Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Tunaweza tusifanane lugha Ila tuna muingiliano baiolojikaleBasi sio asili moja hao mkuu
Tunaweza tusifanane lugha Ila tuna muingiliano baiolojikaleBasi sio asili moja hao mkuu
Niaminivyo mm wale wataita ni wachaga wenzetu kama walivyo wameru wa Arusha hapoHapa ndio nilipokuwa ninapataka mimi mkuu. Kwa hiyo Tanzania wanaitwa wachagga ila Kenya ni wataita?? Au sio mkuu??
Wanafanana kila kitu ,wameru mpaka zile kofia zao ni identify na kula mirungiWameru wa Kenya ni tofauti hata Lugha na Wameru wa Tanzania
Kakudanganya nani Mnyakyusa yupo Tz pekee? Wanyakyusa kama wachaga tu utasikia huyu wa machame huyu wa kule, tofauti wenyewe hawatumii jina moja. Mkisi,Mndali na Mnyakyusa wanapatikana Tz halafu Wangonde wanapatikana Malawi. Ingawa Mnyakyusa kwa jina lingine pia ni MngondeWahaya Tz pekee
Wadigo Tz pekee
Wanyakyusa Tz pekee
Wanyiha Tz pekee etc.
Lugha wanafanana pia??Kakudanganya nani Mnyakyusa yupo Tz pekee? Wanyakyusa kama wachaga tu utasikia huyu wa machame huyu wa kule, tofauti wenyewe hawatumii jina moja. Mkisi na Mnyakyusa wanapatikana Tz halafu Wangonde wanapatikana Malawi. Ingawa Mnyakyusa kwa jina lingine pia ni Mngonde
Kama kitu hukijui usiwe unakifanyia ubishi. Kenya kwenye kaunti ya pwani Mombasa kuna makabila 9 yanayoitwa MIJI KENDA ambayo miongono mwayo WADIGO wamo! Wengine ni kama vile waduruma, warabai, wachonyi, wagiriyama, nk.Wahaya Tz pekee
Wadigo Tz pekee
Wanyakyusa Tz pekee
Wanyiha Tz pekee etc.
Language wise??Mchaga na Mkikuyu wa kenya. Akili na tabia zao zinaendana
Kwa asilimia kubwa lugha zinafanana, jiografia imechangia kwa kiasi kikubwa misamiati baadhi ya lugha kati ya hizo kutofautiana. Mfano wakisi wanapatikana Njombe,Mnyakyusa Mbeya,Mndali Songwe halafu hao Wangonde Malawi.Lugha wanafanana pia??
Mshkaji makabila kama matatu hapo kaenda chaka 😂Kama kitu hukijui usiwe unakifanyia ubishi. Kenya kwenye kaunti ya pwani Mombasa kuna makabila 9 yanayoitwa MIJI KENDA ambayo miongono mwayo WADIGO wamo! Wengine ni kama vile waduruma, warabai, wachonyi, wagiriyama, nk.
Tena...Kakudanganya nani Mnyakyusa yupo Tz pekee? Wanyakyusa kama wachaga tu utasikia huyu wa machame huyu wa kule, tofauti wenyewe hawatumii jina moja. Mkisi,Mndali na Mnyakyusa wanapatikana Tz halafu Wangonde wanapatikana Malawi. Ingawa Mnyakyusa kwa jina lingine pia ni Mngonde
Sawa boss.Kama kitu hukijui usiwe unakifanyia ubishi. Kenya kwenye kaunti ya pwani Mombasa kuna makabila 9 yanayoitwa MIJI KENDA ambayo miongono mwayo WADIGO wamo! Wengine ni kama vile waduruma, warabai, wachonyi, wagiriyama, nk.
Yeah..kenya kuna eneo linaitwa Rombo piaKuanzia leo ujue kuna Warombo wa Tz na Warombo wa Kenya.
Wanaitwaje ?Actualy wapo tanzania na kenya , ila upande wa kenya hawaitwi wachaga
Nnko kwa kuongezea TU.Mbona sijawahi kumsikia mchagga (masawe, urio, Nkya, Lyimo, Shirima) wa Kenya??
Kuna mtangazaji anaitwa Mashirima kama sikoseiKuna mchagga yeyote maarufu nchini Kenya unayemfahamu?? Vp kuhusiana na lugha/tamaduni?? Zinaingiliana??
Sasa, Mashirima ndio Shirima??Kuna mtangazaji anaitwa Mashirima kama sikosei
Mwanamke ndo jina lake ki ukooSasa, Mashirima ndio Shirima??
Tena msumbiji wamakonde wapo wengi kuliko tanzaniaWamakonde - Tanzania na Msumbiji
Wadigo- Tanzania na Kenya