Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

Jibu ni moja tu "KAMLETE" mtoto wa mjomba na shangazi wa machame "KAMLETE", mtoto wa dada hana kazi tuganyeje "MLETE". Ni Utamaduni wa MLETENI... hayo makabila yanayotoa hao maraisi hawana huo utamaduni hasa watu wa pwani.

Si ajabu mwinyi rais Zanzibar ila watoto wa shangazi yake hawajui na hawana namna ya kumpata. Na yeye hilo halimuumiz kichwa kabisa. Ulega na Majaliwa nao.. hayo mambo ya kuemdekeza unyumbani na ukabila hayo makabila yanayotoa viongoz wakubwa hawanaga. So, wanaonufaika sana ni walewale wa chini yake makatibu na manaibu

Hapana, siyo kweli. Mwaka fulani niliangalia mtandaoni majina ya walioitwa kwenye usaili wa kazi TRA, mengi yalikuwa ni majina ya kaskazini, kwa maana ya wachaga. Na hayo ni majina yaliyopita baada ya mchujo. Inamaana kuna wengine wengi tu wamepigwa chini. Kwa hesabu za kawaida, hiyo inaleta picha kwamba watakaopata ajira pia kuna uwezekano wa asilimia kubwa wengi wakawa ni wachaga. Kamlete hawezi kupitia mchakato wa usaili. Hata kama ni kamlete, number ya wachaga ilikuwa ni kubwa sana. Ni akili ndogo ndio zinaweza kuamini ile list ya TRA ina KAMLETE.
Mimi nilisoma shule ya Msingi Mnazi Mmoja kariakoo, Dar es salaam. Baada ya kumaliza darasa la saba, baada ya miaka kadhaa nikiwa nawasiliana na wanafunzi niliosoma nao Mnazi Mmoja, nagundua wengi ni wachaga. Hivi unaweza kudhani shule ya msingi iliyopo kariakoo kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi asili ya Kaskazini. Hiyo ilikuwa mwishoni mwa miaka ya 80.
Nikaenda kusoma sekondari mkoa wa Kilimanjaro. Hapo sitakuambia majority ya wanafunzi ilikuwa wa kutoka wapi.
Nilipoenda chuo, nilikuta organization za makabila. Organization kubwa kuliko zote ilikuwa ni ya watoto wa kichaga. Kutokana na wingi wao, graduation party kubwa ilikuwa ni ya chuo kizima. Inayofuata kwa ukubwa ilikuwa ni sherehe ya graduation ya organization ya wachage. Walikuwa ni wengi.
Elimu yetu inatuandaa tukaajiriwe. Sasa, utofauti huo mkubwa kwenye maandalizi ya kuajiriwa........upotelee tu hewani. Utofauti huo usijekuonekana kwenye level ya ajira???. Hell no!!
Hii dhana ya ukabila kwa wachaga, ni wivu tu ambao kuna wajinga wachache wasio na exposure huwa wanaamini mara moja.
Ok, for argument sake, teseme sawa wachaga KAMLETE. Nikupe tofauti ya kamlete wa kichaga na wa kimatumbi. Mchaga akiwa kwenye position na kuna nafasi ya graduate, KAMLETE anayekuja ana Degree. Mmatumbi mwenzako akiwa kwenye position na kuna nafasi ya graduate, KAMLETE anayekuja........akijitahidi saana ni form six failure. Tena hapo kahangaika kutafuta ukoo mzima.
Nikupe siri nyingine. Wakati jamii nyingine zinaamka na kuanza kukimbizia watoto wao mashuleni. Wachaga walibadili muelekeo baada ya kuona soko la ajira limebana. Waliwajaza watoto wao kwenye shule za ufundi ili wakajiari. Watoto wote walisukumiwa kwenye shule za VETA, hasa kwenye Umeme na ufundi mitambo. Hivi sasa kwenye karakana za makampuni makubwa mafundi wengi wanaofanya kazi za mikono ni vijana wa Kichaga. Hata mtaani, kuna mafundi wengi watoto wa wachaga kuliko makabila mengine.
Hivi sasa tuwaombe wachaga watuambie wanapeleka watoto wao wapi, ili wasije wakatuacha nyuma tena.
Dhana ya ukabila ni dhana iliyoletwa na watu walioshindwa kufikiri, wakitafuta nafasi za kisiasa.
Nakumbuka wakati gas imepatikana mikoa ya kusini, kulikuwa na mvutano mkubwa. Kusini walitaka gas hiyo iwanufaishe wao wa kusini kwanza. Hakuna mtu alisema watu wa kusini wanaleta ukanda au ukabila. Watu walisema 'KUSINI WAMEAMKA WANADAI HAKI YAO'. Lakini hali kama hiyo ingetokea kaskazini, wachaga waseme wanaomba mapato ya mlima Kilimanjaro yanufaishe mkoa wao kwanza!!!!! cha moto wangekiona. Wangesulubiwa kwa mashitaka ya ukanda na ukabila.
Ifike mahala tujifunze kwa waliotutangulia. Itatusaidia zaidi, kuliko kuleta majungu ya ukabila na ukanda.
Wanamziki wenye asili ya Kigoma walijikusanya wakaimba 'LEKADUTIGITE'. Wakasifia mkoa wao wa Kigoma na asili yao. Wote tuliwakubali, na tukaucheza mziki kwa roho safi.
Wanamuziki wenye asili ya kilimanjaro wakijikusanya na kufanya 'LEKADUTIGITE' yao, taswira na story inakuwa ni tofauti kabisa.
Hebu tuamke watanzania. Usikubali kutumika kama daraja.
 
