Kwahiyo kutozozungumza Kiingereza ni laana?Mkuu Lugha ni sehemu ya utamaduni kuacha kuzungumza Lugha Yako na kuzungumza Lugha ya mtu mwingine ni sawa upo utumwani.Jf inamajukwaa 99% ya Kiswahili ya Nini kujipa stress na mikamusi kwenye Jukwaa lenye Lugha ya Kuja na majahazi?Kudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.
Tatizo kubwa ni Lugha ya Kiingereza, Watanzania wengi sana ni wababaishaji wakubwa kuhusiana na lugha ya Kiingereza.Kudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.
Sisi Mashabiki wa majogoo Kwenye Jukwaa Letu Kiswahili ni Lugha ya Pili na haswa tukifungwa 😄Kudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.
Tupe pia takwimu za Waganda, Wakenya, Wanyarwanda wanaochangia kwenye majukwaa ya Kiswahili JF.Kudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.
Kuliko Basha wako?2024 takwimu inaonyesha popoma kachizi
watanzania wanaokimudu kiingereza kwa ufasaha ni wachacheKudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.
Subiri English Medium wajiunge JF..Kudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.
Si bandiko lako ungeliweka kwa Kingereza tukuone kama nawe ni mchangiajiKudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.
Kwa sababu....tumejikuta ghafla tumebakiwa na kiswahili chetuKudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.
Sema tuliomoSubiri English Medium wajiunge JF..
Maana wengi mliomo humu ni Kayumba..
Nyie ndo mna shida.. mi sina shida.Sema tuliomo
Aisee.....basi POLENyie ndo mna shida.. mi sina shida.