Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

Hahahaaa duuuh!

Kuna ambaye keshawahi kukusimulia kuwa alifurahia?

Wanawake husimulia wanaume wao hufurahia,,,,,pia kwenye mablog si tunayasoma wanavyoandika ingia Raha tupu
 

Kwa hiyo tukisema tupige kura kuukubali au kuukataa,wewe utapiga ipi?
 
Weee si kweli kama alivyosema hapo NN, ,ukifanya mapenzi ya jinsia moja we ni shoga,,na hua wanapakuana tena umamfanya nae anakufanya,japo kuna wengine mashoga hua hawasimamishi wao wanafanywa tu
Without data mama usiconclude. Ni wengi wanaume wanaweka bila kuwekwa. Wewe ni mwanamke wanaume wawajuaje? Ushoga ni kuingizwa na wala si kuingiza. Kama mwanaume anaingizwa hata aingize laki moja basi huyo shoga ila kama anapumlia watu kisogoni ila hawampumlii si shoga
 

Sijakulazimisha ukubali amini unavyoamini
 
Dolce&Gabbana wana product nzuri ila sikujuaga ni mashoga

Alaaa! Mbona ni mashoga na wala hawajifichi.

Hata Michael Kors ni shoga. Gianni Versace alikuwa shoga. Na wengine wengi tu hao ma top designers ni mashoga.

Sasa utaacha kununua (kama unaweza) bidhaa za D&G kisa wao ni mashoga?
 

mfiraji anaitwa basha
 
Kwa hiyo tukisema tupige kura kuukubali au kuukataa,wewe utapiga ipi?

Binafsi sijali kama mtu ni shoga au la. Hayo ni maisha yake binafsi na hayanihusu mimi.

Sioni ni kivipi watu wazima walioamua kufirana chumbani kunavyonihusu.

Kwa hiyo kwenye hiyo kura mimi sitapiga. Nitabaki neutral.

Ila ambacho sikifagilii ni ukatili dhidi ya hao watu. Kwa vile tu wao ni mashoga basi haina maana si binadamu.

Ni binadamu kama tulivyo binadamu wengine na wanastahili walau ile heshima ya kibinadamu.
 

mfiraji anaitwa basha au mende
 

Siyo wana mitindo tu...hata baadhi ya maHair Dresser wengi wa salon za Ulaya na America wengi wao ni mashoga"hasa wanaume". Hata mimi huwa najiuliza tatizo ni nini?
 
Afu muangalie lips zake anavyozibetua!Huwa nami namuangalia ila nakosa majibu
Wife anapenda sana kipindi chake. Mi nikifika home natoa tena kama hakuna program nzuri kwingine ni bora niangalie muvi za kihindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…