Hata ungetamani umpende unashindwa in a long run...Most are very selfishTabia zao zinawaangusha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ungetamani umpende unashindwa in a long run...Most are very selfishTabia zao zinawaangusha
MPARE gat kujiita yeye MPARE mbele za watu haweziUnauhuru wa kuongea utumbo ila neno lako sio sheria
Yaani hata Mimi siungi mkono kwa Hilo. Wachaga sio wabahili Wao wanakula Bata vizuri sana. Mpare anaweza kumiliki nyumba 50 mjini akawa anatembelea baiskeli pia Hali chakula kizuri Wala hapigi pamba Wala halali pazuri.sidhani kama kuna mchaga halisi yeyote atakubali kuwekwa kundi moja na mpare. jaribu kutafuta kichwa cha habari kingine tafadhali. acha dharau kwa wachaga.n umeona wachaga tupoje hadi utuweke fungu moja na wapare? unatuonaje yaani?
Nimeishi Arusha.We unaota, hp Arusha wapare wako wapi, ni wa kutafuta kwa tochi. Wachaga wenyewe hawana nguvu yyte. Arusha ni ya Wamasai na Wairaqw hao wengine ni wa kuja tu. Wapare Arusha ni wachache sana na hawana umaarufu wowote Bora ht ungesema warangi
😂 hana masikhara na masuala ya shilingiTrue story, nilipofilisika demu wa kichaga akanikimbia. Alikuwa anapiga simu mara moja moja anauliza usharudi kazini
Kwa kweli asingekuwa Magufuri akaisafisha bandari mlikuwa kama mmeinunua!tukipewa kitengo kikubwa mahali, tunachukua kijiji kizima tunakiingiza kwenye mfumo. Kuna kipindi bandari ya dsm ilikuwa na mabos wachaga, bandari ikawa kama moshi vile
Mimi niwe muwazi tu Baba Mpare na Mama Mchaga na nimekulia Arusha hivyo pia ni Chuga boy-tough guys.
Nimefuatilia kwa miaka mingi sasa wachaga na wapare wanaogopwa sana kwenye uongozi. Nakumbuka wakati fulani mtu anakuja na kulalamika kwamba kuna professor wengi wachaga hiyo ilikuwa miaka ya 1990's pale UD.
Wahaya nao walikuwa hivyo lakini baada ya kushuka sana kiuchumi kwao na kwenye biashara sasa wahaya hawaogopwi tena. Yaani kila mali ukienda a una nyumba lakini ni kwasababu nyie ni wachaga.
Hata mimi kuna watu nikikutana nao na uchuga wangu na .5 ya uchaga wanafikiri ni mchaga wanasema umefanya hili au lile kwasababu ni mchaga! nawaambia mimi ni mpare wanasema ni haohao.
Je, niulize ni kitu gani kinafanya sisi kuogopeka kiasi kwamba kuna nafasi wachaga na wapare wananyimwa kwasababu ya makabila yao. Mfano inadaiwa Magufuli alikuwa anabagua waziwazi wizara ya fedha ambayo ilikuwa na wapare wengi na wachaga tena CPA waliletewe mizengwe mpaka wakaondoka
Niongezee tu ni bora wachague wanawake wa kichaga au kipare kuliko wanaume
Maswali
1. Je, sisi ni wezi na mafisadi sana kiasi ambacho tunaogopeka
2. Je, sisi ni wakabila na tunapendeleana sana
3. Je, ni uoga wa kufanikiwa tukipata fursa
4. Je, haya nayosema si kweli na ni fikra potofu
5. Ni 1, 2 na 3
Mkuu, Hakuna kabila linaitwa waarusha, wale ni wamasai waliokulia mjini.Nimeishi Arusha.
Wenyeji ni waarusha, wameru na wamasai ila hali zao za uchumi zipo chini, wachache kati.
Boss, Hizi takwimu ni za kihisia tu sababu huna nyenzo za kutengeneza sample ya kutoa hili hitimisho zaidi ya hisia.ukichukua watu wa Arusha wanaoishi uchumi wa kati na wa juu, wengi ni wachaga.
Mkuu, utakuwa unapajua Arusha mjini hiyo mitaa uliyoitaja.Warangi, wanyaturu, Wairaq na wanyiramba wamehamia Arusha lakini hali zao za uchumi wengi wao zipo chini wamejazana Unga limited, Ngara mtoni, Ngarenaro, n.k. ila kitu ambacho nawasifia wana pisi kali.
