Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

It make sense, mana haya maendeleo ni product ya ukoloni. Na mkolon aliacha ovyo maeneo yote ambayo hakupokelew ka mikono miwili. Ukanda ule ambao ulimkataa kwa nvuvu mpaka uliitisha vita ya Majimaji ndo ukadidimia kabisa.

sidhani kama ni sawa, ni swala la timing tu, klm ndiyo waliokuwa mwanzoni kabisa na kama muda ungeruhusu nchi nzima ingefikiwa btw hata kagera pia walikuwa wako vizuri sana kielimu mpaka miaka ya hivi karibuni ambapo mkoa wa kgr ndiyo umeharibiwa, mbeya pia walikuwa na wasomi wazuri sana tu na southern highlands kwa ujumla, wako vizuri ila klm ndiko wamisionari walikotia timu mwanzoni kabisa hata reli ya kwanza kabisa nchini iliyounganisha bandari ya tanga na klm ilijengwa miaka ya 1890 kabla ya reli ya kati iliyokuja baadaye kuunganisha bandari ya dar na interior i.e tabora mpaka kgm na ukanda wote wa kati, hivyo utaona klm ilifunguliwa mwanzoni zaidi klk sehemu nyingine.

plus kwa waingereza baada ya wajerumani kuondoka mji wao pendwa ulikuwa ni arusha na siyo dar hata documents za uhuru zilisainiwa arusha na ndiyo mwanzo wa arusha kuwa diplomatic city "geneva of afrika" ingawaje sasa hivi wameua arusha, kifo cha arusha kilianzia awamu ya 4 baada ya kuamua kujenga ukumbi wa mikutano wa kimataifa dar (stupid idea) na kuleta competetion kwa arusha ambapo tayari kulikuwa aicc , na hii regime inaizika kabisa the old glory of arusha ...
 
1. Wachaga bado watayakalia makabila mengine kwa akili na udhubutu siku zote ndo wako hivyo sasa wewe utawafanyaje je waweza kuwabadilisha? Shirika la ndege tu Tz baada ya AiR Tz ni Precision Air ya Shirima wa Rombo je unajue bei ya kununua ndege moja to wewe Mkwere unaecheza ngoma kila siku kuwa ni shilingi bilioni mia? Mkwere au Mzaramo anapata wapi shilingi bilioni mia kununua ndege? na Precision Air wana ndege nyingi sana je unajua huu ni ukwasi mkubwa sana?
2. Nimeongelea tu shirika moja la ndege sijaongelea uwekezaji mkubwa mwingine
maeneo mengine!
3. Kama unaweza kaa na hawa watu kwa ukaribu.. au kaa tu kimya
 
Sijui kwanini Wasukuma tunashindwa kufanya hivi
Wasukuma nyi hampendani.
Wasukuma walioshilkilia fursa kwa muda mrefu wanatoka mkoa wa Simiyu, bahati mbaya zaidi Wasukuma wa mkoa huo wanajisikia mno kwa kuwa wameelimika vilivyo.
Ndiyo maana wengine wa mikoa ya Shinyanga na Geita wamezama kwenye mila, desturi na tamaduni za kale.
Uganga, Ulozi na kuhama hama na makundi ya ng'ombe toka mkoa mpaka mkoa.
Siku mkimaliza tofauti zenu Tanzania hapatatosha.
 
1. Wachaga bado watayakalia makabila mengine kwa akili na udhubutu siku zote ndo wako hivyo sasa wewe utawafanyaje je waweza kuwabadilisha? Shirika la ndege tu Tz baada ya AiR Tz ni Precision Air ya Shirima wa Rombo je unajue bei ya kununua ndege moja to wewe Mkwere unaecheza ngoma kila siku kuwa ni shilingi bilioni mia? Mkwere au Mzaramo anapata wapi shilingi bilioni mia kununua ndege? na Precision Air wana ndege nyingi sana je unajua huu ni ukwasi mkubwa sana?
2. Nimeongelea tu shirika moja la ndege sijaongelea uwekezaji mkubwa mwingine
maeneo mengine!
3. Kama unaweza kaa na hawa watu kwa ukaribu.. au kaa tu kimya
Hizi akili za kuringia mafanikio ya watu wengine ni za kishamba sana. Unatakiwa ukue sasa.
 
