Kwanini Wachaga na Wapare wanaogopwa na kubaguliwa?

sidhani kama kuna mchaga halisi yeyote atakubali kuwekwa kundi moja na mpare. jaribu kutafuta kichwa cha habari kingine tafadhali. acha dharau kwa wachaga.n umeona wachaga tupoje hadi utuweke fungu moja na wapare? unatuonaje yaani?
Bado mkiwa wenyewe mnabagauana kuwa sie wamachame hatufanani na nyie Mana Kila kitu kilianzia kwetu wengine ni sawa sawa na vyasaka. Wengine wanamaindi kuwa huyu mrombo akawajaza ndugu zake kwenye hii nafasi. Hata mama wa masista ni mpare akipewa hela kujenga shule anajenga kwao na ilhali inatakiwa kuwapenda watu wote Kama Mungu anavyoamuru.

Pia mchaga hawezi nunua duka la mnyamwezi Kama jirani yake hapo hapo na mnyamwezi Kuna duka la mchaga ,yaani siku akijua atajilaumu mno kwa kumpelekea hela mnyamwezi yaani anaweza akarudisha Mali alizonunua ili tu apewe pesa akanunue kwa ndugu yake so ukabila unawatafuna Mana wameathiriwa na wakenya, kumbuka Kenya mtu wa mtwara hawezi fundisha ukerewe Kila kabila kwenu huko huko na wanashindana kikabila.

Kuna mchaga mmoja alikuwa na mgahawa tarime mjini Sasa bana wakurya wao wanakula popote bila kujali kabila siku moja akili ikawaingia kuwa mbona Hawa wachaga wa hapa mjini wanaenda kula kwa mchaga mwenzao hatujawahi kuwakuta kwenye migahawa ya wakurya wenzetu. Wakamlipa sawa sawa na kikombe Chao mbona alihama asubuhi sana.

Mchaga akiona mwingine amepata Mali anaumia sana anajiona ni yeye tu anastahili tu anaweza akapata Mali, Kuna demu mmoja namtongoza ananiambia kuwa ujue nimeshangaa eti famasi Fulani ni ya mkurya na hajamaliza hata la saba , iyo famasi ni kubwa Iko hapo mwenge dar.

Mchaga anapenda hela anaweka utu pembeni ndio mana wachaga masikini hawarudi kwao December na ndugu zao ni sie vyasaka na vishoia.

Wanapenda hela mpaka Kuna mchaga mmoja akawekewa maku huko USA sijui kanada anapiga tu dolari mzee Ile December tu anatuma dolari kuhesabiwa wakati wewe unaenda kuhesabiwa. Kuna wazee wengi huko milimani wanawafukuza vijana kwao ili wasijee wakawatoa kafara,

Kinachomawaliza ni EGO yaani mnajiona wenyewe ndio wajanja kisa kuwahi kusoma, wengine wakipata Mali anaonekana Kama hastahili. Mwingine akipata anaonekana Kama akatumia ndumba mfano mbavyowasakama wakinga kuwa wao wanafanikiwa kwa ndumba tu Ila kwa akili na juhudi zao hawawezi. Kuna msukuma mmoja alinunua nyumba Mwanza mjini kwa bilioni nne mchaga mmoja akaanza kujiliza kuwa sijui wengine wanatoa wapi hela yaani anavyoongea ni Kama alitaka yeye pekee amiliki hela.
 
Wachaga wanashindana hata na wachaga wenzao mara mhuru, wamarangu, wamachame.......... Mimi hapa nimeweka kwa muonekano wa watu wengine. Kwa Wanzania wa kawaida ukiwa Mpare na Mchaga kwao ni kitu kimoja tofauti ni idadi tu.

Si kweli kujaribu kuwashusha wapare sio waongeaji lakini wana mafanikio sana. Tofauti ni kwamba wapare wengi watu hawajui kama ni wapare
Hakuna kabila la mchagga...

