Dar As Salaam
JF-Expert Member
- Feb 28, 2025
- 293
- 528
Kwahiyo mlima Kilimanjaro ndio uliwazuia wachagga kuwa pande zote mbili za Tanzania na Kenya??Ni kipande tu wakoloni walimegeana kikubwa kuingia Tz sababu ya mlima ,
Mbona sijawahi kumsikia mchagga (masawe, urio, Nkya, Lyimo, Shirima) wa Kenya??Hata Kenya wapo
Mkoloni aliamua kutusaidia kwa lipi mkuu??Wachaga wako Kenya ni Mkoloni tuu aliamua kutusaidia Watanganyika
Wapo Kenya japo siyo wengi. Hasa upande wa Rombo.Wamasai - Tanzania na Kenya.
Wakurya - Tanzania na Kenya.
Wajaluo - Tanzania na Kenya.
Wanyamwanga - Tanzania na Zambia.
Waha - Tanzania na Burundi.
Wachagga - Tanzania Peke yake.
Kwanini Wachagga ni kabila la mpakani lakini halipo Tanzania na Kenya bali lipo Tanzania pekee??
Au mimi ndiye sina uelewa wa kutosha??
Mbona sijawahi kumsikia mchagga (masawe, urio, Nkya, Lyimo, Shirima) wa Kenya??
Mantiki ya swali ni kuwa wachaga huko Kenya wanajulikana kama wachaga? Au wanafahamika kwa kabila lingine au hawapo kabisa yani wao ni kama wagogo au warugulu wapo Tz pekee ila historia ndio ya kuungaunga mpaka palestinaWapo Kenya japo siyo wengi. Hasa upande wa Rombo.
Hao wachaga wakenya au wakamba sijuii wakisii au kikuyu? Kumbuka Uganda Kuna wakina onyango, okello, bila kusahau majina ya kibantu unaweza yasikia DRC, Nigeria nk yenye ufanano na TZwapo kina Thom Mboya
Unajua kusoma na kufikiriaKwahiyo mlima Kilimanjaro ndio uliwazuia wachagga kuwa pande zote mbili za Tanzania na Kenya??
Actualy wapo tanzania na kenya , ila upande wa kenya hawaitwi wachagaWamasai - Tanzania na Kenya.
Wakurya - Tanzania na Kenya.
Wajaluo - Tanzania na Kenya.
Wanyamwanga - Tanzania na Zambia.
Waha - Tanzania na Burundi.
Wachagga - Tanzania Peke yake.
Kwanini Wachagga ni kabila la mpakani lakini halipo Tanzania na Kenya bali lipo Tanzania pekee??
Au mimi ndiye sina uelewa wa kutosha??
Wahaya Tz pekeeWamasai - Tanzania na Kenya.
Wakurya - Tanzania na Kenya.
Wajaluo - Tanzania na Kenya.
Wanyamwanga - Tanzania na Zambia.
Waha - Tanzania na Burundi.
Wachagga - Tanzania Peke yake.
Kwanini Wachagga ni kabila la mpakani lakini halipo Tanzania na Kenya bali lipo Tanzania pekee??
Au mimi ndiye sina uelewa wa kutosha??
Wapo njau minja, nkoo wanjiru- njiru na kikuyu wapoMbona sijawahi kumsikia mchagga (masawe, urio, Nkya, Lyimo, Shirima) wa Kenya??
Hata Lyimo wapo.wapo kina Thom Mboya