Jese Pinkman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 661
- 338
Kwaiyo na uyu martine kadinda sijui naye shoga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi sijali kama mtu ni shoga au la. Hayo ni maisha yake binafsi na hayanihusu mimi.
Sioni ni kivipi watu wazima walioamua kufirana chumbani kunavyonihusu.
Kwa hiyo kwenye hiyo kura mimi sitapiga. Nitabaki neutral.
Ila ambacho sikifagilii ni ukatili dhidi ya hao watu. Kwa vile tu wao ni mashoga basi haina maana si binadamu.
Ni binadamu kama tulivyo binadamu wengine na wanastahili walau ile heshima ya kibinadamu.
Sina uhakika sana kama wengi ni mashoga kuliko wasio mashoga kwa sababu sina takwimu zinazothibitisha upande mmoja au mwingine lakini kuna ukweli kuwa kuna idadi kubwa ya wanamitindo wakubwa na wenye majina hata huko Ulaya na Marekani walio na mwelekeo wa hivyo.
Michael Kors ni shoga. Marc Jacobs ni shoga. Alexander McQueen alikuwa shoga. Tom Ford ni shoga. Dolce & Gabbana ni mashoga. Valentino ni shoga. Yves Saint Laurent ni shoga. Gianni Versace alikuwa shoga. Cristobal Balenciaga alikuwa shoga. Na kuna uwezekano wapo na wengine wengi tu.
Sasa mnaopenda designer products kama mnazo za hao jamaa (au hata wengine) sijui mtazitupa baada ya kugundua kuwa hao wote ni mashoga au mtajishaua na kujifanya mtazitupa kama wale waliojidai watazitupa iPhones na iPads zao kisa CEO wa Apple ni shoga?
Bottom line, mashoga wapo kwenye kila nyanja, tasnia, na sekta!
Mimi mwenyewe zamani nilikuwa napata tabu kugrasp hiyo concept
but with time nimeelewa ktu kimoja japo sijakithibitisha.
It may be hypothesis yangu,niko tayari kukosolewa.
Tasnia nzima ya mitindo inaongozwa na consumerism propensity.
Most of the consumers wa mitindo ni WANAWAKE..
Hivyo kuna possibility kubwa ya hao fashionistas(designers,models etc) kutamani kuwa kama
wateja wao..In anthropological nature homo sapiens(Human being) ni mimetic animal
anapenda kuiga kile anachoona akili au maumbile yake yanaweza kukifanya..
kwaiyo sishangai leo designer kama Alex Mc Queen au Dolce kuinamishwa coz nafikiri nayeye
anafanana na Angelina Jolie au Beyonce anaevaa magauni au chupi zake afu akastrip off
mbele ya kamera..
Thats my take...
Sijui alilewa,kuna video naisaka nasikia video ya lulu imevuja
shoga ake wema lol
Siku zinavyozidi kwenda wanaume wanazidi kupungua na kuwa wachache zaidi
Nyie ndio mnaoamini kuwa homosexuality ni choice au lifestyle na sio sexual orientation. Ina maana kuwa hao designers waliamua kuwa gays baada ya kuwa succesful designers? Vipi wale fashion designers wa kike ambao ni lesbians kama Coco Chanel, Margareth Cho, Karla Laricks na wengine nao wanatamani kuwa kina nani?
Hata kama ni mashoga ndio nini ? Hamuachi kufatilia mambo ya watu binafsi.
Kuna mengi ya maana ya kujadiliwa munayaacha munatafuta mashoga walipo. 
nimekosea nikadhanu unaongelea models wa kiume.mmmmmh sijaelewa