Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,850
Reaction score
6,030
Hii nchi bwana, Wachaga sijui kwanini Kila taasisi au sehemu nyeti serikalini wapo wamejaa kibao, unaweza sema wanapendelewa na mfumo, lakini hii si kweli, Wachaga wamejaa kwenye maofisi ya serikalini, na binafsi , ila vyeo vikuu vya kisasa hawapati.

Huwezi kukuta mchaga Raisi, Mchaga Waziri mkuu, mchaga katibu mkuu Kiongozi, ila licha ya hivyo kwakweli wameenea Kila sekta, Kila mahali, japo ni kabila lisilo na watu wengi, jingine ni kabila la wahaya Kila Kona .

Sasa ndugu zangu wakinga wao Huko serikalini sio wengi, ila ndo wanamiliki sehemu kubwa ya kariakoo pamoja na wahindi na waarabu, kiujumla matabaka haya yanamiliki 85% ya majengo ya kariakoo
 
Jibu ni moja tu "KAMLETE" mtoto wa mjomba na shangazi wa machame "KAMLETE", mtoto wa dada hana kazi tuganyeje "MLETE". Ni Utamaduni wa MLETENI... hayo makabila yanayotoa hao maraisi hawana huo utamaduni hasa watu wa pwani.

Si ajabu mwinyi rais Zanzibar ila watoto wa shangazi yake hawajui na hawana namna ya kumpata. Na yeye hilo halimuumiz kichwa kabisa. Ulega na Majaliwa nao.. hayo mambo ya kuemdekeza unyumbani na ukabila hayo makabila yanayotoa viongoz wakubwa hawanaga. So, wanaonufaika sana ni walewale wa chini yake makatibu na manaibu
 
Usiogope, mambo yatabadilika tu, siku hizi elimu haina thamani hivyo, ukiwa chawa na unaweza kupiga maneno inatosha kukuwezesha kuishi mjini kama Dotto Magari.
 
Jibu ni moja tu "KAMLETE" mtoto wa mjomba na shangazi wa machame "KAMLETE", mtoto wa dada hana kazi tuganyeje "MLETE". Ni Utamaduni wa MLETENI... hayo makabila yanayotoa hao maraisi hawana huo utamaduni hasa watu wa pwani.

Si ajabu mwinyi rais Zanzibar ila watoto wa shangazi yake hawajui na hawana namna ya kumpata. Na yeye hilo halimuumiz kichwa kabisa. Ulega na Majaliwa nao.. hayo mambo ya kuemdekeza unyumbani na ukabila hayo makabila yanayotoa viongoz wakubwa hawanaga. So, wanaonufaika sana ni walewale wa chini yake makatibu na manaibu
Hapa kuna hoja
 
Watu wa Pwani ndio wana huo utaratibu zaidi. Angalia jinsi JK, Mwinyi na Samia walivyojaza ndugu zao serikalini.
 
Back
Top Bottom