It make sense, mana haya maendeleo ni product ya ukoloni. Na mkolon aliacha ovyo maeneo yote ambayo hakupokelew ka mikono miwili. Ukanda ule ambao ulimkataa kwa nvuvu mpaka uliitisha vita ya Majimaji ndo ukadidimia kabisa.

..Wachaga pia walikataa wakoloni.

..kwa mfano, Wajerumani walinyonga hadharani viongozi 19 wa Kichagga.

..Mangi Meli alikatwa kichwa na kikapelekwa Ujerumani.

..Ukweli ni kwamba Wachagga waliwakataa Wakoloni kama walivyofanya makabila mengine.
 
sidhani kama ni sawa, ni swala la timing tu, klm ndiyo waliokuwa mwanzoni kabisa na kama muda ungeruhusu nchi nzima ingefikiwa btw hata kagera pia walikuwa wako vizuri sana kielimu mpaka miaka ya hivi karibuni ambapo mkoa wa kgr ndiyo umeharibiwa, mbeya pia walikuwa na wasomi wazuri sana tu na southern highlands kwa ujumla, wako vizuri ila klm ndiko wamisionari walikotia timu mwanzoni kabisa hata reli ya kwanza kabisa nchini iliyounganisha bandari ya tanga na klm ilijengwa miaka ya 1890 kabla ya reli ya kati iliyokuja baadaye kuunganisha bandari ya dar na interior i.e tabora mpaka kgm na ukanda wote wa kati, hivyo utaona klm ilifunguliwa mwanzoni zaidi klk sehemu nyingine.

plus kwa waingereza baada ya wajerumani kuondoka mji wao pendwa ulikuwa ni arusha na siyo dar hata documents za uhuru zilisainiwa arusha na ndiyo mwanzo wa arusha kuwa diplomatic city "geneva of afrika" ingawaje sasa hivi wameua arusha, kifo cha arusha kilianzia awamu ya 4 baada ya kuamua kujenga ukumbi wa mikutano wa kimataifa dar (stupid idea) na kuleta competetion kwa arusha ambapo tayari kulikuwa aicc , na hii regime inaizika kabisa the old glory of arusha ...
Maendeleo ya miji Afrika yote hii ilikuwa ni mipango na vipaumbele vya kikoloni, na haikukua kwa sababu nyingine yoyote ispokuwa Utawala. Na mji kuendelea haikuwa na maana yyoyote ya wenye mji ule kuendelea.

Hii iangaliwe kwa vyote quality and quantity. Ukisema hivyo Arusha haikuw kipaumbela kama Dar kwa mkoloni. Kukua kwa Mji huu wa dar kuna impact gani kwa wenye mji
 
Hii nchi bwana, Wachaga sijui kwanini Kila taasisi au sehemu nyeti serikalini wapo wamejaa kibao, unaweza sema wanapendelewa na mfumo, lakini hii si kweli, Wachaga wamejaa kwenye maofisi ya serikalini, na binafsi , ila vyeo vikuu vya kisasa hawapati.

Huwezi kukuta mchaga Raisi, Mchaga Waziri mkuu, mchaga katibu mkuu Kiongozi, ila licha ya hivyo kwakweli wameenea Kila sekta, Kila mahali, japo ni kabila lisilo na watu wengi, jingine ni kabila la wahaya Kila Kona .

Sasa ndugu zangu wakinga wao Huko serikalini sio wengi, ila ndo wanamiliki sehemu kubwa ya kariakoo pamoja na wahindi na waarabu, kiujumla matabaka haya yanamiliki 85% ya majengo ya kariakoo
Hizo takwimu za wakinga ume zitoa wapi?
Una hakika na ulicho andika ama n zile stori za vijiweni??
 
Back
Top Bottom