Kwanini wachagga (kabila la mpakani) hawapo Tanzania na Kenya??

Kwanini wachagga (kabila la mpakani) hawapo Tanzania na Kenya??

Hata kama hakuna kabila la wachaga Kenya, ila asilimia kubwa ya wakenya wanafanana kitabia, kimuonekano na mfumo wa maisha kiujumla. Most Kenyans are hardworking just like Chaggas in Tanzania. Hawana uswahili wa kupenda kuongea ongea sana.
 
Kuna watangazaji kabisa ,masawe japani na mashirima kapombe bila kumsahau mzee Mbowe ana ndugu zake kule wenye hela hatari
 
Wamasai - Tanzania na Kenya.

Wakurya - Tanzania na Kenya.

Wajaluo - Tanzania na Kenya.

Wanyamwanga - Tanzania na Zambia.

Waha - Tanzania na Burundi.

Wachagga - Tanzania Peke yake.

Kwanini Wachagga ni kabila la mpakani lakini halipo Tanzania na Kenya bali lipo Tanzania pekee??

Au mimi ndiye sina uelewa wa kutosha??
Ongezea wapare wapo Kenya pia
 
Nafikiri sababu ya kutokuwepo Kenya inahusiana na wakenya kusajili makabila Yao na kutoa huduma kikabila. Hivyo makabila madogo inakuwa rahisi kuwa assimilated kwenye makabila makubwa.
Mfano wapare wa Kenya wanapata shida sana na wamekuwa wakitakiwa kuwa assimilated na Wataita lakini wamegoma.
Hivyo, inawezekana wachagga waliamua kuwa assimilated kwenye makabila mengine kuepusha kero ya kutengwa na kunyanyapaliwa.
 
Wamasai - Tanzania na Kenya.

Wakurya - Tanzania na Kenya.

Wajaluo - Tanzania na Kenya.

Wanyamwanga - Tanzania na Zambia.

Waha - Tanzania na Burundi.

Wachagga - Tanzania Peke yake.

Kwanini Wachagga ni kabila la mpakani lakini halipo Tanzania na Kenya bali lipo Tanzania pekee??

Au mimi ndiye sina uelewa wa kutosha??
Wachagga siyo kabila.

Walioko mpakani wanaitwa Warombo.

Na wapo Kenya.

Mfano: Huyu ni mtangazaji Mkenya ila anaitwa Mashirima Kapombe.

Mashirima majina yapo sana Rombo huko.


View: https://youtube.com/shorts/yR-x7CQz7Ho?si=xVxhYp7Sx85ZEBch
 
Huyu Tairo wa Kenya.

Rombo wapo kina Tairo wengi tu
Screenshot_20250508_082638_X.jpg
 
Wahaya Tz pekee
Wadigo Tz pekee
Wanyakyusa Tz pekee
Wanyiha Tz pekee etc.
Muongo wewe, wadigo wapo kenya kibao, nendda Mombasa wamejaa wana mpaka Radio yao inatangaza maudhui ya kidigo tu
 
Hata kama hakuna kabila la wachaga Kenya, ila asilimia kubwa ya wakenya wanafanana kitabia, kimuonekano na mfumo wa maisha kiujumla. Most Kenyans are hardworking just like Chaggas in Tanzania. Hawana uswahili wa kupenda kuongea ongea sana.
Wachaga waliotoka Tanzania Kenya wanaonekana kama ndugu zao na wanaheshimika, kuna mitaa nairobi wameshayateka na wanaperfom kwenye business kuliko hata wenyeji.
 
Back
Top Bottom