Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe Wazaramo wamewekeza?Wazaramo wa Dar es salaaam hawawekezi mikoa mingine ni Dar es salaaam tu huwezi mkuta mzaramo kafungua duka mkoa mwingine
Yaani mzaramo lake genge na misifa kibao. Wazaramo wanaomiliki maduka hawazidi 10.Wazaramo wa Dar es salaaam hawawekezi mikoa mingine ni Dar es salaaam tu huwezi mkuta mzaramo kafungua duka mkoa mwingine
Kila mtu anapambania rizki yake na faida kwenye biashara.Nani wa kuiamusha hiyo purchasing power kama sio wao kuwekeza kuamsha ajira nk ?
Wakinga kwao Makete ukifika kule kumechoka vibaya mnoIringa mjini Wakinga ndio matajiri wahehe tunagema Ulanzi kwenye vitindi!
Maendeleo yao yakoje?Wazaramo wa Dar es salaaam hawawekezi mikoa mingine ni Dar es salaaam tu huwezi mkuta mzaramo kafungua duka mkoa mwingine
Wanawekeza kwenye fursa mambo ya kuwekeza nyumbani kwa kutaka sifa hawafagiliiTanzania wafanyabiashara wakubwa wanaosifika wengi ni Wachaga, Wapemba na Wakinga lakini hawawekezi sana vitega uchumi na biashara kubwa kwao wanawekeza tu mikoa mingine sababu ni nini?
Vingine unakuta hakuna fursa hapo tunajua hayo makabila yana uwekezaji mzuri dar maana ndio kuna pesa nyingi mno sasa uwekeze moshi sijui iringa hata population ni ndogoUjinga wa kuwekaza nyumbani ambapo ulipozaliwa na watu wana kujua vizuri sana .. hapa kuna vitu vingi sana vikiongozwa na CHUKI watu wanaona kwanini? Uanze kufanikiwa wewe na sio wao kwa hivyo unakuwa unapambana na vitu vingi vikiongozwa na UCHAWI NA USHIRIKINA .. mabibi /mababu wanaona kijana wao hajafanikiwa UFANIKIWE wewe hapo vinatembea vifungo + kuikataa biashara yako unayoifanya TOFAUTI na ukienda mbali kuwekeza au kutafuta watu hawakujui uzuri na huko chuki inakuwepo ila sio sana kwa sababu hawakujui na uchawi unakuwepo ila haukuingii vizuri kwa kuwa hawajui MAUKOO YAKO.. kuna ile hali ya kuchukia tu mtu unayemjua aanze kufanikiwa kabla yako ndio tatzo
Ila hata wachaga wengi nawaona hawana biashara kubwa sn km za kina dangote,mo za kuweza kuajiri wengine! Naona ni za kawaida tu,za kifamilianTanzania wafanyabiashara wakubwa wanaosifika wengi ni Wachaga, Wapemba na Wakinga lakini hawawekezi sana vitega uchumi na biashara kubwa kwao wanawekeza tu mikoa mingine sababu ni nini?