- Thread starter
- #21
mtu yeyote mgani kwako utakuwa na mashaka naye, mchaga hawezi kuamini asiye mchaga, na asiye mchaga hawezi kuamini mchaga. muha,mkinga, mbena, muwanji, umewaweka kundi gani? pia wachaga wanaangaliwa kwa jicho la tofauti kwa sababu ya ukabila na kupenda pesa kuliko chochote. mpare ubahili na uchawi, kule milimani sijui wana mashamba ya uchawi?
Hivyo kwa ufupi unataka kusema wachaga ni matapeli sana au?