Kwanini Wachaga, Wapemba na Wakinga hawawekezi sana kwao?

Kwanini Wachaga, Wapemba na Wakinga hawawekezi sana kwao?

Jiulize kwanza kwanini wanaojiita manabii wa miujiza wamelundikana tu Dar wakati huko mikoani laana mikosi, uchawi upo kibao.
 
Purchasing power maeneo hayo ipi chini sana.

Over.
Uko sahihi kabisa, very good! Uchagani wala pemba hakuna shughuli za kilimo cha maana yaani hawana ardhi, hawafugi, hawavui, watu wao wanafanya vishughuli vidogo vidogo sana haviwapi uwezo wa kununua. Ukitaka kujua kafanye utafiti kijana yeyote wa kijana baada ya kumaliza shule lazima akimbie kwao hali ni mbaya atakufa njaa.
 
Taja kabila linalowekeza kwao.

Halafu nitajie mtu aliyefanikiwa akiwa kwao
wanyantuzu, wanyakyusa, wasukuma, wairaqw,wamakonde, wayao na mengine mengi. Kwani hao wachaga wanavyofika maeneo ya wenzao wanakutaga mapori? Watu wamejenga miji yao. Kwa ujumla makabila ambayo maeneo yao yanalipa wamewekeza kwao. We unafikiri wanaishi wapi, wachaga tu ndio wanaishi km wakimbizi.
 
Jiulize kwanza kwanini wanaojiita manabii wa miujiza wamelundikana tu Dar wakati huko mikoani laana mikosi, uchawi upo kibao.
We ndio bure kabila, kwa hiyo kila mtu awekeze Dar, aishi Dar. Dar inategemea mikoani kwa kila kitu. Kafuatilie ripoti za BOT, Dar imeuzidi mkoa uliofuatia(Iringa) kwa kiasi kidogo, huo ni mkoa moja. itazidije mikao mingine kwa ujumla wake? Aje ufinyu wa mawazo. Mngefungiwa mwaka jana kwa ajili COVID-19 ndio mngejua Dar si lolote si chochote.
 
Tanzania wafanyabiashara wakubwa wanaosifika wengi ni Wachaga, Wapemba na Wakinga lakini hawawekezi sana vitega uchumi na biashara kubwa kwao wanawekeza tu mikoa mingine sababu ni nini?
Labda wengine ila Wakinga tumeanza kuwekeza Sana tuu ila hapo nyuma kulikuwa na changamoto ya usafiri
 
Kumbe Wazaramo wamewekeza?

Kama uwekezaji unaomaanisha ni ule wa upatu na ngoma za asili basi Mimi kama Mchagga sijawekeza popote
Tatizo wazaramu sio watu wakujikweza hutaweza kuwang'amua.
 
Ukishakuwa mfanyabiashara Ulimwengu wote unakuwa uwanja wa nyumbani.
Mambo ya territorial ownership waachie wakulima.
 
Mzaramu biashara labda ya genge,kariakoo wameuza kwa pesa nyingi na kuishia kuishi kifukara tu
Wazaramo wa Dar es salaaam hawawekezi mikoa mingine ni Dar es salaaam tu huwezi mkuta mzaramo kafungua duka mkoa mwingine
 
Back
Top Bottom