Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,971
- 14,538
Bila kusahau wayao Tanzania, na pia kuna wayao wa Malawi na Msumbiji.Wandali- Tanzania na Malawi
Bila kusahau wayao Tanzania, na pia kuna wayao wa Malawi na Msumbiji.Wandali- Tanzania na Malawi
Mkuu kwa vile mada inahusu makabila, basi tukubaliane na mimi kwamba mleta mada kakosea. Burundi hakuna kabila linaloitwa waha. Na kama lugha ndio inayoweza kufanya mtu uone kwamba inaweza kuwa na uhusiano na kabila fulan basi hapo pia mleta mada atakuwa amekosea.JAMII ni watu wanaoish kwa pamoja na kushirikiana.
na KABILA ni jamii ya watu wanaofanana lugha na tamaduni na jinsi wanavoishi, na haihusian na eneo
kwa mfano kuna kabila la wasukuma. ila wamegawanyika mikoa kadhaa matamshi/rafuz pia baadh ya misamiat hawaelewan.
Ndo waha wa tz na burundi wote chanzo ni kimoja sema kweny misamiat baadh huenda wasielewane
Nahii imetokana na wakolon walipokua wanagawana makolon yao
Historia ya Wanyarwanda na Warundi inafanana kwa kiwango kikubwa. Na hayo makabila yalikuwepo kabla hata ya ujio wa wakoloni. Sema wakoloni walichofanya ni kuwagawa katika muonekano wao kwa kusema kwamba huyu mwenye pua nyembamba (mtutsi) ni bora kuliko huyu mwenye pua pana (mhutu)Hapo kwa waha kua burundi.............,,,...waha, wahangaza , wahutu,watutsi ni kabila 1 hilo sema mambo yalibadilka baada ya mkoloni kuja akavunja tawala zao na kuweka mipaka yake ambayo ilizigawa hizo jamiii,, ndo maana upande wa lugha wanaelewana hata kwenye baadhi ya tamaduni zao.......halafu wahutu na watutsi hayakua makabila bali zilikua ni social class, wahutu walikua wakulima , watutsi wafugaji,,,,,so katika nyakati tofauti mtu huyohuyo mmoja anaweza akawa mhutu baadae akawa mtutsi maana ilitegemea shughuli alizokua anafanya,,,,mkoloni ndo alivuruga mambo............sipo huko kwa wachaga mie nipo hapo kwa waha,,,,,mfano mwengine ndo hao Wanyankole wa Uganda na wanyambo wa Tanzania kabla ya ukoloni walikua ni taifa moja......