Kwanini Wachaga na Wapare wanaogopwa na kubaguliwa?

Kwanini Wachaga na Wapare wanaogopwa na kubaguliwa?

JF haiwezi kumaliza mwezi hakuna uzi kumjadili Mchagga! 😁
 
kitu ninachoweza kukubaliana na wewe ambacho makabila mengine yanaweza kuiga, ni accountability kila mwisho wa mwaka. sina uhakika kama wachaga wote tunafanya hivyo, ila ile December ukirudi home familia nyingi zinakaa na kueleza wamefanya nini cha maendeleo mwaka mzima na wanategemea kufanya nini, ndio maana wakirudi toka chrismass wanakuwa na hasira sana ya kutafuta maisha kwa sababu wamesimangwa kule wakati wa likizo. ukijumlisha na mambo kadhaa ya kienyeji na kurenew kwa waganga pia, hilo lipo wala tusifiche, na wanatakiwa kuacha mara moja, mali bila Mungu ni takataka, mali za kichawi ni takataka.
Hii ni kweli.
 
Bado mkiwa wenyewe mnabagauana kuwa sie wamachame hatufanani na nyie Mana Kila kitu kilianzia kwetu wengine ni sawa sawa na vyasaka. Wengine wanamaindi kuwa huyu mrombo akawajaza ndugu zake kwenye hii nafasi. Hata mama wa masista ni mpare akipewa hela kujenga shule anajenga kwao na ilhali inatakiwa kuwapenda watu wote Kama Mungu anavyoamuru.


Pia mchaga hawezi nunua duka la mnyamwezi Kama jirani yake hapo hapo na mnyamwezi Kuna duka la mchaga ,yaani siku akijua atajilaumu mno kwa kumpelekea hela mnyamwezi yaani anaweza akarudisha Mali alizonunua ili tu apewe pesa akanunue kwa ndugu yake so ukabila unawatafuna Mana wameathiriwa na wakenya, kumbuka Kenya mtu wa mtwara hawezi fundisha ukerewe Kila kabila kwenu huko huko na wanashindana kikabila.

Kuna mchaga mmoja alikuwa na mgahawa tarime mjini Sasa bana wakurya wao wanakula popote bila kujali kabila siku moja akili ikawaingia kuwa mbona Hawa wachaga wa hapa mjini wanaenda kula kwa mchaga mwenzao hatujawahi kuwakuta kwenye migahawa ya wakurya wenzetu. Wakamlipa sawa sawa na kikombe Chao mbona alihama asubuhi sana.

Mchaga akiona mwingine amepata Mali anaumia sana anajiona ni yeye tu anastahili tu anaweza akapata Mali, Kuna demu mmoja namtongoza ananiambia kuwa ujue nimeshangaa eti famasi Fulani ni ya mkurya na hajamaliza hata la saba , iyo famasi ni kubwa Iko hapo mwenge dar.

Mchaga anapenda hela anaweka utu pembeni ndio mana wachaga masikini hawarudi kwao December na ndugu zao ni sie vyasaka na vishoia.


Wanapenda hela mpaka Kuna mchaga mmoja akawekewa maku huko USA sijui kanada anapiga tu dolari mzee Ile December tu anatuma dolari kuhesabiwa wakati wewe unaenda kuhesabiwa. Kuna wazee wengi huko milimani wanawafukuza vijana kwao ili wasijee wakawatoa kafara,


Kinachomawaliza ni EGO yaani mnajiona wenyewe ndio wajanja kisa kuwahi kusoma, wengine wakipata Mali anaonekana Kama hastahili. Mwingine akipata anaonekana Kama akatumia ndumba mfano mbavyowasakama wakinga kuwa wao wanafanikiwa kwa ndumba tu Ila kwa akili na juhudi zao hawawezi. Kuna msukuma mmoja alinunua nyumba Mwanza mjini kwa bilioni nne mchaga mmoja akaanza kujiliza kuwa sijui wengine wanatoa wapi hela yaani anavyoongea ni Kama alitaka yeye pekee amiliki hela.
Uko sahihi.
 
