The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Wachaga ndio wakikuyu Kenya.
Maisha, mazingira ya nyumbani na baadhi ya maneno hasa ya kikamba. Hata kabila la wataita kuna maneno yanafanana na wachaga.Mfanano wa muonekano au lugha??
Mpaka lugha??Wachaga, kwa, Kenya wanafanana kwa kila kitu na wakikuyu
Kenya kuna wakurya? Huna kazi za kufanya, ukijua ujinga huu utakusaidia nini.Wamasai - Tanzania na Kenya.
Wakurya - Tanzania na Kenya.
Wajaluo - Tanzania na Kenya.
Wanyamwanga - Tanzania na Zambia.
Waha - Tanzania na Burundi.
Wachagga - Tanzania Peke yake.
Kwanini Wachagga ni kabila la mpakani lakini halipo Tanzania na Kenya bali lipo Tanzania pekee??
Au mimi ndiye sina uelewa wa kutosha??
Lugha wanafanana pia??Wachaga wapo kenye sema wao kule wanajulikana kama wakamba. Zpo koo nyng tu znashea ubin na watu wa kenya kutoka rombo tanzania hasa uko chin tarakea
Wanafanana lugha pia??Huko wanajulikana kama Wakamba.
Okay mkuuMaisha, mazingira ya nyumbani na baadhi ya maneno hasa ya kikamba. Hata kabila la wataita kuna maneno yanafanana na wachaga.
are you sure?Wamasai - Tanzania na Kenya.
Wakurya - Tanzania na Kenya.
Wajaluo - Tanzania na Kenya.
Wanyamwanga - Tanzania na Zambia.
Waha - Tanzania na Burundi.
Wachagga - Tanzania Peke yake.
Kwanini Wachagga ni kabila la mpakani lakini halipo Tanzania na Kenya bali lipo Tanzania pekee??
Au mimi ndiye sina uelewa wa kutosha??
Kwambali wanaweza kushabiana baadh ya manenoLugha wanafanana pia??
Wakamba, ukimsikiliza mkamba na machaga, wana share maneno, langauge dialects but si kila kitu. Cultural wise, ile spirit na baadhi ya tabia za kichaga pia kwa wakamba zipo, mfano mahari, wanawake wa kikamba ni wale wale wa kichaga ( no offence wachaga)Wanaitwaje?? Lugha na utamaduni vinafanana??
Not even closeWachaga ndio wakikuyu Kenya.
Wamasai - Tanzania na Kenya.
Wakurya - Tanzania na Kenya.
Wajaluo - Tanzania na Kenya.
Wanyamwanga - Tanzania na Zambia.
Waha - Tanzania na Burundi.
Wachagga - Tanzania Peke yake.
Kwanini Wachagga ni kabila la mpakani lakini halipo Tanzania na Kenya bali lipo Tanzania pekee??
Au mimi ndiye sina uelewa wa kutosha??
Mchaga na Mkikuyu wa kenya. Akili na tabia zao zinaendanaWamasai - Tanzania na Kenya.
Wakurya - Tanzania na Kenya.
Wajaluo - Tanzania na Kenya.
Wanyamwanga - Tanzania na Zambia.
Waha - Tanzania na Burundi.
Wachagga - Tanzania Peke yake.
Kwanini Wachagga ni kabila la mpakani lakini halipo Tanzania na Kenya bali lipo Tanzania pekee??
Au mimi ndiye sina uelewa wa kutosha??
wanahusishwa na wakikuyu hasa tabia yao ya kupenda biasharaMantiki ya swali ni kuwa wachaga huko Kenya wanajulikana kama wachaga? Au wanafahamika kwa kabila lingine au hawapo kabisa yani wao ni kama wagogo au warugulu wapo Tz pekee ila historia ndio ya kuungaunga mpaka palestina
Hapana ni tofautiVp kuhusiana na lugha?? Wamachame na Kikuyu wanafanana??
Basi sio asili moja hao mkuuHapana ni tofauti
Ninazungumzia mipaka ya mkoa wa Kilimanjaro na sio MombasaWachaga chimbuko lao Hasa ni Kenya,wachaga na wamasai wanachimbuko moja bila shaka.wachaga kwa mfumo wao ulikuwa ngumu sana kujichanganya na makabila mengine kwa kuwa aridhi ilimilikiwa na ukoo.kuna baadhi ya maeneo ya wachaga yamebakia Kenya kwa bahati mbaya,ila ni mambo ambayo Huwa hayasemwi sana.pia ndani ya Kenya hasa maeneo kama Mombasa Kuna wachaga wengi wameloea huko miaka na miaka.