Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna anayemuogopa MPARE Sana Sana na wanaonaga NI watu wa ajabu ajabu tuMimi niwe muwazi tu Baba Mpare na Mama Mchaga na nimekulia Arusha hivyo pia ni Chuga boy-tough guys.
Nimefuatilia kwa miaka mingi sasa wachaga na wapare wanaogopwa sana kwenye uongozi. Nakumbuka wakati fulani mtu anakuja na kulalamika kwamba kuna professor wengi wachaga hiyo ilikuwa miaka ya 1990's pale UD.
Wahaya nao walikuwa hivyo lakini baada ya kushuka sana kiuchumi kwao na kwenye biashara sasa wahaya hawaogopwi tena. Yaani kila mali ukienda a una nyumba lakini ni kwasababu nyie ni wachaga.
Hata mimi kuna watu nikikutana nao na uchuga wangu na .5 ya uchaga wanafikiri ni mchaga wanasema umefanya hili au lile kwasababu ni mchaga! nawaambia mimi ni mpare wanasema ni haohao.
Je, niulize ni kitu gani kinafanya sisi kuogopeka kiasi kwamba kuna nafasi wachaga na wapare wananyimwa kwasababu ya makabila yao. Mfano inadaiwa Magufuli alikuwa anabagua waziwazi wizara ya fedha ambayo ilikuwa na wapare wengi na wachaga tena CPA waliletewe mizengwe mpaka wakaondoka
Niongezee tu ni bora wachague wanawake wa kichaga au kipare kuliko wanaume
Maswali
1. Je, sisi ni wezi na mafisadi sana kiasi ambacho tunaogopeka
2. Je, sisi ni wakabila na tunapendeleana sana
3. Je, ni uoga wa kufanikiwa tukipata fursa
4. Je, haya nayosema si kweli na ni fikra potofu
5. Ni 1, 2 na 3
Acheni sifa za kijinga, waogopewe Nini. Shida JF imevamiwa na vitoto Vingi vilivyosoma shule za kata. Kuna mtu mwenye akili anawaza ukabila au ukanda? Jadilini Mambo ya maanaTz hii watu wanaogopwa ni wa kanda ya ziwa pekee..nyie wengine mnajifariji tu,walau kidogo watu wa mbeya waongee
Wapare hawana nasaba na wachaga. Wachaga walikuwa jamii ndogo sana very inferior na hiyo inawasumbua mpk leo. Wakati wa ukoloni wapare walikuwa na wilaya yao iliitwa Pare District ndani ya Jimbo la kaskazini mashariki baadaye likaitwa Tanga. Wachaga walikuwa ndani ya wilaya ya Arusha iliyokuwa ndani ya Jimbo la kaskazini. Wachaga hawawezi kuwadharau wapare, wapare siyo watu wa kujisifu wao wanaofanana na wahaya, wanapenda an sifa kwa vt vidogo sababu ni ya kihostoria. Walikuwa jamii duni sn isiyokuwa na rasilimali yyte. Hicho kitu kinawatesa sana mpk leo.Hakuna kabila la mchagga...
Kabila ni lazima kuwe na lugha ila hakuna lugha ya kichagga. Kuna Wakibosho, wamarangu, Warombo, wamachame.
Hao watu ukiwaweka lamoja hawawezi kuelewana. Lugha zao ni tofauti.
Na nadhani watu waliopaswa kumshukuru Nyerere ni wachagga, bila kuunganisha nchi na sasa wanahama Kilimanjaro, wangeuana wote kama Rwanda kwasababu ya matatizo ya ardhi na dhulma maana Kilimanjaro hakuna fursa.
Na wachagga huwa wanawaona wapare kama takataka watu wa porini, ndio maana mpare siku zote anafosi kuwa chawa wa mchagga
Case closed. Ulichokiandika Ni ukweli 100000%.Nafikiri ile tamaduni ya wachaga (watu wa moshi) kutaka maendeleo kwa njia yoyote ikiwezekana kufanya uhalifu ikiwemo wizi au kuumiza wengine. Hii culture imeumiza wengine sana hivyo watu wanaona wachaga kama ni watu wabaya.
Mfano, umepata kazi ila kwa sababu utamaduni wenu ni kuhakikisha unamsogeza na mwenzio unajikuta kuna mtu mwenye sifa unamzuia hiyo inajenga chuki. Kingine ni wizi au nyie uwa mnaita ujanja hii kitu imechafua sana kabila la wachaga ukiona mali yoyote unatamani iwe yako hivyo unapigia hesabu ya kuchukua kwa namna yoyote.
By the way hata waasisi wa taifa waliweka mwiko tusijaribu kumpa urais mchaga ni mwiko ambao tukiuvunja hii Tanzania inaenda kuingia kwenye vurugu na unrest.
Mfano kuna wakati wa waziri silaha anafatilia migogoro ya ardhi 90% ya wanaolalamikiwa kufanya dhulma ni wachaga sasa utataka uone nini kusema awa watu hapana, ukinunua kiwanja na jirani akawa mchaga lazima akimege na mnaanza kesi ndio maana wengine mwiko kuolewa uchagani sababu inawezekana experience mbaya inawatisha mpk wazee
.Nafikiri hapo jibu ni
1. Ukabila
2. Kujiona Bora kuliko wengine. (Wateule)
3. Kujipendelea
Hali hiyo inapungua kwa Sasa
Lakini mara nyingi Wapare ndio wana shobo na wachagga.Wapare hawana nasaba na wachaga. Wachaga walikuwa jamii ndogo sana very inferior na hiyo inawasumbua mpk leo. Wakati wa ukoloni wapare walikuwa na wilaya yao iliitwa Pare District ndani ya Jimbo la kaskazini mashariki baadaye likaitwa Tanga. Wachaga walikuwa ndani ya wilaya ya Arusha iliyokuwa ndani ya Jimbo la kaskazini. Wachaga hawawezi kuwadharau wapare, wapare siyo watu wa kujisifu wao wanaofanana na wahaya, wanapenda an sifa kwa vt vidogo sababu ni ya kihostoria. Walikuwa jamii duni sn isiyokuwa na rasilimali yyte. Hicho kitu kinawatesa sana mpk leo.
mchaga gani malaya aisee mbona hueleweki?
Hata ningekuwa sijaolewa nisingethubutu olewa huko
Haitakaa itokee hii nchi iongozwe na mchaga, futa hizo ndoto kama unazo. Huo ni mwiko hatuwezi uvunja.
Wa kigoma watoe hapo tafadhali
mchaga kajaa ukabila mfano zaidi ya 50% ya daladala za hapa mjini zinamilikiwa na wachaga, na madereva wanaoziendesha ni wachaga huez kuta mchaga kamkabidhi gari yake mmatumbi hata sku moja.
Kuzimu ni nini? tuanzie hapo kwanzaKwani lango la kuzimu lipo mkoa gani ??
Kuzimu ni nini? tuanzie hapo kwanza
Hilo suala wewe ndo umelianzisha kuzimu ni nini?Mjadala huo utatutoa kwenye mada hii.
Si vizuri kuchanganya mada.
Ukiona kufaa anzisha mada yako ambao watakuwa interested watachangia.