Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

Ni kweli. Wachaga wako juu sana, na hasa kwenye unywaji wa "kongo" na mbundi-banana wine.

Ukija kwenye kutafuna "mdudu" ndiyo balaa inaanzia hapo.
ivi mikoa mongine hakuna vitu ivyo au watu wenye kutumia ivyo vipi sisi huku kusini tunao tengeneza gongo za mbabibo nasi ni waachaga?
 
ivi mikoa mongine hakuna vitu ivyo au watu wenye kutumia ivyo vipi sisi huku kusini tunao tengeneza gongo za mbabibo nasi ni waachaga?
Mimi nimekaa Mtwara kwa miaka 10, lakini sikuwahi kuona utengenezaji, uuzaji, na unywaji mkubwa wa "kongo" kama moshi vijijini na Rombo.
Kwa Moshi na Rombo, gongo ni industry.
 
Kuna siku ninapiga story na dean of students wa chuo fulani cha uhandisi aliniambia nanukuu"zaidi ya 70% ya wanafunzi wa hapa wanatoka kaskazini" mwisho wa kunukuu.Nilishangaa sana na kuwaona hawa wakaskazini sio watu wa kawaida hata kidogo
Labda chuo cha kata huko kaskazini
 
Ni Jalalani university of Dar es Salaam kilichopo makongo juu.
Unamaanisha ARDHI UNIVERSITY?
Pale ukiacha hao wanavunzi ambapo sina hakika ila staffs ni wachaga kibao kisa jamaa wa kuitwa CHUWA, huyu alijaza wachaga wenzie utazani chuo kiko moshi
 
Mimi nimekaa Mtwara kwa miaka 10, lakini sikuwahi kuona utengenezaji, uuzaji, na unywaji mkubwa wa "kongo" kama moshi vijijini na Rombo.
Kwa Moshi na Rombo, gongo ni industry.
basi uliishi mjini na ubora wa budhaa hutofautiana ndiyo maana umeshindwa kungamua jambo vizuri. siwatetei wachaga ila jua kila sehemu wanatengeneza gongo na kila sehemu ina walevi wagongo na kwakuwa wachagga mmewapa umakini hasa kwa maneno yakuskia ivyo basi itoshe kusema mengi ya taarifa ni prejudice/ biased.
 
Baada ya miaka 10 huko serikani kwenye vitengo tutajaa wakinga..!!

Kuna tumeandaa kikubwa kuhakikisha kote tunakamata kwenye harufu ya PESA 😹
Nadhani wasukuma ndio watatek ova kwa sababu ya wingi wao na sasa wameigeukia shule kwa hasira.
 
Kwa sasa haiwezi kutokea labda kama hujui maana ya 70%. Makabilia yote sasa hivi yanapiga vitabu na kila mahali kuna shule
Aliyekuzidi amekuzidi wewe mzaramo/mndengereko,mm sio wa kaskazini ila hao jamaa ni level zingine sio wakawaida hata mitizamo yao tu ni tofauti na wewe mmakonde,zingatia hilo
 
Aliyekuzidi amekuzidi wewe mzaramo/mndengereko,mm sio wa kaskazini ila hao jamaa ni level zingine sio wakawaida hata mitizamo yao tu ni tofauti na wewe mmakonde,zingatia hilo
Level zingine kwenye nini? Mtazamo kwenye nini ? Mwamko wa elimu na idadi ya shule kwao ndio iliwanufaisha miaka hiyo ila kwa sasa elewa tu kwamba sio kila mndengereko,mzaramo amezidiwa na kila mchaga iwe elimu au maisha binafsi.
 
Wewe hutaki kuelewa ngoja nikupe mfano huko huko kwenye elimu unapopataka, hao watu wako faster kubadilika kulingana na muda, elimu ilipoanza kuwa mbovu gov schools hao walikuwa watu wa mwanzo kupeleka watoto wao kenya,uganda na private schools zingine hapa nchini, na hata sasa hivi wanapeleka watoto vyuo nchi za nje na wanasomesha kimkakati sana hao watu
 
Usiogope, mambo yatabadilika tu, siku hizi elimu haina thamani hivyo, ukiwa chawa na unaweza kupiga maneno inatosha kukuwezesha kuishi mjini kama Dotto Magari.
Doto magari anamaisha kuliko sisi wasomi

Mbaya zaidi jamaa Huwa anatutukana sana sanaa
 
Wewe hutaki kuelewa ngoja nikupe mfano huko huko kwenye elimu unapopataka, hao watu wako faster kubadilika kulingana na muda, elimu ilipoanza kuwa mbovu gov schools hao walikuwa watu wa mwanzo kupeleka watoto wao kenya,uganda na private schools zingine hapa nchini, na hata sasa hivi wanapeleka watoto vyuo nchi za nje na wanasomesha kimkakati sana hao watu
Kwa sasa hayo yanafanywa na karibu kila mtanzania mwenye kipato sababu ya mwamko wa elimu upo kila mahali hapa TZ na sio suala la kabila fulani kwamba wao ndio wanapeleka watoto nje au private schools. Asilimia kubwa ni suala la kipato.

Kwa hiyo hakuna unique wowote.
 
Back
Top Bottom