ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
MpareCleopa Msuya alikuwa Mnyamwezi?
Usiogope, mambo yatabadilika tu, siku hizi elimu haina thamani hivyo, ukiwa chawa na unaweza kupiga maneno inatosha kukuwezesha kuishi mjini kama Dotto Magari.Hii nchi bwana, Wachaga sijui kwanini Kila taasisi au sehemu nyeti serikalini wapo wamejaa kibao, unaweza sema wanapendelewa na mfumo, lakini hii si kweli, Wachaga wamejaa kwenye maofisi ya serikalini, na binafsi , ila vyeo vikuu vya kisasa hawapati.
Huwezi kukuta mchaga Raisi, Mchaga Waziri mkuu, mchaga katibu mkuu Kiongozi, ila licha ya hivyo kwakweli wameenea Kila sekta, Kila mahali, japo ni kabila lisilo na watu wengi, jingine ni kabila la wahaya Kila Kona .
Sasa ndugu zangu wakinga wao Huko serikalini sio wengi, ila ndo wanamiliki sehemu kubwa ya kariakoo pamoja na wahindi na waarabu, kiujumla matabaka haya yanamiliki 85% ya majengo ya kariakoo
Hapa kuna hojaJibu ni moja tu "KAMLETE" mtoto wa mjomba na shangazi wa machame "KAMLETE", mtoto wa dada hana kazi tuganyeje "MLETE". Ni Utamaduni wa MLETENI... hayo makabila yanayotoa hao maraisi hawana huo utamaduni hasa watu wa pwani.
Si ajabu mwinyi rais Zanzibar ila watoto wa shangazi yake hawajui na hawana namna ya kumpata. Na yeye hilo halimuumiz kichwa kabisa. Ulega na Majaliwa nao.. hayo mambo ya kuemdekeza unyumbani na ukabila hayo makabila yanayotoa viongoz wakubwa hawanaga. So, wanaonufaika sana ni walewale wa chini yake makatibu na manaibu
Watu wa Pwani ndio wana huo utaratibu zaidi. Angalia jinsi JK, Mwinyi na Samia walivyojaza ndugu zao serikalini.Jibu ni moja tu "KAMLETE" mtoto wa mjomba na shangazi wa machame "KAMLETE", mtoto wa dada hana kazi tuganyeje "MLETE". Ni Utamaduni wa MLETENI... hayo makabila yanayotoa hao maraisi hawana huo utamaduni hasa watu wa pwani.
Si ajabu mwinyi rais Zanzibar ila watoto wa shangazi yake hawajui na hawana namna ya kumpata. Na yeye hilo halimuumiz kichwa kabisa. Ulega na Majaliwa nao.. hayo mambo ya kuemdekeza unyumbani na ukabila hayo makabila yanayotoa viongoz wakubwa hawanaga. So, wanaonufaika sana ni walewale wa chini yake makatibu na manaibu
Wangekuwa wanajaza ndugu wangeenea. Wale wanabeba family member tu, hiyo ni center ya mipango yao. Wachaga wanabeba mpaka shemeji akiwa mchaga tu twende.Watu wa Pwani ndio wana huo utaratibu zaidi. Angalia jinsi JK, Mwinyi na Samia walivyojaza ndugu zao serikalini.
Nyie ndo zile shombo shombo za wachaga 🤣 kina masawe wa bei ya jioniHao wachaga wanaobeba mpaka shemeji sisi wachaga pia tunawasikia humu humu jf
Wachaga bado wako juu siku zote ndo iko hivyo
Yelewii Marangu ushaanza jipigia chapuoWengi wamejiajiri na hawana issue za kulia lia na laki saba kwa mwezi
Kuliko wazanzibari waliojazana ulaya? Upambanaji hapo umebeba maana gani uliyoitazamia?Moja ya Sababu ni kua hao jamaa ni wapambanaji.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hao wachaga wanaobeba mpaka shemeji sisi wachaga pia tunawasikia humu humu jf