Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

Jibu ni moja tu "KAMLETE" mtoto wa mjomba na shangazi wa machame "KAMLETE", mtoto wa dada hana kazi tuganyeje "MLETE". Ni Utamaduni wa MLETENI... hayo makabila yanayotoa hao maraisi hawana huo utamaduni hasa watu wa pwani.

Si ajabu mwinyi rais Zanzibar ila watoto wa shangazi yake hawajui na hawana namna ya kumpata. Na yeye hilo halimuumiz kichwa kabisa. Ulega na Majaliwa nao.. hayo mambo ya kuemdekeza unyumbani na ukabila hayo makabila yanayotoa viongoz wakubwa hawanaga. So, wanaonufaika sana ni walewale wa chini yake makatibu na manaibu
Uongo, kuna makabila yana idadi ya wasomi zaidi ya wengine hivyo kushika nafasi za juu zisizo za uteuzi haikwepeki, let's say hauwezi kulazimisha mtoto wako awe jaji ilhali alipata zero form 4.
Linapokuja suala la kuteuana na kubebana linawezekana tu kwenye nafasi zisizohitaji ubobezi kwenye fani yaoyote ndipo vilaza kama Ridhiwani au Wanu unawaona wakitamba, hakukuwahi kuwepo mtoto wa Nyerere, Mkapa au Jiwe kwenye nafasi za uwaziri, sina uhakika kama Mzee Ruksa advised or pulled some strings ila hawezi kusemwa moja kwa moja kwani Mwinyi Jr ulikuwa ni uteuzi wa Mkapa. Kwa kifupi watu wa Pwani ndiyo wanaongoza kwa kubebana ila tatizo lao ni elimu, hauwezi kumfanya Wanu au Ridhiwani awe engineer TANESCO au awe cancer specialist Ocean Road hospital lakini Wachaga, Wahaya na pia Wanyakyusa na Wasukuma ndiyo unawakuta wamejaa huko hilo hata ukiangalia uwiano kwenye vyuo vya elimu ya kuanzia Bachelor Degrees kwenda juu utabaini jinsi uwiano ulivyo.
 
Uongo, kuna makabila yana idadi ya wasomi zaidi ya wengine hivyo kushika nafasi za juu zisizo za uteuzi haikwepeki, let's say hauwezi kulazimisha mtoto wako awe jaji ilhali alipata zero form 4.
Linapokuja suala la kuteuana na kubebana linawezekana tu kwenye nafasi zisizohitaji ubobezi kwenye fani yaoyote ndipo vilaza kama Ridhiwani au Wanu unawaona wakitamba, hakukuwahi kuwepo mtoto wa Nyerere, Mkapa au Jiwe kwenye nafasi za uwaziri, sina uhakika kama Mzee Ruksa advised or pulled some strings ila hawezi kusemwa moja kwa moja kwani ulikuwa ni uteuzi wa Mkapa. Kwa kifupi watu wa Pwani ndiyo wanaongoza kwa kubebana ila tatizo lao ni elimu, hauwezi kumfanya Wanu au Ridhiwani awe engineer TANESCO au awe cancer specialist Ocean Road hospital lakini Wachaga, Wahaya na pia Wanyakyusa na Wasukuma ndiyo unawakuta wamejaa huko hilo hata ukiangalia uwiano kwenye vyuo vya elimu ya kuanzia Bachelor Degrees kwenda juu utabaini jinsi uwiano ulivyo.
Ukienda pale unawakuta wamejaa, ina mana hao wenzao hakuna? Maaana ya hoja hii ni pana zaidi ya ulichofocus nacho. Nenda muhimbili pale, wao wamejaa ina mana waliosomea kada ya afya ni wao peke yao? Jibu ni ndio hapana?

Wakati wao wanapata wengi! Kuna wenzao wengi wamekosa hizo nafasi!. Je wao wanapata wengi na waliokosa wengi, huku kwa waliokosa na wao pia ni wengi kama waliopata wao ndo wengi?
 
