Kwanini wachagga (kabila la mpakani) hawapo Tanzania na Kenya??

Kwanini wachagga (kabila la mpakani) hawapo Tanzania na Kenya??

Weka rekodi zako sawa au fanya utafiti zaidi: Hakuna waha walioko Burundi wala Rwanda, waha wako mkoa wa Kigoma na wilaya zinazoizunguka Kigoma. Burundi kuna warundi wenye lugha ya kirundi na Rwanda kuna wanyarwanda ambao wanazungumza kinyarwanda.
 
Mtoa mada alitaka kama ni kabila lipo Kenya na linatambuliwa rasmi kama walivyo wakuria
 
kenya wanaitwa wakikuyu, ki kama watutsi, tz wanaitwa wanyambo, congo wanyabulenge, uganda wahima na rwanda watutsi, mila na desturi ziko sawa
 
Wamasai - Tanzania na Kenya.

Wakurya - Tanzania na Kenya.

Wajaluo - Tanzania na Kenya.

Wanyamwanga - Tanzania na Zambia.

Waha - Tanzania na Burundi.

Wachagga - Tanzania Peke yake.

Kwanini Wachagga ni kabila la mpakani lakini halipo Tanzania na Kenya bali lipo Tanzania pekee??

Au mimi ndiye sina uelewa wa kutosha??
Wataita ni race flan ya kichagga, japo kenya wapo wachagga ila ni wachache sana.
 
Wakamba, ukimsikiliza mkamba na machaga, wana share maneno, langauge dialects but si kila kitu. Cultural wise, ile spirit na baadhi ya tabia za kichaga pia kwa wakamba zipo, mfano mahari, wanawake wa kikamba ni wale wale wa kichaga ( no offence wachaga)

Kabila lingine ambalo wataita, ila hawa wana close relation na wapare zaidi.
Wanasikilizana kichaga😂😂😂
Tambua mkuu hakuna lugha ya kichaga..
Kirombo, kibosho, hawaelewani kabisa angalu machame na kimeru wanasikilizana.
 
Watu walioianzisha Nairobi walikuwa wahamiaji kutoka Mt. Kilimanjaro.
Wakamba
Asilo yao inaaminika kuwa katika eneo la Kilimanjaro yenyewe lakini walihama takriban miaka 400-500 iliyopita kuja Ukambani walipo. Walikuwa wafugaji,wakulima,na wawindaji.
 
Back
Top Bottom