Kwanini Wachangiaji wa Jukwaa la JF English ONLY FORUM ni Wakenya, Waganda,. Wanyarwanda na Watanzania ni wa Kuhesabika?

Kudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.
Kwahiyo kutozozungumza Kiingereza ni laana?Mkuu Lugha ni sehemu ya utamaduni kuacha kuzungumza Lugha Yako na kuzungumza Lugha ya mtu mwingine ni sawa upo utumwani.Jf inamajukwaa 99% ya Kiswahili ya Nini kujipa stress na mikamusi kwenye Jukwaa lenye Lugha ya Kuja na majahazi?
 
Maisha yenyewe ni mtihani alafu ujiongezeee na mitihani ya hiyari 😃😃😃😃watusameee....kwanza nazan n jukwaa la wageni wacha wajadili kwa lugha wanayoiweza.
Kwa sababu kwao kiswahili ni kama sisi na kingreza.
 
Kudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.
Sisi Mashabiki wa majogoo Kwenye Jukwaa Letu Kiswahili ni Lugha ya Pili na haswa tukifungwa 😄
 
Nadhani mada za kule hazigusi Maisha ya Mwananchi wa Tanzania moja Kwa moja ndiyo maana hatujichoshi Sana huko.
Wakenya ni wengi sababu Taifa lao lina matatizo mengi ya na hawana lugha ya kuwaunganisha kama Taifa (Maana wao lugha za makabila zimetamalaki) hivyo wanalazimika kutumia lugha ya David Beckham kujadili changamoto zao na kuondoa msongo wa mawazo unaowakabili
 
Hivi wazungu nao wanajivunia kuongea kiswahili kama waafrika ngozi nyeusi wanavyojivunia lugha ya wazungu kiingereza??
 
Kudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.
Subiri English Medium wajiunge JF..
Maana wengi mliomo humu ni Kayumba..
 
Kudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.
Si bandiko lako ungeliweka kwa Kingereza tukuone kama nawe ni mchangiaji
 
Kudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.
Kwa sababu....tumejikuta ghafla tumebakiwa na kiswahili chetu
 
Back
Top Bottom