Kwanini wachagga (kabila la mpakani) hawapo Tanzania na Kenya??

Kwanini wachagga (kabila la mpakani) hawapo Tanzania na Kenya??

Burundi kuna wahutu, watutsi na watwa. Hao waha labda umewapeleka wewe Burundi.

Sometimes kabla ya kuandika thread hapa JF unatakiwa uwe na ujuzi pamoja na uelewa wa kile unachoandika, bila hivyo utadhalilika kama hivi.
Ni nani alikwambia mwanadamu anaweza fahamu kila kitu wewe kum@?? Si ndio maana nimekuja humu kujifunza??
 
Wamasai - Tanzania na Kenya.

Wakurya - Tanzania na Kenya.

Wajaluo - Tanzania na Kenya.

Wanyamwanga - Tanzania na Zambia.

Waha - Tanzania na Burundi.

Wachagga - Tanzania Peke yake.

Kwanini Wachagga ni kabila la mpakani lakini halipo Tanzania na Kenya bali lipo Tanzania pekee??

Au mimi ndiye sina uelewa wa kutosha??
Wamakonde - Tanzania na Msumbiji
Wadigo- Tanzania na Kenya
 
Back
Top Bottom