Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

Mimi mwenyewe zamani nilikuwa napata tabu kugrasp hiyo concept
but with time nimeelewa ktu kimoja japo sijakithibitisha.
It may be hypothesis yangu,niko tayari kukosolewa.
Tasnia nzima ya mitindo inaongozwa na consumerism propensity.
Most of the consumers wa mitindo ni WANAWAKE..
Hivyo kuna possibility kubwa ya hao fashionistas(designers,models etc) kutamani kuwa kama
wateja wao..In anthropological nature homo sapiens(Human being) ni mimetic animal
anapenda kuiga kile anachoona akili au maumbile yake yanaweza kukifanya..
kwaiyo sishangai leo designer kama Alex Mc Queen au Dolce kuinamishwa coz nafikiri nayeye
anafanana na Angelina Jolie au Beyonce anaevaa magauni au chupi zake afu akastrip off
mbele ya kamera..
Thats my take...
 
Binafsi sijali kama mtu ni shoga au la. Hayo ni maisha yake binafsi na hayanihusu mimi.

Sioni ni kivipi watu wazima walioamua kufirana chumbani kunavyonihusu.

Kwa hiyo kwenye hiyo kura mimi sitapiga. Nitabaki neutral.

Ila ambacho sikifagilii ni ukatili dhidi ya hao watu. Kwa vile tu wao ni mashoga basi haina maana si binadamu.

Ni binadamu kama tulivyo binadamu wengine na wanastahili walau ile heshima ya kibinadamu.

mkuu hujaelewa au unajifanya huelewi umeulizwa kwenye kura vipi unaanza mambo ya ubinaadamu ,mara hayakuhusu, hakuna aliyesema yanatuhusu na mpaka sasa kwani hawayafanyi hayo si wanayafanya pointi ni kuwa hatutaki kuyahalalisha au vipi we utaona poa kuona toto lako linabanduliwa au pia utakuwa NEUTRAL KWENYE FEELNGS
 
Sina uhakika sana kama wengi ni mashoga kuliko wasio mashoga kwa sababu sina takwimu zinazothibitisha upande mmoja au mwingine lakini kuna ukweli kuwa kuna idadi kubwa ya wanamitindo wakubwa na wenye majina hata huko Ulaya na Marekani walio na mwelekeo wa hivyo.

Michael Kors ni shoga. Marc Jacobs ni shoga. Alexander McQueen alikuwa shoga. Tom Ford ni shoga. Dolce & Gabbana ni mashoga. Valentino ni shoga. Yves Saint Laurent ni shoga. Gianni Versace alikuwa shoga. Cristobal Balenciaga alikuwa shoga. Na kuna uwezekano wapo na wengine wengi tu.

Sasa mnaopenda designer products kama mnazo za hao jamaa (au hata wengine) sijui mtazitupa baada ya kugundua kuwa hao wote ni mashoga au mtajishaua na kujifanya mtazitupa kama wale waliojidai watazitupa iPhones na iPads zao kisa CEO wa Apple ni shoga?

Bottom line, mashoga wapo kwenye kila nyanja, tasnia, na sekta!

Mkuu majority ya fashion designers ni mashoga. Ukiacha hao uliowataja wengine ni Giorgio Armani, Pierre Cardin, Christian Dior, John Galliano, Jean Paul Gaultier, Karl Lagerfeld, Christian Louboutin, Isaac Mizrahi, Alexander Wang wengine. Fashion designers wachache ambao sio mashoga ni Roberto Cavalli, Hayati Oscar De La Renta, Tommy Hillfiger, Calvin Klein, Ralph Lauren na Christian Lacroix.
 
Mimi mwenyewe zamani nilikuwa napata tabu kugrasp hiyo concept
but with time nimeelewa ktu kimoja japo sijakithibitisha.
It may be hypothesis yangu,niko tayari kukosolewa.
Tasnia nzima ya mitindo inaongozwa na consumerism propensity.
Most of the consumers wa mitindo ni WANAWAKE..
Hivyo kuna possibility kubwa ya hao fashionistas(designers,models etc) kutamani kuwa kama
wateja wao..In anthropological nature homo sapiens(Human being) ni mimetic animal
anapenda kuiga kile anachoona akili au maumbile yake yanaweza kukifanya..
kwaiyo sishangai leo designer kama Alex Mc Queen au Dolce kuinamishwa coz nafikiri nayeye
anafanana na Angelina Jolie au Beyonce anaevaa magauni au chupi zake afu akastrip off
mbele ya kamera..
Thats my take...

Nyie ndio mnaoamini kuwa homosexuality ni choice au lifestyle na sio sexual orientation. Ina maana kuwa hao designers waliamua kuwa gays baada ya kuwa succesful designers? Vipi wale fashion designers wa kike ambao ni lesbians kama Coco Chanel, Margareth Cho, Karla Laricks na wengine nao wanatamani kuwa kina nani?
 
main reason wengi wanakua na psychological breakdown..

i mean unakuta ana design kitu kizurii adi nafsi yake inatamani ingekivaa yeye mwenyewe..hapa inakuja wakati ana design most of female accessories ...anakua anatoa ile femine side yake in reality adi anazidisha msongo wa mawazo kustimulate more and more generation of female hormones in his dude mind..

pili inakuwa pale anapokuwa encountered na warembo in his daily activities anawavalisha kila siku adi ile excitement ya kuona naked girls inaondoka leading to upunga

hypothetical point of myview,,
 
Nyie ndio mnaoamini kuwa homosexuality ni choice au lifestyle na sio sexual orientation. Ina maana kuwa hao designers waliamua kuwa gays baada ya kuwa succesful designers? Vipi wale fashion designers wa kike ambao ni lesbians kama Coco Chanel, Margareth Cho, Karla Laricks na wengine nao wanatamani kuwa kina nani?

mi naamini homosexuality ni both..inaeza kuwa sexual orientation kama ulizaliwa na shida hiyo
ila wengine pia wana katabia ka kuigaiga vitu so inakuwa choice yao..
na hizi tabia za kishenzi huwa ukushazianza hazikuachi...
 
alafu point of correction..

marc jacobs alianzia loius vuitton kama muajiriwa ndo akajijua anaweza akaenda kuanzisha brand yake

kama fally ipupa alivyoanzia kwa kofi olomide
 
Nahisi nawe umooo....Mnatuharibia jamii...Laana tullah

Hata kama ni mashoga ndio nini ? Hamuachi kufatilia mambo ya watu binafsi.

Kuna mengi ya maana ya kujadiliwa munayaacha munatafuta mashoga walipo. 
 
Jaman tuacheni na maisha yetu kama tumependa mboro ni sisi khaaaa jadilini esrow huko
 
Wanapenda muhogo??? Katikati ya makalio.. How and why? Khaaa!! Bunch of perverts
 
Back
Top Bottom