Kuna siku ninapiga story na dean of students wa chuo fulani cha uhandisi aliniambia nanukuu"zaidi ya 70% ya wanafunzi wa hapa wanatoka kaskazini" mwisho wa kunukuu.Nilishangaa sana na kuwaona hawa wakaskazini sio watu wa kawaida hata kidogo
 
Tunazungumzia resource mobilization sio natural resources. Kama ninhivyo sasa mapatonya kariakoo na mji ilibidi wanufaike ndugu zangu wazaramo!

Unachoongelea wewe hakijanyooka. Kina ukakasi, na ukakasi unaletwa na maelezo na mpangilio wa hoja. Unaufaham mgodi wa Nyamongo?
 
Fact is accepted as fact because it has been repeatedly tested and verified, fact is something that is true.
There are no two ways about it.
Unafaham lakin tunazungumzi social reality? Unafaham nn ukiambia testing na verification hata ikiwa authenticity kwenye social research?. Mana hata kama ilikuwa tested lakin kwenye social science research tunaangalia vitu vingi!.
 
Swaying the narrative?
Primarily it was about believes vs facts then you pushed the narrative into social believes vs facts. No matter how hard you sway the narrative, nothing will ever stand against facts.
 
Hii nchi bwana, Wachaga sijui kwanini Kila taasisi au sehemu nyeti serikalini wapo wamejaa kibao, unaweza sema wanapendelewa na mfumo, lakini hii si kweli, Wachaga wamejaa kwenye maofisi ya serikalini, na binafsi , ila vyeo vikuu vya kisasa hawapati.

Huwezi kukuta mchaga Raisi, Mchaga Waziri mkuu, mchaga katibu mkuu Kiongozi, ila licha ya hivyo kwakweli wameenea Kila sekta, Kila mahali, japo ni kabila lisilo na watu wengi, jingine ni kabila la wahaya Kila Kona .