Hizo ni hisia zakoMPARE gat kujiita yeye MPARE mbele za watu hawezi
Hahah jamaa ameng’ang’ania ujombani.sidhani kama kuna mchaga halisi yeyote atakubali kuwekwa kundi moja na mpare. jaribu kutafuta kichwa cha habari kingine tafadhali. acha dharau kwa wachaga.n umeona wachaga tupoje hadi utuweke fungu moja na wapare? unatuonaje yaani?
Kibaya zaidi hata CHADEMA waliifanya kuwa mali ya kabila Asante Lisu kwa kumfurumusha makengeza..Ubaguzi na ubinafsi wa wachanga ndo umetufikisha hapa. we angalia Kimei amekaa CRDB Bank, ss hv bank imejaa wachaga kila kona unadhani ni bank ya familia, na wengine uwezo wao ni mdogo sana ila walijazwa tuu hapo. tatizo kubwa la wachaga ni wabinafsi kupitiliza, mm mwenyewe ni wa humohumo ila ukweli lazima tuseme.
Hilo ndo linawaponza ,They don't like other tribes to succeed!Bado mkiwa wenyewe mnabagauana kuwa sie wamachame hatufanani na nyie Mana Kila kitu kilianzia kwetu wengine ni sawa sawa na vyasaka. Wengine wanamaindi kuwa huyu mrombo akawajaza ndugu zake kwenye hii nafasi. Hata mama wa masista ni mpare akipewa hela kujenga shule anajenga kwao na ilhali inatakiwa kuwapenda watu wote Kama Mungu anavyoamuru.
Pia mchaga hawezi nunua duka la mnyamwezi Kama jirani yake hapo hapo na mnyamwezi Kuna duka la mchaga ,yaani siku akijua atajilaumu mno kwa kumpelekea hela mnyamwezi yaani anaweza akarudisha Mali alizonunua ili tu apewe pesa akanunue kwa ndugu yake so ukabila unawatafuna Mana wameathiriwa na wakenya, kumbuka Kenya mtu wa mtwara hawezi fundisha ukerewe Kila kabila kwenu huko huko na wanashindana kikabila.
Kuna mchaga mmoja alikuwa na mgahawa tarime mjini Sasa bana wakurya wao wanakula popote bila kujali kabila siku moja akili ikawaingia kuwa mbona Hawa wachaga wa hapa mjini wanaenda kula kwa mchaga mwenzao hatujawahi kuwakuta kwenye migahawa ya wakurya wenzetu. Wakamlipa sawa sawa na kikombe Chao mbona alihama asubuhi sana.
Mchaga akiona mwingine amepata Mali anaumia sana anajiona ni yeye tu anastahili tu anaweza akapata Mali, Kuna demu mmoja namtongoza ananiambia kuwa ujue nimeshangaa eti famasi Fulani ni ya mkurya na hajamaliza hata la saba , iyo famasi ni kubwa Iko hapo mwenge dar.
Mchaga anapenda hela anaweka utu pembeni ndio mana wachaga masikini hawarudi kwao December na ndugu zao ni sie vyasaka na vishoia.
Wanapenda hela mpaka Kuna mchaga mmoja akawekewa maku huko USA sijui kanada anapiga tu dolari mzee Ile December tu anatuma dolari kuhesabiwa wakati wewe unaenda kuhesabiwa. Kuna wazee wengi huko milimani wanawafukuza vijana kwao ili wasijee wakawatoa kafara,
Kinachomawaliza ni EGO yaani mnajiona wenyewe ndio wajanja kisa kuwahi kusoma, wengine wakipata Mali anaonekana Kama hastahili. Mwingine akipata anaonekana Kama akatumia ndumba mfano mbavyowasakama wakinga kuwa wao wanafanikiwa kwa ndumba tu Ila kwa akili na juhudi zao hawawezi. Kuna msukuma mmoja alinunua nyumba Mwanza mjini kwa bilioni nne mchaga mmoja akaanza kujiliza kuwa sijui wengine wanatoa wapi hela yaani anavyoongea ni Kama alitaka yeye pekee amiliki hela.
Yaani hata Mimi siungi mkono kwa Hilo. Wachaga sio wabahili Wao wanakula Bata vizuri sana. Mpare anaweza kumiliki nyumba 50 mjini akawa anatembelea baiskeli pia Hali chakula kizuri Wala hapigi pamba Wala halali pazuri.