Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

Jibu ni moja tu "KAMLETE" mtoto wa mjomba na shangazi wa machame "KAMLETE", mtoto wa dada hana kazi tuganyeje "MLETE". Ni Utamaduni wa MLETENI... hayo makabila yanayotoa hao maraisi hawana huo utamaduni hasa watu wa pwani.

Si ajabu mwinyi rais Zanzibar ila watoto wa shangazi yake hawajui na hawana namna ya kumpata. Na yeye hilo halimuumiz kichwa kabisa. Ulega na Majaliwa nao.. hayo mambo ya kuemdekeza unyumbani na ukabila hayo makabila yanayotoa viongoz wakubwa hawanaga. So, wanaonufaika sana ni walewale wa chini yake makatibu na manaibu
Sijui kwanini Wasukuma tunashindwa kufanya hivi
 
Hakuna mbwiga anatafuna kitimoto kwa wivu mkubwa kama mimi bwashee
Nakumbuka kipindi flani tulikuwa tumetoka Kigoma, kuna muha mmoja aliamua kwenda kuoa kwao...

Sasa ile tunarudi watu wako bwax tukapita Tabora kuna ka bar kamoja sikumbuki vizuri jina ila kako karibu kabisa na Oxygen Lounge.

Wale wamama wakapokea maelekezo, Warost kitimoto yote waliyokuwa nayo...
🤣🤣🤣 tulikula kilo 8.5 watu watano...

Sitasahau ile siku 😃😃😃
 
Hilo pekee sio jibu la swali pale juu, soma swali lilivyoulizwa alafu lipe jibu hilo. Then mwite hata mtoto wako mwambie asahihishe akupe maksi uone utapata ngapi? Kuna mzanzibar kaka pamoja na kuwa wachache Tanzania kaenea na kutapakaa nchi nzima na ulaya kajaa.

Kuna muha na kuna mmakonde! Hao watu wana spirit zinafanan na mchaga hata msukuma kakichafua sio mchezo. Kataa
Wachaga ni wapambanaji sana hilo liko wazi wanajua kuforce sana
 
Hilo pekee sio jibu la swali pale juu, soma swali lilivyoulizwa alafu lipe jibu hilo. Then mwite hata mtoto wako mwambie asahihishe akupe maksi uone utapata ngapi? Kuja mzanzibar kaka pamoja na kuwa wachache Tanzania kaenea na kutapakaa nchi nzima na ulaya kajaa.

Kuna muha na kuna mmakonde! Hao watu wana spirit zinafanan na mchaga hata msukuma kakichafua sio mchezo. Kataa
Wote uliowataja nimekaa nao waha, wamakonde ni wapambanaji ila wanaakili fupi sana hawana hesabu za mbali

Maendeleo sio tu upambanaji bali uwe mtu wa hesabu za mbali
 
Hii nchi bwana, Wachaga sijui kwanini Kila taasisi au sehemu nyeti serikalini wapo wamejaa kibao, unaweza sema wanapendelewa na mfumo, lakini hii si kweli, Wachaga wamejaa kwenye maofisi ya serikalini, na binafsi , ila vyeo vikuu vya kisasa hawapati.

Huwezi kukuta mchaga Raisi, Mchaga Waziri mkuu, mchaga katibu mkuu Kiongozi, ila licha ya hivyo kwakweli wameenea Kila sekta, Kila mahali, japo ni kabila lisilo na watu wengi, jingine ni kabila la wahaya Kila Kona .

Sasa ndugu zangu wakinga wao Huko serikalini sio wengi, ila ndo wanamiliki sehemu kubwa ya kariakoo pamoja na wahindi na waarabu, kiujumla matabaka haya yanamiliki 85% ya majengo ya kariakoo
Waislamu wajanja sana ....ni kama zile porojo zao kuhusu watusi ..kuwa ni hatari kwa Tanzania...swali lq logic na akili..je kati ya watusi na waislamu Raia feki wanao jidai watanzania na waislamu wazanzibar ni wepi wanao mwaga damu za watanganyika tena na kuleta udini mchafu nchini ...TUJIULIZE WATUSI WALICHA WAHI KUIHALIBU NCHI YETU KIVIPI ..MBONA TETESI NA VUMI ZIMEKUWA NYINGI JUU YAO ...LENGO LA HIZI VUMI ZINAZO ZUSHWA NA WAISLAMU NA WAISLAMU WA KUNDI LA RAIA FEKI NI KUIPUMBAZA NCHI ISIWATAMBUE MAADUI HALISI WA HII NCHI NA MACHIMBO YAO ..
MAADUI WA TAIFA LETU NI
1..CCM
2..WAZANZIBAR
3..WAARABU WA NDANI YA NCHI NA NJE
4..GENGE HATARI LA RAIA FEKI HASA WENYE DINI YA UISLAMU
5..UISLAMU
 
Hii nchi bwana, Wachaga sijui kwanini Kila taasisi au sehemu nyeti serikalini wapo wamejaa kibao, unaweza sema wanapendelewa na mfumo, lakini hii si kweli, Wachaga wamejaa kwenye maofisi ya serikalini, na binafsi , ila vyeo vikuu vya kisasa hawapati.

Huwezi kukuta mchaga Raisi, Mchaga Waziri mkuu, mchaga katibu mkuu Kiongozi, ila licha ya hivyo kwakweli wameenea Kila sekta, Kila mahali, japo ni kabila lisilo na watu wengi, jingine ni kabila la wahaya Kila Kona .

Sasa ndugu zangu wakinga wao Huko serikalini sio wengi, ila ndo wanamiliki sehemu kubwa ya kariakoo pamoja na wahindi na waarabu, kiujumla matabaka haya yanamiliki 85% ya majengo ya kariakoo
Wachagga ni kabila la tatu kwa ukubwa Tanzania. Ila wachagga wakifanikiwa kushika top position watawekana kindugu Kila sekta kubwa watakuepo ni wao
 
Baada ya miaka 10 huko serikani kwenye vitengo tutajaa wakinga..!!

Kuna kitu tumeandaa kikubwa kuhakikisha kote tunakamata kwenye harufu ya PESA 😹
 
Jibu ni moja tu "KAMLETE" mtoto wa mjomba na shangazi wa machame "KAMLETE", mtoto wa dada hana kazi tuganyeje "MLETE". Ni Utamaduni wa MLETENI... hayo makabila yanayotoa hao maraisi hawana huo utamaduni hasa watu wa pwani.

Si ajabu mwinyi rais Zanzibar ila watoto wa shangazi yake hawajui na hawana namna ya kumpata. Na yeye hilo halimuumiz kichwa kabisa. Ulega na Majaliwa nao.. hayo mambo ya kuemdekeza unyumbani na ukabila hayo makabila yanayotoa viongoz wakubwa hawanaga. So, wanaonufaika sana ni walewale wa chini yake makatibu na manaibu
Sure🫡
 
Back
Top Bottom