masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Kuna dogo flan wa Eatv, ananyoaga kiajabu ajabu. Anatawanywa pia.
yule anatangaza kipindi cha jion au??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna dogo flan wa Eatv, ananyoaga kiajabu ajabu. Anatawanywa pia.
nasikia harufu ya damu hapa
yule anatangaza kipindi cha jion au??
This is a culture of an industry. Pia, kuna mashoga wengi bankers lakini inakiwa vigumu kujinasibisha na ushoga ukiwa banker. Kwenye mitindo kuna uhuru zaidi wa creativity na mtu kwa anavyotaka mwenyewe ndio maana tunaona wengi wame come out kama mashoga.
Dawa ni kuyakimbia makundi ya mashoga;kwani hatari kuliko machangudoa wa barabarani usiku.
MASHOGA WANA LAANA YA AJABU !
Michael Kors ni shoga. Marc Jacobs ni shoga. Alexander McQueen alikuwa shoga. Tom Ford ni shoga. Dolce & Gabbana ni mashoga. Valentino ni shoga. Yves Saint Laurent ni shoga. Gianni Versace alikuwa shoga. Cristobal Balenciaga alikuwa shoga. Na kuna uwezekano wapo na wengine wengi tu.
Unaposema alikuwa unamaanisha kwa sasa ameacha au?
mashoga wana nuksi kishenziii
Ni kweli dada sijui wameingiwa na mizimu gani
Siku zinavyozidi kwenda wanaume wanazidi kupungua na kuwa wachache zaidi
Huoni hisi six pacs na sexy body zao? lazima tuwa honge , maaana ni wazuri na wana vutia sana