Ukienda pale unawakuta wamejaa, ina mana hao wenzao hakuna? Maaana ya hoja hii ni pana zaidi ya ulichofocus nacho. Nenda muhimbili pale, wao wamejaa ina mana waliosomea kada ya afya ni wao peke yao? Jibu ni ndio hapana?
Majority ya wasomi(random sampling) it's obvious inatoka kwenye makabila ambayo watu wake wako ngazi za juu kwenye nafasi za taaluma, hiyo si Tanzania tu bali popote duniani utakapoenda uhalisia huo utaubaini.
Haiwezekani kabila lenye qualified doctors 1,000 liwe sawa na kabila lenye qualified doctors 50 katika taaasisi yoyote ya afya, kwenye nafasi za uteuzi mathalan za kisiasa ndipo unatuka ratio za kipumbavu kwani wanalazimisha alimradi mtu anaweza kuandika jina lake na anaweza kuongea(regardless anachoongea kina mantiki au la) basi atateuliwa tu ndipo hapo unakutana na aina za akina Ridhiwani na Wanu kwenye nafasi za maamuzi.
 
Ilitakiwq iwe hoja ambayo haitazamii chochote ndan yake kama ni kosa. Kama ni hivyo maendeleo ya mtu mmoja mmoja field yangekuwa randomly. Sabab mm siamin kama kila anaekosa sio qualified na kila anaepata ni qualified.
 
Wangekuwa wanajaza ndugu wangeenea. Wale wanabeba family member tu, hiyo ni center ya mipango yao. Wachaga wanabeba mpaka shemeji akiwa mchaga tu twende.
Angalia pia mwamko wa elimu kikanda.......wachaga ni watu waliwahi kupata mwanga wa elimu toka zamani, wakifuatiwa wahaya kwaivo wakawa kama wameteka soko la ajira kila mahali na walivo na umoja wa kukumbatiana kila mahali ndo ivo wanapeana vinafasi vyote tofauti na mtu wa pwani wakinga wasukuma pia hwakuwahi kupata mwanga wa elimu na mpaka sasa bado sio kipaumbele saana kwao baadhi ya makabila hasa wasukuma humo ndani ndani, wakinga wao ni biashara cha muhimu kumiliki pesa iwe kwa ndumba pamoja na jitihada za kuzitafuta
 
Maendeleo ya miji Afrika yote hii ilikuwa ni mipango na vipaumbele vya kikoloni, na haikukua kwa sababu nyingine yoyote ispokuwa Utawala. Na mji kuendelea haikuwa na maana yyoyote ya wenye mji ule kuendelea.

Hii iangaliwe kwa vyote quality and quantity. Ukisema hivyo Arusha haikuw kipaumbela kama Dar kwa mkoloni. Kukua kwa Mji huu wa dar kuna impact gani kwa wenye mji

hivyo ndivyo communists waliwapata waafrika na kuwadanganya, unaposema haikua na maana yoyote unamanisha nini? mipango miji yote tunayotumia leo hii walianzisha Christians, reli, br. hata madini tunayochimba geological survey ilishafanywa tayari, mazao yote ya kibishara na chakula tunayolima leo hii Chritsinas walileta kuanzia kahawa, chai, katani, mpaka mahindi.
communists wamedanganya waafrika kwamba wao (waafrika) ni victims na kila mtu anataka "kuwaibia" matokeo yake we miss out big opportunities, sababu ya waafrika kubakia nyuma siyo "ukoloni" bali ni communism, waafrika kukataa Christian capitalistic economic system ilikuwepo na kukumbatia communism cha ajabu ni kwamba communists ni wazungu pia hivyo mmekataa na nini na kukubali nini?

laiti kama afrika ingeendeleza mifumo ya kiuchumi tulioipokea baada ya uhuru hakika leo tungekuwa mbali sana, na ndivyo asia walivyofanya, asia walitawaliwa pia na wazungu lkn baada ya uhuru hawakukataa capitalism na kufukuza wazungu kutaifisha properties la hasha, bali waliendeleza kilichokuwepo na hiyo ndiyo tofauti.
 