Kabila ni lazima kuwe na lugha ila hakuna lugha ya kichagga. Kuna Wakibosho, wamarangu, Warombo, wamachame.

Hao watu ukiwaweka lamoja hawawezi kuelewana. Lugha zao ni tofauti.

Na nadhani watu waliopaswa kumshukuru Nyerere ni wachagga, bila kuunganisha nchi na sasa wanahama Kilimanjaro, wangeuana wote kama Rwanda kwasababu ya matatizo ya ardhi na dhulma maana Kilimanjaro hakuna fursa.

Na wachagga huwa wanawaona wapare kama takataka watu wa porini, ndio maana mpare siku zote anafosi kuwa chawa wa mchagga
 
Nafikiri hapo jibu ni
1. Ukabila
2. Kujiona Bora kuliko wengine. (Wateule)
3. Kujipendelea

Hali hiyo inapungua kwa Sasa
Hawawezi kutufanya kitu kwani wameweza kuwafanya nini Wahindi walio wachache sana. Tuendelee kutafuta pesa, mambo ya kusubiri teuzi ni kwa watu wavivu na wanaosubiri huruma na upendeleo, pesa ni kila kitu.
 
Bado mkiwa wenyewe mnabagauana kuwa sie wamachame hatufanani na nyie Mana Kila kitu kilianzia kwetu wengine ni sawa sawa na vyasaka. Wengine wanamaindi kuwa huyu mrombo akawajaza ndugu zake kwenye hii nafasi. Hata mama wa masista ni mpare akipewa hela kujenga shule anajenga kwao na ilhali inatakiwa kuwapenda watu wote Kama Mungu anavyoamuru.

Pia mchaga hawezi nunua duka la mnyamwezi Kama jirani yake hapo hapo na mnyamwezi Kuna duka la mchaga ,yaani siku akijua atajilaumu mno kwa kumpelekea hela mnyamwezi yaani anaweza akarudisha Mali alizonunua ili tu apewe pesa akanunue kwa ndugu yake so ukabila unawatafuna Mana wameathiriwa na wakenya, kumbuka Kenya mtu wa mtwara hawezi fundisha ukerewe Kila kabila kwenu huko huko na wanashindana kikabila.

Kuna mchaga mmoja alikuwa na mgahawa tarime mjini Sasa bana wakurya wao wanakula popote bila kujali kabila siku moja akili ikawaingia kuwa mbona Hawa wachaga wa hapa mjini wanaenda kula kwa mchaga mwenzao hatujawahi kuwakuta kwenye migahawa ya wakurya wenzetu. Wakamlipa sawa sawa na kikombe Chao mbona alihama asubuhi sana.

Mchaga akiona mwingine amepata Mali anaumia sana anajiona ni yeye tu anastahili tu anaweza akapata Mali, Kuna demu mmoja namtongoza ananiambia kuwa ujue nimeshangaa eti famasi Fulani ni ya mkurya na hajamaliza hata la saba , iyo famasi ni kubwa Iko hapo mwenge dar.

Mchaga anapenda hela anaweka utu pembeni ndio mana wachaga masikini hawarudi kwao December na ndugu zao ni sie vyasaka na vishoia.

Wanapenda hela mpaka Kuna mchaga mmoja akawekewa maku huko USA sijui kanada anapiga tu dolari mzee Ile December tu anatuma dolari kuhesabiwa wakati wewe unaenda kuhesabiwa. Kuna wazee wengi huko milimani wanawafukuza vijana kwao ili wasijee wakawatoa kafara,

Kinachomawaliza ni EGO yaani mnajiona wenyewe ndio wajanja kisa kuwahi kusoma, wengine wakipata Mali anaonekana Kama hastahili. Mwingine akipata anaonekana Kama akatumia ndumba mfano mbavyowasakama wakinga kuwa wao wanafanikiwa kwa ndumba tu Ila kwa akili na juhudi zao hawawezi. Kuna msukuma mmoja alinunua nyumba Mwanza mjini kwa bilioni nne mchaga mmoja akaanza kujiliza kuwa sijui wengine wanatoa wapi hela yaani anavyoongea ni Kama alitaka yeye pekee amiliki hela.
Lakini hii inafanya vipi wabuguliwe walimu wa vyuo kwa mfano au uongozi wa kawaida.
 