Eti wachaga ni washirikina kwenye biashara 🤣🤣🤣
Tangu lini ?
Labda siwezi kuwakatalia lakini kuna maswali ya kujiuliza.
Maana Kabila namba moja nchini lisilo na ushirikina na uchawi ni wachaga.
Je unawalinganisha na Kabila gani ambalo Halina ushirikina bongo ?!
Katika Tanzania jamii ya uchagani ndiko pekee ambako unaweza kwenda ukatauliziabau kutafuta Mganga wa kienyeji usimpate hata mmoja.
Na hiyo ndio Siri Mojawapo ya mafanikio yao.
Jamii ambayo mkazo ni elimu tangu Uhuru .
Jamii ambayo inaamini katika kufanya kazi kwa bidii hata kama uko shambani au nyumbani hakuna kulała au kupiga umbea ni kazi tu.
Eti wachaga ni washirikina kwenye biashara 🤣🤣🤣
Tangu lini ?
Labda siwezi kuwakatalia lakini kuna maswali ya kujiuliza.
Maana Kabila namba moja nchini lisilo na ushirikina na uchawi ni wachaga.
Je unawalinganisha na Kabila gani ambalo Halina ushirikina bongo ?!
Katika Tanzania jamii ya uchagani ndiko pekee ambako unaweza kwenda ukatauliziabau kutafuta Mganga wa kienyeji usimpate hata mmoja.
Na hiyo ndio Siri Mojawapo ya mafanikio yao.
Jamii ambayo mkazo ni elimu tangu Uhuru .
Jamii ambayo inaamini katika kufanya kazi kwa bidii hata kama uko shambani au nyumbani hakuna kulała au kupiga umbea ni kazi tu.
Kwa uchawi wachaga wameonewa.

lkn kama ni kwa sababu ya kupata pesa au kulinda pesa, Kwenda kwa waganga sio issue na huu hatuwezi sema ni uchawi
 
Piganeni tuu maake hampo serious kila kabila linajua kufanya kazi na kila kitu Cha maendeleo tofauti zinakuwa ndogo ndogo kati ya jamii hii na jamii nyingine!!

Ngoja ninywe mbege hapa mbezi msakuzi 🍺
 
Sio kuwachafua Mwalimu alikuwa very brilliant kichwani alitazama mbali
Hakuna cha kuwa-briliant wala nini aliogopa ushindani tu kabla ya uhuru watu wengi wa kaskazini walipewa scholarship za kwenda kusoma ulaya na marekani

Nyerere hakutaka kuzungukwa na watu waliosoma bali watu wa ndio mzee ndo maana kambona alivyo-mchallenge akamfurusha
 
Hawaogopwi wala kubaguliwa wala kuchukiwa. Wana tabia mbaya, ubahiri, ukabila, ubinafsi, wizi, umalaya wa ndugu kwa ndugu na uchoyo kati ya mengi waliyo nayo. Hivyo, wanavuna walichopanda mwanangu. Ukisoma nyuzi nyingi humu juu yao, zinaonyesha hayo maovu hapo juu
Mkuu hembu ifafanue hii ya umalaya wa ndugu kwa ndugu tupate uelewa kidogo
 
Mkuu hembu ifafanue hii ya umalaya wa ndugu kwa ndugu tupate uelewa kidogo
Uzoefu wangu unaonyesha kuwa hawa jamaa huchukuana ndugu kwa ndugu au watu wa makabila yao. Wachunguze wale wanaoitwa anko utagundua mengi yaliyojificha usojua mwanangu.
 
Hakuna anaetuogopa wachaga zaidi zaidi sana tunachukiwa na kuonekana hatufai wachawi basi
 
mimi zaman nilikuwa na mawazo kama yako kwa sababu nilizaliwa kwenye mazingira yanayoaminisha hivyo. ila nilipoenda kusini nikakutana na wakinga, nilijicheka sana kuona nilifumbwa macho.
Mimi walichonifanyia hao ndugu sidhani kama nitasahau maisha yangu yote...Ni wakabila sana, baadhi siyo wakabila lakini wengi ndivyo walivyo. Kisha wabinafsi sana...Hadi nilitamami damu kidogo niliyonayo ya kichagga niitoe niimwage Kwa jinsi walivyo na roho mbaya hao baadhi Yao. They can even kill wanapotaka kitu Cha thamani ambacho wanadhani wao Wana haki zaidi ya wengine....You have to be very very careful interacting with these
 
Cha ajabu nimesoma uzi wote 98% wanaozungumziwa ni wachaga

Kusema kuogopwa umekosea labda useme impact

wapare hata mimi sijaona impact yao.

Shuleni nimesoma na wapare uwezo ni wa kawaida, vinara wa biashara wanaojulikana ni wachaga, wapemba, wakinga na waha wanafuata wengine, sina maana ya kubeza wapare ila ni level za kawaida.

Kisaikolojia utakuwa umefosi kuwaweka wapare sababu wewe ni mpare
 
Back
Top Bottom