Kwanini Wachaga na Wapare wanaogopwa na kubaguliwa?

Mchaga Mama au Baba? Pole sana maana inauma sana kuwa zao la Malaya na Wazinzi.
 
Yaani hata Mimi siungi mkono kwa Hilo. Wachaga sio wabahili Wao wanakula Bata vizuri sana. Mpare anaweza kumiliki nyumba 50 mjini akawa anatembelea baiskeli pia Hali chakula kizuri Wala hapigi pamba Wala halali pazuri.
Hivi hii tabia ni ya kurithi au Kuna course wanapigwa wanapo kua wanabarehe, Kuna demu mmoja nadate nae duh anakaribia kunishinda
 
Sijajua Duniani Kuna kabila Gani halipendi pesa. Waisrael walifanywa ivyo na Dola ya kirumi sote Tunajua kilichoipata Roman Empire na Balaa la kisasi wanachokifanya Israel wakati huu Dunia ikitizama. Ubaguzi ni Laana. Jiepushe nao.
 
Nafikiri ni dhana iliyojengeka kwenye familia zetu toka kitambo kuwa wachagga na wapare ni majambazi na wasanii wa ndoa. Kwa miaka ya nyuma 1970s mpaka early 90s ilikuwa hivi, majambazi wengi ni kweli walikuwa either wachagga au wapare ila sasa ni CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…