Hakuna kabila la mchagga...

Kabila ni lazima kuwe na lugha ila hakuna lugha ya kichagga. Kuna Wakibosho, wamarangu, Warombo, wamachame.

Hao watu ukiwaweka lamoja hawawezi kuelewana. Lugha zao ni tofauti.

Na nadhani watu waliopaswa kumshukuru Nyerere ni wachagga, bila kuunganisha nchi na sasa wanahama Kilimanjaro, wangeuana wote kama Rwanda kwasababu ya matatizo ya ardhi na dhulma maana Kilimanjaro hakuna fursa.

Na wachagga huwa wanawaona wapare kama takataka watu wa porini, ndio maana mpare siku zote anafosi kuwa chawa wa mchagga
Mpare anafosi kuwa chawa wa mchagga? Hii nasikia kwako.
 
sidhani kama kuna mchaga halisi yeyote atakubali kuwekwa kundi moja na mpare. jaribu kutafuta kichwa cha habari kingine tafadhali. acha dharau kwa wachaga.n umeona wachaga tupoje hadi utuweke fungu moja na wapare? unatuonaje yaani?
Hahhaha umenikumbusha nilikaaga na mzee fulani wa kichaga akawa anasema zile wilaya za mwanga na same wangezitoa tu mkoa wa Kilimanjaro waunde mkoa wao au wapelekwe Tanga......wachaga wengi hawapendi kuwekwa fungu moja na wapare japo wapare wanapenda ukaribu na wachaga
 
Mimi niwe muwazi tu Baba Mpare na Mama Mchaga na nimekulia Arusha hivyo pia ni Chuga boy-tough guys.

Nimefuatilia kwa miaka mingi sasa wachaga na wapare wanaogopwa sana kwenye uongozi. Nakumbuka wakati fulani mtu anakuja na kulalamika kwamba kuna professor wengi wachaga hiyo ilikuwa miaka ya 1990's pale UD.

Wahaya nao walikuwa hivyo lakini baada ya kushuka sana kiuchumi kwao na kwenye biashara sasa wahaya hawaogopwi tena. Yaani kila mali ukienda a una nyumba lakini ni kwasababu nyie ni wachaga.

Hata mimi kuna watu nikikutana nao na uchuga wangu na .5 ya uchaga wanafikiri ni mchaga wanasema umefanya hili au lile kwasababu ni mchaga! nawaambia mimi ni mpare wanasema ni haohao.

Je, niulize ni kitu gani kinafanya sisi kuogopeka kiasi kwamba kuna nafasi wachaga na wapare wananyimwa kwasababu ya makabila yao. Mfano inadaiwa Magufuli alikuwa anabagua waziwazi wizara ya fedha ambayo ilikuwa na wapare wengi na wachaga tena CPA waliletewe mizengwe mpaka wakaondoka

Niongezee tu ni bora wachague wanawake wa kichaga au kipare kuliko wanaume

Maswali

1. Je, sisi ni wezi na mafisadi sana kiasi ambacho tunaogopeka

2. Je, sisi ni wakabila na tunapendeleana sana

3. Je, ni uoga wa kufanikiwa tukipata fursa

4. Je, haya nayosema si kweli na ni fikra potofu

5. Ni 1, 2 na 3
We unaota, hp Arusha wapare wako wapi, ni wa kutafuta kwa tochi. Wachaga wenyewe hawana nguvu yyte. Arusha ni ya Wamasai na Wairaqw hao wengine ni wa kuja tu. Wapare Arusha ni wachache sana na hawana umaarufu wowote Bora ht ungesema warangi
 
Back
Top Bottom