Sasa ndugu zangu wakinga wao Huko serikalini sio wengi, ila ndo wanamiliki sehemu kubwa ya kariakoo pamoja na wahindi na waarabu, kiujumla matabaka haya yanamiliki 85% ya majengo ya kariakoo
Msoga Mchagga, mama na Mwana bungeni, namba 1 Mchagga mama mwana na wakwe kwenye mfumo, magu Mchagga Wana kwenye mfumo, adadi Mchagga mwana kwenye mfumo, mkamba Mchagga baba mwana mfumoni, huko kwa wazenji ndio hatusemi baba, mwana mpaka wajukuu, cha muhimu somesha na uwaombee sana MWENYEZI MUNGU awasimami hao unaowasomesha wafike kwenye malengo yao, Acha majungu
 
Hii nchi bwana, Wachaga sijui kwanini Kila taasisi au sehemu nyeti serikalini wapo wamejaa kibao, unaweza sema wanapendelewa na mfumo, lakini hii si kweli, Wachaga wamejaa kwenye maofisi ya serikalini, na binafsi , ila vyeo vikuu vya kisasa hawapati.

Huwezi kukuta mchaga Raisi, Mchaga Waziri mkuu, mchaga katibu mkuu Kiongozi, ila licha ya hivyo kwakweli wameenea Kila sekta, Kila mahali, japo ni kabila lisilo na watu wengi, jingine ni kabila la wahaya Kila Kona .

Sasa ndugu zangu wakinga wao Huko serikalini sio wengi, ila ndo wanamiliki sehemu kubwa ya kariakoo pamoja na wahindi na waarabu, kiujumla matabaka haya yanamiliki 85% ya majengo ya kariakoo
Msoga Mchagga, mama na Mwana bungeni, namba 1 Mchagga mama mwana na wakwe kwenye mfumo, magu Mchagga Wana kwenye mfumo, adadi Mchagga mwana kwenye mfumo, mkamba Mchagga baba mwana mfumoni, huko kwa wazenji ndio hatusemi baba, mwana mpaka wajukuu, cha muhimu somesha na uwaombee sana MWENYEZI MUNGU awasimami hao unaowasomesha wafike kwenye malengo yao, Acha majungu
 
Tunazungumzia resource mobilization sio natural resources. Kama ninhivyo sasa mapatonya kariakoo na mji ilibidi wanufaike ndugu zangu wazaramo!

Unachoongelea wewe hakijanyooka. Kina ukakasi, na ukakasi unaletwa na maelezo na mpangilio wa hoja. Unaufaham mgodi wa Nyamongo?
Mimi nimenyoosha kwenye hoja yako ya KAMLETE. Na nimejaribu kukupa mifano inayo-suggest swala la ukabila kwa wachaga ni imani, chuki na ujinga ambao watu wenye akili ndogo wameaminishwa.
Kwa faida yako: Kinachoendelea kwa wachagga hivi sasa. Kwa wachagga, Ukiwa nje ya Kilimanjaro wewe ni diaspora. Uwe Mwanza, Dar, Washington, au Kazilamimba. Wana magroup yao ya diaspora huko whatsapp. wanakusanya pesa, wanajenga barabara zao za vijiji ambazo haziko TARURA. Baada ya miaka kumi ufike vijiji vya Kilimanjaro ukute miundombinu inang'aa uanzishe majungu mengine.
Mgodi wa Nyamaongo naufahamu, nimefanya kazi na kuishi pale pamoja na jamii.
 
Hii nchi bwana, Wachaga sijui kwanini Kila taasisi au sehemu nyeti serikalini wapo wamejaa kibao, unaweza sema wanapendelewa na mfumo, lakini hii si kweli, Wachaga wamejaa kwenye maofisi ya serikalini, na binafsi , ila vyeo vikuu vya kisasa hawapati.

Huwezi kukuta mchaga Raisi, Mchaga Waziri mkuu, mchaga katibu mkuu Kiongozi, ila licha ya hivyo kwakweli wameenea Kila sekta, Kila mahali, japo ni kabila lisilo na watu wengi, jingine ni kabila la wahaya Kila Kona .