Jibu ni moja tu "KAMLETE" mtoto wa mjomba na shangazi wa machame "KAMLETE", mtoto wa dada hana kazi tuganyeje "MLETE". Ni Utamaduni wa MLETENI... hayo makabila yanayotoa hao maraisi hawana huo utamaduni hasa watu wa pwani.

Si ajabu mwinyi rais Zanzibar ila watoto wa shangazi yake hawajui na hawana namna ya kumpata. Na yeye hilo halimuumiz kichwa kabisa. Ulega na Majaliwa nao.. hayo mambo ya kuemdekeza unyumbani na ukabila hayo makabila yanayotoa viongoz wakubwa hawanaga. So, wanaonufaika sana ni walewale wa chini yake makatibu na manaibu
Anachofanya Samia siyo kamlete?
Mtoto, Mkwe, n.k
 
hivyo ndivyo communists waliwapata waafrika na kuwadanganya, unaposema haikua na maana yoyote unamanisha nini? mipango miji yote tunayotumia leo hii walianzisha Christians, reli, br. hata madini tunayochimba geological survey ilishafanywa tayari, mazao yote ya kibishara na chakula tunayolima leo hii Chritsinas walileta kuanzia kahawa, chai, katani, mpaka mahindi.
communists wamedanganya waafrika kwamba wao (waafrika) ni victims na kila mtu anataka "kuwaibia" matokeo yake we miss out big opportunities, sababu ya waafrika kubakia nyuma siyo "ukoloni" bali ni communism, waafrika kukataa Christian capitalistic economic system ilikuwepo na kukumbatia communism cha ajabu ni kwamba communists ni wazungu pia hivyo mmekataa na nini na kukubali nini?

laiti kama afrika ingeendeleza mifumo ya kiuchumi tulioipokea baada ya uhuru hakika leo tungekuwa mbali sana, na ndivyo asia walivyofanya, asia walitawaliwa pia na wazungu lkn baada ya uhuru hawakukataa capitalism na kufukuza wazungu kutaifisha properties la hasha, bali waliendeleza kilichokuwepo na hiyo ndiyo tofauti.
Muafrika katika modernism hii yupo katika mfumo gani wa political economy?
 
Hii nchi bwana, Wachaga sijui kwanini Kila taasisi au sehemu nyeti serikalini wapo wamejaa kibao, unaweza sema wanapendelewa na mfumo, lakini hii si kweli, Wachaga wamejaa kwenye maofisi ya serikalini, na binafsi , ila vyeo vikuu vya kisasa hawapati.

Huwezi kukuta mchaga Raisi, Mchaga Waziri mkuu, mchaga katibu mkuu Kiongozi, ila licha ya hivyo kwakweli wameenea Kila sekta, Kila mahali, japo ni kabila lisilo na watu wengi, jingine ni kabila la wahaya Kila Kona .

Sasa ndugu zangu wakinga wao Huko serikalini sio wengi, ila ndo wanamiliki sehemu kubwa ya kariakoo pamoja na wahindi na waarabu, kiujumla matabaka haya yanamiliki 85% ya majengo ya kariakoo
Kuna hoja unataka kuiwasilisha lkn ni either unaona aibu au unajishtukia.
In either hoja unataka kuleta ni kwamba wenzetu walianza kujua umuhimu wa shule mapema sana katika karne ya 18. Ukiangalia historia Kilimanjaro ni mkoa uliokuwa na shule nyingi zaidi za secondary mwishoni mwa miaka ya 1980 wakati mikoa mingine ilikuwa ina shule 2, 3 au 8 lkn Kilimanjaro wakati ilikuwa na shule zaidi ya 40.

So katika hali ya kawaida watu waliokutangulia kielimu ni dhahiri watakutangaulia katika maeneo mengi ya kimaisha incl. nyadhifa, vyeo, utajiri etc....
 
Back
Top Bottom