Kwanini Wachaga na Wapare wanaogopwa na kubaguliwa?

Kwanini Wachaga na Wapare wanaogopwa na kubaguliwa?

Japo Nina damu kidogo ya upare (ni me mix) Ila mchaga na mpare wameachana mbali sana. Wapare msijidanganye level ya maendeleo ya mchaga hamuikuti hata Robo iwe kiakili, kielimu au kibiashara au ubora wa makazi huko mtokapo.
Hata kitabia mchaga anambeba mchaga mwenzake Ila sio mpare. Mpare ana roho mbaya yaani ile roho ya Bora tukose wote.
Af mpare alichozidi labda uzinzi a. K. A umalaya.
So hata siku moja unapoongelea achievements kamwe usijiweke group moja na mchaga.
Wapare wajomba zangu Niko tayari mnipopoe mawe
Mchaga Mama au Baba? Pole sana maana inauma sana kuwa zao la Malaya na Wazinzi.
 
Yaani hata Mimi siungi mkono kwa Hilo. Wachaga sio wabahili Wao wanakula Bata vizuri sana. Mpare anaweza kumiliki nyumba 50 mjini akawa anatembelea baiskeli pia Hali chakula kizuri Wala hapigi pamba Wala halali pazuri.
Hivi hii tabia ni ya kurithi au Kuna course wanapigwa wanapo kua wanabarehe, Kuna demu mmoja nadate nae duh anakaribia kunishinda
 
Sijajua Duniani Kuna kabila Gani halipendi pesa. Waisrael walifanywa ivyo na Dola ya kirumi sote Tunajua kilichoipata Roman Empire na Balaa la kisasi wanachokifanya Israel wakati huu Dunia ikitizama. Ubaguzi ni Laana. Jiepushe nao.
 
Mimi niwe muwazi tu Baba Mpare na Mama Mchaga na nimekulia Arusha hivyo pia ni Chuga boy-tough guys.

Nimefuatilia kwa miaka mingi sasa wachaga na wapare wanaogopwa sana kwenye uongozi. Nakumbuka wakati fulani mtu anakuja na kulalamika kwamba kuna professor wengi wachaga hiyo ilikuwa miaka ya 1990's pale UD.

Wahaya nao walikuwa hivyo lakini baada ya kushuka sana kiuchumi kwao na kwenye biashara sasa wahaya hawaogopwi tena. Yaani kila mali ukienda a una nyumba lakini ni kwasababu nyie ni wachaga.

Hata mimi kuna watu nikikutana nao na uchuga wangu na .5 ya uchaga wanafikiri ni mchaga wanasema umefanya hili au lile kwasababu ni mchaga! nawaambia mimi ni mpare wanasema ni haohao.

Je, niulize ni kitu gani kinafanya sisi kuogopeka kiasi kwamba kuna nafasi wachaga na wapare wananyimwa kwasababu ya makabila yao. Mfano inadaiwa Magufuli alikuwa anabagua waziwazi wizara ya fedha ambayo ilikuwa na wapare wengi na wachaga tena CPA waliletewe mizengwe mpaka wakaondoka

Niongezee tu ni bora wachague wanawake wa kichaga au kipare kuliko wanaume

Maswali

1. Je, sisi ni wezi na mafisadi sana kiasi ambacho tunaogopeka

2. Je, sisi ni wakabila na tunapendeleana sana

3. Je, ni uoga wa kufanikiwa tukipata fursa

4. Je, haya nayosema si kweli na ni fikra potofu

5. Ni 1, 2 na 3
Nafikiri ni dhana iliyojengeka kwenye familia zetu toka kitambo kuwa wachagga na wapare ni majambazi na wasanii wa ndoa. Kwa miaka ya nyuma 1970s mpaka early 90s ilikuwa hivi, majambazi wengi ni kweli walikuwa either wachagga au wapare ila sasa ni CCM.
 
Back
Top Bottom