Inasemekana kabila la wachaga ni wakikuyu na Kabila moja la Nigeria +EthiopiaWamasai - Tanzania na Kenya.
Wakurya - Tanzania na Kenya.
Wajaluo - Tanzania na Kenya.
Wanyamwanga - Tanzania na Zambia.
Waha - Tanzania na Burundi.
Wachagga - Tanzania Peke yake.
Kwanini Wachagga ni kabila la mpakani lakini halipo Tanzania na Kenya bali lipo Tanzania pekee??
Au mimi ndiye sina uelewa wa kutosha??