Sasa ndugu zangu wakinga wao Huko serikalini sio wengi, ila ndo wanamiliki sehemu kubwa ya kariakoo pamoja na wahindi na waarabu, kiujumla matabaka haya yanamiliki 85% ya majengo ya kariakoo
Kwa sababu wachaga ni wasomi. Pia huwakuti kwenye nafasi za kisiasa kwa sababu ya woga wa mwalimu julius nyerere ambae aliwaogopa sana. Fahamu kuwa kabla ya uhuru wachaga lilikuwa taifa na lilishawahi kuwa na kiti UNO na mwaka 1958 waliomba uhuru wao na malkia aliwapatia provisional independence. Mwingereza alitaka mangi mareale ndio awe kiongoz wa kwanza wa tanganyika...lkn nyerere na ukatoliki wake plus waslam wa dar walimsaidia kupata kura nyingi. Mangi Mareale alikuwa mlutheri. Mwalimu alijua fika Rais aliefatia alkua awe mangi mareale ndipo nyerere akaanza kuwabania wachaga na kuwapa sifa mbovu...walikuwa wana hadi bendera yao ya taifa, magazeti na ofis za serikali. Na kuna nchi zilifungua ofis za ubalozi uchagan ikiwemo nchi ya zanzibar ambapo ofis zake zilikuwa old moshi, kwahiyo mwalimu aliwatapeli wachaga na yule na sera zake ndie chanzo cha umaskini wa hii nchi...hata makosa mnayoona ya muungano wa tanganyika na zanzibar ni yeye ndio chanzo. Muundo karume alioutaka wa muungano huu ulikuwa ni nchi iwe moja..yeye kwa ubinafsi na udikteta wake akaamua iwe hivi bila hata kushirikisha wananchi. Mwalimu alikuwa sio mjanja, Dola ya wachaga ilikuwa mbali sana yani..kumbuka ilikuwa na mlima, maziwa kama lake jipe, Tanzanite haikuwa manyara, biashara ya mazao kama kahawa..kncu ilikuwa chama cha ushirika cha mwanzo na kahawa kutoka dollar ya uchagani ilinyweka ulaya before independence ....Nyerere wana m over rate sana, kuliko uhalisia, haya ni maoni yangu
 
Jibu ni moja tu "KAMLETE" mtoto wa mjomba na shangazi wa machame "KAMLETE", mtoto wa dada hana kazi tuganyeje "MLETE". Ni Utamaduni wa MLETENI... hayo makabila yanayotoa hao maraisi hawana huo utamaduni hasa watu wa pwani.

Si ajabu mwinyi rais Zanzibar ila watoto wa shangazi yake hawajui na hawana namna ya kumpata. Na yeye hilo halimuumiz kichwa kabisa. Ulega na Majaliwa nao.. hayo mambo ya kuemdekeza unyumbani na ukabila hayo makabila yanayotoa viongoz wakubwa hawanaga. So, wanaonufaika sana ni walewale wa chini yake makatibu na manaibu
Unajua Ulega amefikaje hapo!!??
Umeona familia ya Mwinyi ina viongozi wangapi!!??

Tujifunze kufanya tafiti ndipo tuandike/tuzungumze.

Mfano wako kwenye upande wa " hasa watu wa pwani" hauna ukweli.

Wachaga wengi wamesoma,wapambanaji,wasio na uoga wala aibu, na ni watu wanaounganishwa na Uchaga wao.
Kila Mchaga ni ndugu,ndivyo ilivyo.
 
Siyo kila anayetoka Kilimanajro ni Mchagga.
Kilimanjaro kuna makabila makubwa matano:
1. Wachagga
2. Wapare
3. Wamasai
4. Wakamba (Wapo japo hawakubali kusema wao ni Wakamba)
5. Wagweno
Namba 4, hawa wakamba wanapatikana Wilaya gani mkuu?
Au nao wako Siha kama walivyo masai
 
Nadhani ni moja ya makabila yaliyowahi kupata Elimu hapa Tanzania tangu mkoloni! Harafu wanajuana! Mmoja akipata ofisi unakuwa mlango wa wengine kupata ajira.
 
Back
Top Bottom