Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?


Duh, Mungu atanisamehe kama ninamkufuru, ila huyu kuna baadhi ya wanawake hawamuingii kwa uzuri huo. Na nina uhakika kuna baadhi ya wanawake wakimuona tuu wanatamani wangepewa wao hiyo shape.
 
Tuanzie hapa kwanza kwani huyu ni mwanaume?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio Tanzania tu ni dunia nzima , Ricardo Tisci, Dolce and Gabana and the list goes on and on., kuonekana kike kike kuna uhusiano mkubwa na kazi ya udesigner, sijajua kwanini
 
Nifanyien mpango wa number yake wadau

Sent from "La -Vista"
 
Yani hilo swali najiulizaga na mm sipati jibu, ni kwann hivi!?

Adi nikawa nahisi labda wanapta mashinikizo kutoka kwenye taasisi kubwa zinazoshughulika na haya mambo,
Ukifatilia vizuri hawa wanamitindo wakipata mialiko ufaransa, marekani, ufilipino na kwngneko huko hukutana na wenzao wa hiyo fani ambao mostly ni mashoga.....

Ss nahis cjui wanalazimishwaa sielewii....yani hadi wanatutisha na sisi watt wetu wa kiume tusijewaruhusu kufanya hyo shughuli.

Musta.fah Has.san-Ali pekee ndio nnae mfahamu kumuona yuko vzur.....lkn hawa wengne hata mavaz yao yanatia kinyaa.
 
Kwa hiyo unataka kusema na huyu ni mwanaume? Mzuri kuliko dada yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…