Kwanini wachagga (kabila la mpakani) hawapo Tanzania na Kenya??

Wachaga ni waty wenye mkusanyiko wa kutoka jamii tofauti tofauti,

Ndiyo maana umeuliza hujawah sikia lakini wachaga wapo waliolala Kenya kabisa na sio mmoja wala wawili ni wengi, mm ni shahidi natokea naona

Lakini kwakua wachaga ni jamii ya watu kuna Koo zipo huko kwa wakikuyu kama mboya na maina pia zipo uchagani huko,

Wataita wa taveta na wachaga wa Rombo wana shahabiana kwenye lugha zao, kwa sehemu kubwa tuu,

Nikujulishe kuwa wajua kuna eneo linaitwa ROMBO huko Kenya? Unajua asili yake 🤔
 
Hata kisura na tabia zao zinaendana zaidi ya wabantu wengine afrika ya mashariki yote
 
Wamasai - Tanzania na Kenya.

Wakurya - Tanzania na Kenya.

Wajaluo - Tanzania na Kenya.

Wanyamwanga - Tanzania na Zambia.

Waha - Tanzania na Burundi.

Wachagga - Tanzania Peke yake.

Kwanini Wachagga ni kabila la mpakani lakini halipo Tanzania na Kenya bali lipo Tanzania pekee??

Au mimi ndiye sina uelewa wa kutosha??
Wachaga, kwa, Kenya wanafanana kwa kila kitu na wakikuyu
 
Back
Top Bottom