenceHahahaaa ndo hivyo.
Hata movie nyingi za Hollywood mashoga hushiriki kuzitengeneza.
Kwa hiyo kama unapenda kuangalia movie za Hollywood jua kuwa unaburudishwa na kazi walizoshiriki mashoga kuzitengeneza.
Na kama unatumia kompyuta jua kwamba kuna mashoga pia walishiriki katika kuzivumbua.
Ushawahi kumsikia Alan Turing?
Kuhusu martin kadinda leo nimeshuudia na nimeamin rasmi baada ya kuona sms na kusikia akipiga simu kwa jamaa akimseduce ila martin ni mjanja sana aisee sms anazotuma ni flash sms tu
Naye ni shoogaaa? nimemsoma sana kwenye theory zake za artificial intelligence
In 1936, Turing delivered a paper, "On Computable Numbers, with an Application to the Entscheidungsproblem," in which he presented the notion of a universal machine (later called the Universal Turing Machine," and then the "Turing machine") capable of computing anything that is computable: The central concept of the modern computer was based on Turings paper.
Homosexuality was illegal in the United Kingdom in the early 1950s, so when Turing admitted to policewho he called to his house after a break-inin January, 1952, that he had had a sexual relationship with the perpetrator, 19-year-old Arnold Murray, he was charged with gross indecency. Following his arrest, Turing was forced to choose between temporary probation on the condition that he receive hormonal treatment for libido reduction, or imprisonment. He chose the former, and soon underwent chemical castration through injections of a synthetic estrogen hormone for a year, which eventually rendered him impotent.